Mimi piaNasubiria IST nipo hapa hapa
Mimi piaNasubiria IST nipo hapa hapa
Tulia mkuu, mbona kiherehere kama umeolewa ndoa za mitalaMagari ni wingi wa gari alaf post imeishia gari moja tu!.
Mbona nimeshazipost kama tatu hivi, pitia post zilizopitaMimi pia
Nimeshapost za kutosha na sijaona simu yako mkuu.Nasubiria IST nipo hapa hapa
Bei gani hii?WhatsApp 0712 148001 View attachment 3261818
Ilikua 5 ila nimeshauzaBei gani hii?
SawaIlikua 5 ila nimeshauza
Iko wapi hii
Temeke mojaIko wapi hii
Sio kwel bwasheeNaskia jobless wamekuona maeneo ya Dodoma hotel unakula vyombo 😂
Kisha unaenda kuanzia weekend Bambalagaaa