Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Mkuu kinachonishangaza huu utafiti wao wangeanzia kwa watumiaji wa hizo mbegu haswa kabila la wahadzabe....ila hao wanapaka kwenye Gegedo ndo wameniacha hoi....

kwenye Gegedo?? una maana kibamia? inawezekana unaongeza ukubwa ha ha haaaaaaa

Tanzania kuna utafiti??? wote wababaishaji tu, wanazingua tu
 
kama kikombe cha babu wa Loliondo watu wamekunywa weeee mwisho wanasema ni dawa feki na hilo la mafuta ya ubuyu hivyo hivyo
 
kama kikombe cha babu wa loliondo watu wamekunywa weeee mwisho wanasema ni dawa feki na hilo la mafuta ya ubuyu hivyo hivyo

Lakini angalau wametimiza wajibu wao...ulitaka wanyamaze?
 
Michemsho inahusu.mana sikuiizi kila kitu simu. Vikianza vinapigiwa debe were. Mara twaja kuambiwa havifai. Vinatu kill softly
 
Hiyo Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA) na hao TBS naona hawafanyi kazi yao ipasavyo....
Muda wote tangu hayo mafuta yameanza kutumiwa na wananchi leo hii ndio wanaibuka na kusema ni hatari kwa Afya?
Ni Watanzania wangapi watakuwa wameshadhurika na hayo mafuta mpaka taarifa hii inapotolewa?
Hii nchi kila kitu hovyo hovyo tuu..!

Yaani inabidi hatua ya kwanza iwe ni kuichukulia hatua hiyo TFDA. Mengine yatafuatia baadae, lazima wajifunze kuwa serious na afya za watu, vinginevyo hawastahili kuwepo.
 
Back
Top Bottom