Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

USHAURI
Wanaoenda Mwanza, Shinyanga, Singida, Bukoba, Mara, Tabora na ukanda war huo watumie barabara ya Arusha kutokea Singida. waingilie chalinze
 
Kuna watu watakurupuka kutoka huko waliko na kuja kusema Serikali iko wapi..?na kulaumu utawala na serikali ya nne..
Wakisahau kuwa hii ni mambo ya climate ...
Ngoja waje hapa ..
Nawasubiri
 
heeeeeeeeeeeeeeeee haeeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngoja tuwaone hapa hawachelewagi.......................
 
Kuna watu watakurupuka kutoka huko waliko na kuja kusema Serikali iko wapi..?na kulaumu utawala na serikali ya nne..
Wakisahau kuwa hii ni mambo ya climate ...
Ngoja waje hapa ..
Nawasubiri

We unafikikiri kama hilo daraja lingejengwa madhubuti na barabara ingekuwa na mifereji ya kutosha hilo daraja lingeharibika!?
Wanaoilalamikia serikali hawana kosa kwa kuwa ndiyo yenye dhamana ya kujenga miundombinu bora kwa niaba ya wananchi.
 
Njia ya kilosa nayo haipitiki magari yamekwama coz ni mengi sana na yote yamekimbilia huko then kujengeka kwa sasa ni ngumu coz maji ni mengi mnooo na yana nguvu sanaa huwezi hata kukanyaga, nimekwama kutoka dar kwenda dom ni janga
 
Mafuliko hayajapita mizani kupima uzito mpaka yakavunja daraja? Waziri awajibike

Jamani, acheni utoto ndani ya Jf. Hili ni janga ambalo halikutarajiwa na ufahamu daraja hilo limetumika zaidi ya miaka 20 likipitisha magari ya kila aina. Serikali au waziri ana uwezo gani wa kuzuia mafuriko? Tuombe tu serikari ichukue hatua za haraka za kujenga daraja la dharula huku ikijipanga kulijenga upya daraja hilo.
 
Njia ya kilosa nayo haipitiki magari yamekwama coz ni mengi sana na yote yamekimbilia huko then kujengeka kwa sasa ni ngumu coz maji ni mengi mnooo na yana nguvu sanaa huwezi hata kukanyaga, nimekwama kutoka dar kwenda dom ni janga

Nimekwama huko dar nimetoboa saa 10 alfajiri,
 
We unafikikiri kama hilo daraja lingejengwa madhubuti na barabara ingekuwa na mifereji ya kutosha hilo daraja lingeharibika!?
Wanaoilalamikia serikali hawana kosa kwa kuwa ndiyo yenye dhamana ya kujenga miundombinu bora kwa niaba ya wananchi.

Kama mafurriko yamejaza mto uliosababisha daraja hilo kujengwa ni mifereji gani ingehimili ujazo huo? Mvua imenyesha maeneo mengine na kufurisha mto, hiyo mifereji ingejengwa wapi kudhibiti mafuriko makubwa kama haya? Tafakari kabla hujaongea kitu uli ujinga wako usijulikane na kukudharaulisha kwa jamii.
 
Kuna watu wanaenda kwenye interview sijui waajiri watawaelewa?
Kuna wenye appoitment na madaktari, kuna waliotoroka makazi wakaenda kwenye mishemishe zao na wanaoenda misabani kama huyu bi mkubwa.... ni nouma

Maskini bi mkubwa, amechelewa mazishi sasa!!
 
Kama mafurriko yamejaza mto uliosababisha daraja hilo kujengwa ni mifereji gani ingehimili ujazo huo? Mvua imenyesha maeneo mengine na kufurisha mto, hiyo mifereji ingejengwa wapi kudhibiti mafuriko makubwa kama haya? Tafakari kabla hujaongea kitu uli ujinga wako usijulikane na kukudharaulisha kwa jamii.

Umemjibu vema. Unajua kuongea na kulaum ni rahisi tu
 
Wana jf nimepita hapa dumila, kuna msongomano mkubwa sana wa malori ya mafuta yakisubiria kutengemaa daraja.Hii inaweza kupandisha bei ya mafuta.
 
Back
Top Bottom