srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,270
- 4,182
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
hahahaha! Kweli kabisa. Hyo ndo habari ya Mjini.
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
....-------,kwanza tuombe radhi wana-jf wenzako.kwanza wewe ni mzinzi,then unatuletea habari zako na huyo mpenzi wako,matendo yenu machafu ni Dhambi kubwa inayo mkasirisha M.Mungu,halafu wewe unatuomba tukueleweshe hayo mafuta yanapo-patikana hapa Dar,Ebo! unataka kutushirikisha katika huo uzunifu wenu?Dini zote zimekataza hili tendo kwa kua ni chafu na lina mghazibisha Mwenyezi Mungu,moja kati ya zile amri 10 inasema:usizini,kwenye Qur-an inasema "na wala tusiikaribie zinaa,kwa maana ni uchafu na ni njia mbaya"nakushangaa ndugu yangu unavyojifaharisha na tendo hili chafu.wewe kweli ni babu kijana.
tumia Greece.
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
Kama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.
Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.
Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.