Jamani, mnapo post vitu huku jueni kuwa sisi hatupo kwenye tukio. Tunaomba mtueleweshe mambo kidogo. Hiyo ni mvua ilinyesha Dumila? Ni maji kutoka milmani? Ni bwawa limebomoka? Je, wale ndg zetu waliokuwaga wanakaa pale darajani wakiuza mahindi na miwa na matunda wamesalilika au?
Mleta hoja tusaidie, wengine tuna maslahi yetu pale.
Mleta hoja tusaidie, wengine tuna maslahi yetu pale.