nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
Unachokataa nini sasa leta ambacho umefanya wewe![]()
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛:M kichocheo cha kukua kwa uchumi![]()
![]()
hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.