Mafisadi kuhamia CHADEMA?

Mafisadi kuhamia CHADEMA?

Ataanzisha cha kwake CCM2 maana vijana wake walishaanza kufungua matawi mapya kule Arusha. Waangalie magamba jamaa ataondoka na wanachama wote kama ataamua kusema ukweli wote juu ya sakata la downs.
 
Hii itakuwa kituko cha karne. Ni sawa na Jeshi la Marekani lilipokwenda Iraq kuwatoa Baathists na Saadam Hussein, halafu wakamkamata Saadam na kuamua kumpa nafasi ya ujenerali kwenye jeshi la Marekani huko Iraq. Huo ni wehu.
 
Huyo ni kimeo aanzishe nae CCL maana walianza na CC J then wakaja na CCK huku CDM hatakiwi ni wa kuogopa kama ukoma
 
Mbona vyama vingi tu.
Ahamie NCCR-Mageuzi awape ufufuo maana Mbatia ameshindwa kuendesha chama chake. Anaweza kubahatika ku-retain vibaraka wake akina Millya & CO LTD. Vilevile anaweza ku-retain hata jimbo lake maana akibaki CCM jina halitarudi.
 
CDM wasijaribu kuruhusu hii kitu.

Ila taarifa nilizo nazo za kiintelijensia zinasema hivo.
..............isije ikawa kama zile za IGP za kuzuia maandamano ya Arusha bro, hizi taarifa za intelijensia zinatumika sana hasa Arusha...ona mtoto wa kigogo na simu ya kuzuia kuzinduliwa matawi ya UVCCCCM nazo zilikuwa za kiintelijensia!!!! Hizi intelijensia zisizo intelijensia zitatupa shida tu
 
Atueleze ukweli kwanza.Sidhani kama tutamsikiliza kama kwanza hajaweka mambo wazi.

Juzi alitisha nyau,waandishi wakaenda,hola,blah blah tu.

Sijui alipigwa biti ama alibadili mawazo mwishoni.

All in all aweke mambo wazi.There is no any other way around this.
 
Si mbali sana wengi tutatambua kwa kwa mafisadi siasa nchini ni mchezo wa kamari kwa mienendo ya mambo ndani ya CCM hivi sasa inavyotuambia.
 
Huyu Dingi asipokelewe CDM. Tutakuwa tumepoteza dira endapo tutafanya hivyo. Maana isije tunakemea ufisadi kwa kuwa wako ccm na wakiwa cdm ni lulu la hasha tusithubutu kutenda kosa hilo la mapokezi ya EL.
mkuu kama uliona vilee
 
Back
Top Bottom