kwileme
Member
- May 30, 2013
- 71
- 14
Tena wanatoa angalizo lao wakati wa maonyesho ya saba saba ambapo sio kila mtanzania anashiriki hayo maonyesho
.....Tena wakati wa kufunga maonesho baada ya watu kuyanunua kwa wingi!! Khaah!!
Tena wanatoa angalizo lao wakati wa maonyesho ya saba saba ambapo sio kila mtanzania anashiriki hayo maonyesho
watu washajinywea wee, leo ndio wanaibuka, nyambafu....