Mhhhh mbona maneno makali sana haya?Tafadhali waonee huruma hawa vijana wa mbowe na Slaa wanapata shida sana mnapo wabomoa bomoa kama nyumba za kota za magomeniJack chapombe ndio kawaida yenu ninyi mkishikwa mnaanza kumtuhumu zitto,kama zitto ana kundi lake na ninyi member wa ngaramtoni,sanya juu,kibororoni,same ni kundi la nani mbona hamjitaji?kizuri chajiuza,mnapozungumzia kumnyima zitto fursa ndani ya cdm msisahau jamani mabadiliko ya katiba mpya,hasa kakipengere la umri na mgombea binafsi.zitto ndie rais ajae mtake msitake.kale kababu kenu kajiandae kukimbiwa na mshumbusi.sasa sijui kataenda wapi maana kamehonga nyumba,tena kasisahau komu(pro mbowe)anakadai ml 140 heka za ruzuku alizochukua chadema saccos kama zake.
Naona unaumia sana Zitto kukubalika na vijana,Kukubarika na wasema kweli,kukubarika na watanzania.unatafuta kila aina ya neno ujitutumue lakini unakandamizwa.Pole sana,bila shaka ukipita pale Ada utapewa vya sodahii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?
chama hiki watu wamepoteza maisha,watu wamefilisika kwa ajili ya kukiamini na kuona njia ya mabadiliko kupitia chadema.ni aibu kuona hata naibu katibu mkuu yupo mstari wa mbele katika kuunda kundi la aina hii.
vijana wenye akili timamu hatutawaruhusu watu wa aina hii.wasaliti wa aina hii ni bora waondoke wenyewe.hakuna nafasi ya kulea upuuzi kama huu
Jack chapombe ndio kawaida yenu ninyi mkishikwa mnaanza kumtuhumu zitto,kama zitto ana kundi lake na ninyi member wa ngaramtoni,sanya juu,kibororoni,same ni kundi la nani mbona hamjitaji?kizuri chajiuza,mnapozungumzia kumnyima zitto fursa ndani ya cdm msisahau jamani mabadiliko ya katiba mpya,hasa kakipengere la umri na mgombea binafsi.zitto ndie rais ajae mtake msitake.kale kababu kenu kajiandae kukimbiwa na mshumbusi.sasa sijui kataenda wapi maana kamehonga nyumba,tena kasisahau komu(pro mbowe)anakadai ml 140 heka za ruzuku alizochukua chadema saccos kama zake.
utapata tabu sana kuhangaika kuwavisha wenzako majina! ...mara Mchange Mwampamba ....ila nasikia siku hizi mchange nae anaitwa URASSA hebu nisaidie kunijuza kama kweli! ....Nilimwambia mtu anyejiita Gemmy hivi
akajibuh
mimi nikamjibu
pianikamwambia Haze(mchange) na Gongo2(mwampamba)
akaja member mmoja mwenye busara na kuona mbali akaandika hivi
Nikamjibu
nikaendelea kusizitiza
wao wakaja kufunga mjadala na kuturidhisha.JF mmeshajua aina ya vijana ambao Mbowe na Slaa wanawalea tu huku wakisababisha madhara haya makubwa kwa chama kwa kushirikiana na vibaraka wengine na CCM.Hitimisho lao hapa chini ndilo wanalotumia kuja kutukana watu JF
Ndugu Zitto kwakweli hoja zako nyingi ni zina make sense kwa wananchi wa kawaida,lakini huwa nashangazwa,kwanini watu wanaokichukia chama chako wanakusapoti wewe peke yako?Je unadhani kwanini hiyo hali ipo?Ni kweli. Lazima tuanzie hapa. Kwamba mtu anayetaka kuwa mtumishi wa umma lakini anafanya biashara aache biashara. Aweke kwenye 'blind trust' biashara zake katika kipindi chote cha utumishi wa uuma. Mataifa makubwa tena ya kibepari duniani yanafanya hivi. Sisi Taifa lililotoka kwenye ujamaa tunashindwa kuchukua hatua hii. Mara 3 nimepeleka muswada Bungeni kutaka kutungwa kwa sheria ambayo itadhibiti mgongano wa maslahi kati ya wafanyabiashara ambao ni wanasiasa na mra zote imekataliwa hata kuchapishwa kwenye gazeti la serikali (GN).
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba hapa ndio mahala pa kuanzia. Kisha uwazi wa mali za viongozi. Hivi sasa tunatangaza mali lakini wananchi hawana access. Matokeo yake ni wananchi kuwa na mawazo tofauti kuhusu viongozi wao. Daftari la mali na madeni ya viongozi liwe wazi. Mfano kwa wabunge liwekwe pale ofisi za Bunge Dar na Dodoma. Daftari liwe wazi kwenye website ya Bunge. Ili kama kiongozi amedanganya iwe rahisi kwa wananchi kumsema na kuona kuona kama anamiliki mali zaidi ya kipato chake.
Uwazi ni msingi mkubwa sana wa kupambana na ufisadi. Uwazi utaondoa majungu na kuzushiana. Uwazi utawapa nguvu wananchi juu ya viongozi wao.
zitto siyo mnafiki ndio maana haendi kwenye ziara zinazoongozwa na waanafiki! ...hakuna mtu anayemnyima zitto fursa chadema.anajinyima yeye mwenyewe.Yeye ni naibu katibu mkuu,jiulize kwa nini haonekani ofisini?Jiulize ni kwanini hashirikiani na wenzake kwenye M4C? Kazi yake kubwa ni kuhujumu chadema.Hakuna kijana mwenye akili timamau ambaye hakerwi na hali hii.Kazi yake kubwa ni kukichafua chama yeye na kundi lake halafu anategemea kugombea urais kupitia chadema kweli?
