britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,158
- 47,716
CHADEMA hawezi kwenda fisadi bana.
Fisadi akitoka CCM anahamia CUF NCCR, TLP au UDP bana kwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha mikataba feki.
(CCM) wacha hizo bana fikiri hata kidogo ukipata information bana au unasemaje mkuu.
Hahaha, Jamaa Hii Alipost 2011, Nimeipitia Nkacheka