Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

ITV Tanzania wrote:

BREAKING NEWS:SERIKALI YAIFUNGA BARABARA YA DODOMA- MOROGORO BAADA YA MAFURIKO MAKUBWA KUSOMBA DARAJA ENEO LA DUMILA.
 
Kesi kama hz angekuwa yule baba wa maamuzi magumu sasa hv mngekuwa mnaripot JWTZ manarekebisha kwa daraja la muda.
Ktk hali ya kawaida baada ya masaa 12 kutopitika,JWTZ wanapaswa ku-take over hiyo barabara kutoka Tanroads na kujenga daraja la emergency kwasababu hii barabara ni ni kati ya strategic roads nchini.
 
Back
Top Bottom