Mafuta ya kupaka during sex act

Mafuta ya kupaka during sex act

Welcome ESSYBODYFIX,we have new slimming pills for morning n betime,slimmin cream,slim tea,slim tummy pants..Male penis enlargement pills,soaps,cream,gel..Sex coffee,sex love drops..Male delay spray n tissues..Women lubricant spray n gel..Vagina wash,tightening liquids..Breast firming and enlarging cream..Hair oil serum dandruff,Volume increase..Hips and buttocks gel and caps..Facial treatment..Cocoa n Olive oil lotions..Morocca black soap..& many more

0655200014
 
kweli jamii forum haitaisha utamu milele....watu wanauliza biashara za kufanya we unauliza cha kukuwezesha kufanya uasherati.Kweli ukistaajabu ya changudoa utaona ya mashoga

Kwan mkuu aujui uasherati nayo biashara!
 
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.

ky jelly ndio mpango mzima elfu 25 tu nipm mkuu
 
TUMIA MATE MATE nasema MATEEEE, kama una kikohozi UKIBANJA temeea huko

hahahahahahaha!!hiyo ukibanja temea huko.....umenifanya nicheke,kwani K ni dustbin?....cha kumshauri ni kwenda chumvini kabla ya show weka mate ya kutosha tu....hapo kitu kitakuwa na lubricant ya kutosha tu na kila ikikauka tupia tena mzigo wa mate yakutosha tu mbona utelezi utakuwa zaidi ya mlenda!!cha kuzingatia kwa huyo mpenzi wako ni usafi tu.
 
Kama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.

Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.

Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.

Shikamoo Dokitari!
 
Bro;
Acha kujisumbua kuuliza mengi hapa. Tuna tumiaga, Natural lubricants. Mate! Huna haja kwenda kuuliza mbali. Temea mate mkononi, paka kichwani. Mbona ni laini tuu. Ukihisi ukavu ongeza tu. Hayapo mbali wala huendi nje kutafuta. Ma lubricants mengine ni sumu hata yanadhuru mbegu hivyo shamba halitazaa matunda yake.
Pili, jitahidi kumwandaa. Usifuate mtindo mmoja tu kila siku. Tangu umekutana na yeye ni huo huo. Uwe mbunifu wa mitindo na hata maneno ya kumwandaa. Sehemu unazo mteke.nya pia.
Jiulize, tangu umfahamu hajaubadili mtindo wa kusuka nywele zake? Kama anabadili kusuka nywele, iweje asibadili mtindo wa ku do?
Haya kanunue hizo Py grease unazo ambiwa.

Mate yatosha kabisa. Ni natural and safe lub ambayo haiui fauna wa kwny k!
 
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
hilo sio suluhisho, mwenzi wako ana ukavu sana, na wewe pia una ukavu vilevile, huyo sio pea nzuri sana kwako, solution za mafuta ni temporary..
 
Kama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.

Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.

Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom