Mmmmmh.....hii ni aina mpya ya dawa ya meno? Lol
Kuna mademu wengine wapo naturally dry. Hata ukiplay kiasi gani analowa kidogo sana. Na baada ya kupiga machine sana anakauka haraka. So lubricant ina play part hapo. Hata mm nilikua nae mmoja wa hivyo. Siku za mwanzoni alinipa tabu kidogo. Nikamuuliza several times nikagundua ndivyo alivyo. Na yy ndie aliekuwa anaandaa lubs kabisa. So anajifahamu alivyo.
Mmmmmh.....hii ni aina mpya ya dawa ya meno? Lol
Mhhhh!!!! lol!!!!! hahahahahahahah dawa ya papuchi kavu kwa wenye matatizo kama haya ya muanzisha uzi, kiduchu tu basi inakuwa mterezo. Nimecheka kweli maana nilipiga picha mtu yuko busy anapiga mswaki kwa kutumia hii kitu lol!!!
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
Karibu sana
Hivi mbona likes hazikubali? Au hichi kijisimu changu margea?
Kwahiyo unataka kutuambia huyu jamaa ni m'bakaji kwasababu mke wake anakua hayuko tayari kuingiliwaKama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.
Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.
Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
tumia Greece.
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.