Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,093
- 173,804
Si wanaweka simulator tu mzee. Unaswitch mlio tu ukitaka hata wa lamborghini upo tu wa benz v12 nao ni mzuka tu.Hahah vile vi tesla vinatembea kishenzi mzee baba,ziko zinazoenda mpk 0-60 kwa 2.3sec ,yaani kuliko hata supercars.
Ila hazina mzuka ule wa Petrol car,ogopa sana gari inakimbia kichizi afu haina muungurumo wa kibabe hata hainogi aisee.