Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Uzushi mtupu mschiiiiiiiiiiyu!

Hiyo TFDA imeanzishwa mwezi huu nini?
Maana nashangaa haikuwepo kipindi watu wanaenda loliondo kupata kikombe ikapime kikombe cha babu, au kipindi watu wanakunywa metakelfin wanababuka?

Inshort mafuta ya ubuyu hatuachi kutumia mimi ni mteja mkubwa nasitaacha, ile ni product natural wewe sio chemical waambie hao sijui ndio TFDA wakajipange warudi upya tena wasijipangie ofisini warudi darasani wakafundishwe.
Mkuu Latifaa mimi nikitumia metakelfin au fansider nababuka kwenye gugudelo balaa...sijawahi kuwasikia TFDA wakieleza tusitumie hizo dawa lakini hii ya mafuta ya ubuyu naona wapo active sana. Nchi hii!!!!??!!
 
Last edited by a moderator:
Wiki iliyopita TFDA, ilionya wananchi dhidi ya matumizi ya dawa za tiba mbadala, zikiwamo zinazokuza maumbile, ambazo bado hazijasajiliwa na Mamlaka hiyo baada ya kuchunguza usalama, ubora na ufanisi wa dawa hizo.

Mamlaka hiyo ilieleza kuwa, ilitoa nafasi ya watoa tiba mbadala kwenda kusajili dawa zao, lakini mwitiko umekuwa hafifu.
MziziMkavu hata wewe hukutokea kusajili dawa zako?!
 
Last edited by a moderator:
1.Mafuta yote ya Ubuyu yamepigwa marufuku?au ni yale ambayo hayana nembo ya TFDA?
2.Mbona stori haijakamilika?
3.Nijuavyo mimi mafuta ya Ubuyu ni tiba ya mwili.
4.Hiyo tindikali iliyopo kwenye hayo mafuta inaitwaje? watuambie wengine twende tukaprove Lab.
5.Huyu mwandishi mbona hajahoji swali la Msingi au na yeye ni Ngwine?
Mwisho:Mwandishi kaniboa kweli!!
 
MziziMkavu hata wewe hukutokea kusajili dawa zako?!
Mkuu Mzito Kabwela

Dawa zangu mimi Nkizipeleka kwa huyo mkuu wa TFDA atazisajili kwa nguvu akitaka asitake. Dawa ninazotumia mimi ni

Asali,Tangawizi,Karafuu,Zabibu,Hiliki,Pilipili Mboga,Mdalisini ,Nyanya,Karoti,Bamia, Kitunguu saumu,Kitunguu

Maji,Matango,Machungwa,Maembe,Mananasi, Maboga,mafenesi,Ma-Stafeli, Avocado,Mafuta ya Karafuu,Mafuta ya nazi, Mafuta ya Zaituni,Habati sawda, Pilipili Mtama,Ufuta ,Uzile, Uyoga,

Manjano, na Maji ya Uvuguvugu Dawa zangu zipo za aina 40 sasa sijuwi ipi kati ya hizo huyo mkuu wenu wa
TFDA atasema Haitibu?


images


Haya Mwambie huyu mkuu wa TFDA aje kusema Dawa zangu ni Feki hazitibu maradhi yoyote

kama hajafukuzwa kazi yeye na huyo aliye Muajiri bosi wake.
 
Hili ndilo tatizo la Tanzania, wakiona watu wameanza kulalamika ndiyo wanatoa matamko....babu loliondo pia walitoa baada ya watu kuibiwa na kufa sana. TFDA na TBS ulaji noma...kama haina maslahi kwao marufuku, ila ikiwa na maslahi kumya ujue wanapata percent yao
 
je tunaokula ubuyu wenye je hauna sijuwi fat acid?TFDA wasiwasi
 
Ubuyu wenyewe mzuri. Lkn tunaambiwa tusile ule wenye marangi. Tule fresh. Marekani saivi ndo biashara hii
 
