Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

....haya mafuta yameharibu biashara za watu sana.........ndio maana wameyapiga kashfa....wagogo wanaoishi karibu na miti hiyo hula ubuyu na kutafuna mbegu zake toka wakiwa wadogo mpaka kuzeeka kwao lakini hawaja wahi kupata hizo kansa....au yana matatizo tu pindi unapo yakamua tu......

mimi niko mbioni kuanza kukamua mafuta ya mbegu za matikitiki kwa ajiri ya kuongeza ufanisi katika ndoa....myapime mapema kabla sijafungua kiwanda changu.....

...hata sisi wahadzabe a k a tindigaz hapa Mongowamono tunakuywa uji wa mbegu mbuyu miaka nenda...hatuna kansa wala kipindupindu....hawa ni wazushi tuuuuu ......
 
Miongoni mwa biashara niliyokua nafikiria kuja kuifanya ni pamoja na hii ya mafuta ya ubuyu.
Kwa bandiko hili naona TFDA wanataka kuharibu plan yangu.
NB: Nina mashaka pengine isije ikawa ni kama sabotage inayotaka kufanywa na watu wa nje ili kuharibu na kuua soko la mafuta ya ubuyu hapa nchini...
 
TFDA ni waongo wakubwa hakuna wa kufanana nao. Kama kweli wako serious na wanajali afya za waTanzania, basi waje waseme pia kuhusu SODA kama zina madhara au la. Mafuta ya ubuyu inashauriwa yatumike kupakaa tu katika ngozi na si kuyanywa. Sipendi kabisa kusikia kuhusu TFDA.

Juzi juzi tu hapo TFDA walikanusha soda kuwa na madhara mwilini, halafu mafuta ya ubuyu yana kansa!!! waende huko.
 
sasa kwa walioanza tumia siku nyingi zilizopita wanawashauri vip, kama wameisha athirika na hyo tindikali???
 
Hahaha...
Natamani sana ningefanya research kwenye hii mada sis...ila kuna mahali nimeona chemical composition ya Baobab Oil, ndani yake nimeona kuna aina kadhaa za saturated and unsaturated organic acids "tindikali"...

Mafuta haya hayana shida yoyote, wameona carolite zao zzinakosa wateja wameona wayaponde....hakuna tindikali ya mafuta
 
Hili swala la mafuta ya Ubuyu lisichukuliwe kimzaha na serikali. Wapo watu ninawafahamu wameokoa maisha yao kwa mafuta ya ubuyu. Ajira zimetengenezwa sana kwa mafuta haya ya ubuyu.
TDFA wanapokuja kwenye public kuyatangaza kuwa hayafai wanatakiwa waseme pia na faida zake ili mtumiaji apime mwenyewe faida na hasara maana hata simu tunazotumia tunaambiwa tafiti zilifanywa zikagundua kuna mionzi sijui ina madhara yasababishayo kansa lakini tunazinunua mpya kila siku
 
TFDA ni waongo wakubwa hakuna wa kufanana nao.Mafuta ya ubuyu inashauriwa yatumike kupakaa tu katika ngozi na si kuyanywa. Sipendi kabisa kusikia kuhusu TFDA.

Mkuu kwani wao wamesemaje?, naona kama unang'ata na kupuliza pasipo kujijua
 
Hahaha...
Natamani sana ningefanya research kwenye hii mada sis...ila kuna mahali nimeona chemical composition ya Baobab Oil, ndani yake nimeona kuna aina kadhaa za saturated and unsaturated organic acids "tindikali"...

Anyhow, kila kitu kinaambiwa ni kibaya....hivi unajua hata unga wa sembe una kansa ya ubongo??sijui mtakula nini sasa
 
Sio wehu, anatakiwa atoe aina ya tindikali, idadi ya watu waliotumia mafuta hayo na wakapata saratani, utafiti ulifanyika wapi na kwa muda gani. Kusema tu yanatindikali bila kutaja aina ya tindikali habari inakuwa haijakamilika.
Usiwe kama mwehu...
 
sasa mbona mmesubiri hayo mafuta yakatudhuru ndo mnatangaza jamani maana mwenzenu toka nimeanza kuyatumia ------ yaniwasha kwenye ........... mpaka basi mbona mnatufanyia hivyo jamani?
 
Mtoa uzi ingekuwa vyema kama ungetuwekea na chanzo cha habari hii kwa taarifa zaidi.
Kwa kuwa mafuta haya ya ubuyu yameshatumiwa na watanzania wengi kuliko hata KIKOMBE CHA LOLIONDO.

Kwani attachment hujaiona?! Au unatumia mchina?!
 
sasa mbona mmesubiri hayo mafuta yakatudhuru ndo mnatangaza jamani maana mwenzenu toka nimeanza kuyatumia ------ yaniwasha kwenye ........... mpaka basi mbona mnatufanyia hivyo jamani?

Mkuu hapo penye ------ na ...... unaweza kuandika tena kwa kuweka vinukta katikati ya herufi ili tuelewe ulimaanisha nini?
 
@ Ndumyana ninawaswa kwenye tundu ya haja kubwa toka nimenza kuyatumia wangu yananisababisha nikienda chooni nakawia kwasababu ya kujikuna!
 
Mh.... vitu vya asili.ndio sumu.... Hivi.hizo dawa za hospital sio sumu ambazo huwa wanatuandikia kumeza kwa muda wa miezi mitatu ???
 
Back
Top Bottom