Mafuta ya kupaka during sex act

multi-purpose-grease-250x250.jpeg

Hahahaha lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nyie kweli mmefeli muangalie kwa jicho la tatu huyo muuguzi asije kukuchukulia mkeo.
Nalog off
 
kwa kawaida mwili wa mwanamke unatoa ute pale anapokuwa tayari kwa tendo .so ukiona mwenzako mkavu basi ujue hayupo tayali kwa muingiliano.ni bora ukatumia muda mwingi katika kumuandaa na uhakikishe hisia zake zipo hapo.sio vizuri sana kutumia mafuta kwani mengi yana madhala kwa wanawake kutokana na asili ya maumbile.
 
Bro;
Acha kujisumbua kuuliza mengi hapa. Tuna tumiaga, Natural lubricants. Mate! Huna haja kwenda kuuliza mbali. Temea mate mkononi, paka kichwani. Mbona ni laini tuu. Ukihisi ukavu ongeza tu. Hayapo mbali wala huendi nje kutafuta. Ma lubricants mengine ni sumu hata yanadhuru mbegu hivyo shamba halitazaa matunda yake.
Pili, jitahidi kumwandaa. Usifuate mtindo mmoja tu kila siku. Tangu umekutana na yeye ni huo huo. Uwe mbunifu wa mitindo na hata maneno ya kumwandaa. Sehemu unazo mteke.nya pia.
Jiulize, tangu umfahamu hajaubadili mtindo wa kusuka nywele zake? Kama anabadili kusuka nywele, iweje asibadili mtindo wa ku do?
Haya kanunue hizo Py grease unazo ambiwa.
 
Kabla ya tendo tumia dakika 30 za kucheana hasa mchezee kisimi uta ona ute tuu hiyo ni lazima.
 
Kama mpenzi wako anakuwa
mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.

Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa
mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa
hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.

Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza
pepeta zake shambani kule Mvomero.

Gheee!
Yani kila sex act anawaza pepeta?
Nadhani kuna tatizo hapa.
 
We si Babu? Huyo mpenzio ni bibi ama kijana?

Aisee msipandiane kama wadudu!
Andaaneni baba!

Unaweza kupaka hata hiyo lubricant lakini bado papuchi ikagoma kulainika!!
 
Last edited by a moderator:
Fanya hvi jaribu hii tiba asilia ajaribu kula nyanya chungu aka ngogwe kwa wingi atapata ulaini na majimaji kwernye papuch ake hii itamsaidia mybe
 
Back
Top Bottom