Source?
Jaribu kuongea na Kubenea, akupe ukurasa wa ndani uandike huu upupu wako!
Kichwa chako kimejaa funza kubenea hapo anakuja vipi?
Wewe na Nape chuki yenu kwa Wachaga iko dhahiri kwa nini? Hivi hata wale Wachaga ambao ni wapenzi,wanachama au viongozi wa CCM nao mnawachukia pia?Basi kaombe ukurasa kwenye gazeti lenu Wachagga Tanzania Daima
tutashuhudia vituko vingi sana hadi kufika 2015.
kingine katibu mwenezi wako kaawaambia vijana wa mwanza washike ukuta sijui alitaka kuwafanyia mchezo aliozoea kuwafanyia vijana wa ccm sijui wewe,ritz1,rejao na mzee alishawaharibu sasa anataka wa upinzani?Kweli kabisa, kimojawapo tumekishuhudia Igunga kwa Chadema kukosa ubunge.
Ume Source gazeti, then umeandika gazeti lako huku unalialia kutafuta huruma ya pro CDM JF members, hakuna wa kuwahurumia hapa. Mmeyaanzisha wenyewe na muyamalize wenyewe. Kwa taarifa yako hakuna aliye msafi CCM, jitu kama Nape na matusi na ligha za kihuni lilizo nazo halifai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa, nyie mnalipa uenezi ili afiche ulegelege wenu...Gazeti la kulikoni la tarehe 14/10/2011
We si unashikishwa ukuta na Nape, Mwigulu na kilaza Lusinde...Kweli kabisa, kimojawapo tumekishuhudia Igunga kwa Chadema kukosa ubunge.
Jaribu kuongea na Kubenea, akupe ukurasa wa ndani uandike huu upupu wako!
kingine katibu mwenezi wako kaawaambia vijana wa mwanza washike ukuta sijui alitaka kuwafanyia mchezo aliozoea kuwafanyia vijana wa ccm sijui wewe,ritz1,rejao na mzee alishawaharibu sasa anataka wa upinzani?
kweli mna mwenezi.
Kweli kabisa, kimojawapo tumekishuhudia Igunga kwa Chadema kukosa ubunge.
Malisa alitaka vijana wa CCM kuungana na wa vyama vya upinzani kuwawajibisha waliopinga Dowans kununuliwa.
Hotuba ya Malisa ambaye sasa anaonekana wazi kuwa upande wa mafisadi, ilijaa kejeli na dharau kwa serikali na uongozi wa CCM Taifa, hali iliyotafsiriwa kuwa ni uasi wa waziwazi.
Basi kaombe ukurasa kwenye gazeti lenu Wachagga Tanzania Daima