Tushawachoka nyie TDFA yan mnakua ka'hamjielew!!! mlikua wap kutoa taarifa hiyo toka mapema coz kuna mass media kibao na watu wameanza kutumia mafuta hayo toka kitambo san.. mnasubir mpaka sabasaba!! Achen izo na ifikie stage mjitambue.. AU mna sababu zenu zngne mnakua mnasubir mpaka watu waathirike ndo'mnatoa taarifa.?? mnaboa knoma.. na mkiwa mnatoa taarifa zenu muwe mnaweka attachment za kuthbitisha mnachokisema. tindikal kwenye mafuta ..HOW????? "Achen izo"
 
uandishi gani huu! Habari haijitoshelezi, ni wapi tangazo hili limetolewa ? Tindikali kwenye mafuta? Ipi hiyo?

haahaaa rev mtumishi wa mungu upo??natumaini kanisa linaendelea kujengeka na sadaka zinazidi kuongezeka mpendwa mungu akutie nguvu na huduma yako ....

Nionavho hapa no wivu wa mabosi wa tfda na wafanyaakazi wa humo humo ndani ambao ndio waliibua siri ya matumizi ya ubuyu na baada ya wahusika dodoma kugoma kuwahonmnga kama walivyozea hivi sasa wamjitahidi kweli kuhangaika kuchafua kupitia media mbaya nila kutumia akili wameshindwa kujua mafuta hayo hayo yalipelekwa kwao 2007 na wakasema ayana matatizo na baada ya hapo nikupe ama niwape tu siri

mabosi wale wakaanza kuyasambaza kwa haraka kupita maelezo na kuweka stiika zao kana kwamba wanazalisha wao baada ya watu wa chini kugundua yanatokea wapi soko lao likabuma wakaanza kushusha bei sana na sasa wanaona hata hiyo bei aziwasaiidi wakilipia na usafiri ukweli halisi wana tamaa tu ubuyu unawalipa na umewalipa kupita kiasi

ltr moja ya ubuyu wanapata mpaka ufike dar kwa sh 20,000 hawa mbwa walikuwa wanauza 70,000 na wengine kuweka vibanda pale muhimbili na kuwashawishi wagonjwa kununua sasa baada ya soko huria ltr wengine wanauza mpaka 40,000 kwahiyo unaweza kuona pamoja na kuhangaika kwako kupitia media bado walikuwa wanapata hasara kubwa tu nusu 20,000 wananunua 7000 kutoka dodoma mpaka dar

sasa nafikiri ifike wakati natoa tu ushauri wenye kunywa mafuta wakaona umuhimu wake waendelee k utumia na kweli yanasaidia si tu magonjwa kidogo hata makubwa unacheka nini sasa we mtu mzima acha utani kwenye kazi...kama unahisi yanasaidia tumia ukiona ama moyo unasita usiguse.....

Ila napenda kuwahakikishia mafuta haya haya yalipelekwa 2007 hapo tfda na wakasema yanafaa walichoomba tu ujue awajui wanachofanya wakasema kwenye lebo hawa wanaoouza wahaakikishe wasiweke vipimo mpaka watakapojidhirisha ....

Natumaini ni wakati wa kutoka mautini na kuingia uzimani kama umekuwa ukitumia endeleee ukiwa na hofu usiguse hofu uleta madhara na ndio maana wengi wanakufa si kwasababu wana ukimwi ile hofu naweza kuwa kesho ...natangaza hofu ikutoke tokaaaa tokkaaa tokaaa kwa jina la yesu nasema tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwaondoke watanzania

kama waamini sema amen n amen
 
Watanzania tuamke na kukumbuka ni hawa hawa washenzi na wahuni tfda waliosambaza kwa wingi dawa feki wakishirikiana na yule mama wa kada wa ccm..mbaya zaidi wamekaa kimya na yule mama anaendeleea kutengeneza madawa yake bomu na watu wanaendeleee kufa huu ni uzinzi kabisa .....uwezi jua mtu anaumwa ukimwi alafu unapanga njia za kummaliza na mbaya zile original sio kwamba azipo zilikuwepo wakauziwa watu hawa na tfda hawa hawa ...embu mtusaidie ile kesi ya dawa feki za ukiwmi imeishia wapi
 
TFDA na wao ni tatizo, kwanza tamko wanalitolea sabasaba, pili waseme hiyo tindikali ya mafuta inayosababisha saratani inaitwaje kitaalamu? na sio wanaongea kirahisi rahisi tu
 
OBAMA kaona fursa.......!!!, sasa ubuyu utaanza kupelekwa USA halafu yataletwa mafuta TZ.....!!!?

