Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,434
- 14,896
- Thread starter
- #41
Harrier old.
Location : dar
price 5M.
Contact : 0712 148001
Location : dar
price 5M.
Contact : 0712 148001
Hadi ikae stable , inakost 5 M nyingine, jumla 10 M,
Huu msala ukitoa hata laki umepigwa.Carry bichwa kubwa/bichwa la ng'ombe
Ya kuwasha na kuondoka.
changamoto uje nazo wewe.
Bei yake ni 2.8 milioni
Location: kibaha
Contact ; WhatsApp 0712 148001. View attachment 3262021
Nilivoona 5ml , mwaka 2020 enzi za corona niliuza gari kama hii 14ml kwa jamaa wa geita. Tajiri nikmpa 7ml. Ilinadrisha sana maisha yangu
Wanachama naona wanarusha shutuma kali boss sijui tatizo ni nini makutuporaUna jua gunia la mahindi kg 108 ni bei gani?, Lina toa unga kg 25 mifuko mingapi!.
Kheri nikomae na unga wa sembe, kuliko bolt.
min -me kwani chama kime kataza kumiliki hata kijiko?
Wana taka tuweke mapato na mali zangu hadharani, eti ni mali ya chama😂🤣Wanachama naona wanarusha shutuma kali boss sijui tatizo ni nini makutupora
Hahaha tukiweka mali ambazo ni makorokoro tu si itakua shida mkuu?Wana taka tuweke mapato na mali zangu hadharani, eti ni mali ya chama😂🤣
Ukala pasu na mmiliki.Nilivoona 5ml , mwaka 2020 enzi za corona niliuza gari kama hii 14ml kwa jamaa wa geita. Tajiri nikmpa 7ml. Ilinadrisha sana maisha yangu
😂😃😂😃😂😂😂😂😂Katiba ya Chama inasemaje? Na kwanini una mu address makamu min -me katika kila jambo? Au mnatuzunguka?
Mimi sijakataa kuendelea na Hilo swala la sembe na Dona. Nimetilia mkazo ukinunua gari la million 5 litasaidia kubeba hivyo viroba vya unga na kuzungusha kwenye maduka!
Hapo hapo tutapiga bolt.
Ibara ya 8 katika Katiba inasema;
Kiongozi yoyote wa CHAMA hiki, anapaswa kuweka wazi Mali na mapato yake ili kutoleta matafaruku baina yake na wanachama
na kwanini tuweke mali na mapato wazi?, hii ni kutafuta vurugu 🤣Hahaha tukiweka mali ambazo ni makorokoro tu si itakua shida mkuu?
Maskini hakosagi sababu, hata ukimwambia nikupe buuuure atakwambia sijui kuendeshaaa nitafutie na dereva.Namba za fundi gereji pia tusisahau
Vipengele uje navyo wewe tu tajiri ila huku hakunaSawa tajiri ,vipi vipengele?