hajaenda kwa daktari wala nini? sex oil ndo kitu gani>>>
Sisi wanawake ndio tunajya. Kama humpendi mtu unajilazimusha utakuwa mkavu maisha!!!!
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia.
Hahah huyu farkhina akili zake anazijua mwenyewe.
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
.....hahaha, kuna mtu alipapasa mkono gizani akakamua tube kumbe #SupaGlue banaa...
Most recommended ni KY Jelly
Acha matumizi mabaya ya pesa..paka mate
Ukimaanisha Grease?