Aliyetuloga.....alishakufa....!!!?, wanasayansi au wataalamu wetu huona madhara katika bidhaa za ndani tu...? Hakuna kitu kisichokuwa na madhara....., bali katika kuleta maendeleo, wataalamu hujikita katika kupunguza madhara; hivyo basi wajibu wa TDFA ilipaswa vilevile kutafuta jinsi ya kupunguza madhara kwa bidhaa hii ambayo kwa sasa inaonekana kuwa na soko zuri hapa nchini.
 
1.Mafuta yote ya Ubuyu yamepigwa marufuku?au ni yale ambayo hayana nembo ya TFDA?
2.Mbona stori haijakamilika?
3.Nijuavyo mimi mafuta ya Ubuyu ni tiba ya mwili.
4.Hiyo tindikali iliyopo kwenye hayo mafuta inaitwaje? watuambie wengine twende tukaprove Lab.
5.Huyu mwandishi mbona hajahoji swali la Msingi au na yeye ni Ngwine?
Mwisho:Mwandishi kaniboa kweli!!

Mkuu unakuwa kama huwajui waandishi wa TZ? Huo uwezo wa kuuliza maswali ya msingi atautoa wapi? Mh. Obama umeridhika na jinsi wa-TZ Walivyokupokea? Useless news reporters!
 
Labda mimi tu mngenieleza ni kitu kipi Tanzania siyo fake, kwa uchache haya yote ni fake Tanzania;

Simu feki (mchina)

Television na video fake

Madawa ya kutibu binadamu fake including ARV za Madabida

Nywele za kina Dada fake,

Kope fake,

Maisha fake (wengi hawaishi maisha yao halisi hasa Bongo movie ni vigumu kujuwa muda gani huwa wanaigiza na muda gani wako halisi)

Mbaya zaidi sasa na mapenzi yenyewe vilevile fake.
Hahaahaa mkuu umenichekesha sana hii ndio bongo land bwana we subiri baadae watakuja na issue kua wamegundua utumiaji wa simu fake unaleta kansa . Baada ya kutumiwa na wananchi kwa muda mrefu. Sijui hawa watafiti wetu inakuaje wanashindwa kufanyia utafiti kitu kabla hakijawa popular. Kama hii habari wangeweza kuifanyia utafiti kabla watu hawajajua wengi na pengine kutumiwa na wengi. Sishangai hasa nikikumbuka habari ya loliondo kwa babu. Hivi ni lini tutaacha siasa hata kwenye mambo muhimu, inakera sana kila kitu kufanywa kisanii sanii tu. Au ndio maana Africa iko hivi ilivyo kiasi kwamba unashangaa haipigi hatua kwenye kila kitu , elimu fake, mitihani fake , tiba fake nk.
 
Mkuu unakuwa kama huwajui waandishi wa TZ? Huo uwezo wa kuuliza maswali ya msingi atautoa wapi? Mh. Obama umeridhika na jinsi wa-TZ Walivyokupokea? Useless news reporters!
Mkuu umenikumbusha hii kitu ilinikera sana pamoja na majibu aliyotoa dingi ndio acha kabisa . Sasa huyo mwandishi ndio alijiandaa mwezi mzima ili akija mkuu wa dunia amuulize hico alichouliza, kazi kweli kweli na ukihoji uwezo wa mwandishi huyo unaambiwa wewe mpinzani na tena ukijaribu pia kuhoji kwanini mdingi alijibu vile utaambiwa huo ni wivu humtakii mema dingi wetu. Tz where are we heading to?
 
Back
Top Bottom