Vijana chadema tutamsimama kumzuia kiongozi au mwanachama yeyote atakayefifisha harakati zetu nyuma kwa staili hii anayotumia zitto na wenzake.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya usaliti huu kwa kumruhusu kutuvuruga.Never !
kielelezo cha kwanza nenda kamuulize Dr.slaa kwanini amekimbia jukwaa hili,anaogopa kujibu tuhuma za ufisadi wakemwakani?hamuwezi kutegemea kuichafua chadema na kujifanya mna uchungu na chama.kama huna viererezo kwa haya kaeni kimya
Kamundu,
Excellent !
Kwa Bahati mbaya tumezoea kujadili matukio bila kufikiri matukio hayo chanzo chake ni mfumo.Mfumo unakuwa based on national values kitu ambacho Taifa letu sasa hivi halina
Mfumo nao hutoa dira.Itikadi zote za vyama vya siasa huzaa sera ambayo itakuwa juu ya mfumo ambao ni tunda la national values zilizopo
Kwa bahati mbaya tumejenga taifa ambalo hata vijana wasomi ambao taifa linazalisha wanakuwa ni watu wa kujadili matukio na mambo madogo madogo tu.Hatufiki popote kwa staili hii
China,Rwanda na hata Russia ilipojijenga kwa muda wa mika 70 tu kuwa superpower ilipitia huko.Hakuna shortcut ingawa tunaweza kutumia fursa tulizo nazo za ziada (added Advantage) kufikia huko
Ukiangalia ilani za vyama vya siasa tulivyo navyo katika general Election iliyopita unaweza ukaona ni jinsi gani hatujaweza kuwa taayari katika hili kama Taifa.Nitarudi tujadili mada hii kwa mapana
wealthy Creation inawezekana kupitia marekebisho ya mfumo.Vicious circle of poverty inaweza kuwa historia kama tutadhamiria Radical Reforms !
Nilimwambia mtu anyejiita Gemmy hivi
akajibu
mimi nikamjibu
pianikamwambia Haze(mchange) na Gongo2(mwampamba)
akaja member mmoja mwenye busara na kuona mbali akaandika hivi
Nikamjibu
nikaendelea kusizitiza
wao wakaja kufunga mjadala na kuturidhisha.JF mmeshajua aina ya vijana ambao Mbowe na Slaa wanawalea tu huku wakisababisha madhara haya makubwa kwa chama kwa kushirikiana na vibaraka wengine na CCM.Hitimisho lao hapa chini ndilo wanalotumia kuja kutukana watu JF
Ndugu Zitto kwakweli hoja zako nyingi ni zina make sense kwa wananchi wa kawaida,lakini huwa nashangazwa,kwanini watu wanaokichukia chama chako wanakusapoti wewe peke yako?Je unadhani kwanini hiyo hali ipo?
Jack chapombe ndio kawaida yenu ninyi mkishikwa mnaanza kumtuhumu zitto,kama zitto ana kundi lake na ninyi member wa ngaramtoni,sanya juu,kibororoni,same ni kundi la nani mbona hamjitaji?kizuri chajiuza,mnapozungumzia kumnyima zitto fursa ndani ya cdm msisahau jamani mabadiliko ya katiba mpya,hasa kakipengere la umri na mgombea binafsi.zitto ndie rais ajae mtake msitake.kale kababu kenu kajiandae kukimbiwa na mshumbusi.sasa sijui kataenda wapi maana kamehonga nyumba,tena kasisahau komu(pro mbowe)anakadai ml 140 heka za ruzuku alizochukua chadema saccos kama zake.
kama mbowe alivyomfanya chacha wangwe,akayafikia malengo ya uenyekiti wa chamazitto hana hizo qualities...ni mtu ambaye yupo tayari kukanyaga juu ya wenzake ayafikie malengo anayohitaji.huu unafiki wake ni mbaya sana.autafika popote ndani ya chadema
Zitto ni sehemu ya hilo kundi.ni kinara wa kundi hilo.Ameanzisha thread na kundi lake lote liko vitani kuwachafua dr.slaa na freeman mbowe.lengo ni wachafuke ili yeye aonekane anafaa kuwa mwenyekiti wa chama mwakani na mgombea urais 2015.haelewi kwamba huwezi kuwa maarufu kwa kuwatukana wengine
Acha za kuletwa wewe Slaa si mchanga.tatizo mnahadithiana ujinga katika gahawa.Kwanza futa kwamba watu wanakichukia chadema.
Pili tambua watu wanachukia tabia za Dr.slaa na Mbowe
Watu wengi wanachukia uchagga na unafiki wa Dr.slaa,hawakubaliani na namna chama kinavyoendeshwa kikanda.
hii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?
chama hiki watu wamepoteza maisha,watu wamefilisika kwa ajili ya kukiamini na kuona njia ya mabadiliko kupitia chadema.ni aibu kuona hata naibu katibu mkuu yupo mstari wa mbele katika kuunda kundi la aina hii.
vijana wenye akili timamu hatutawaruhusu watu wa aina hii.wasaliti wa aina hii ni bora waondoke wenyewe.hakuna nafasi ya kulea upuuzi kama huu
Acha za kuletwa wewe Slaa si mchanga.tatizo mnahadithiana ujinga katika gahawa.
Acha za kuletwa wewe Slaa si mchanga.tatizo mnahadithiana ujinga katika gahawa.