Mafisadi kuhamia CHADEMA?

Mafisadi kuhamia CHADEMA?

Hivi hawa wafuasi wa Chadema waliobaki huko wana akili kweli.

Mkuu umeona eh? Kulikuwa na red flags nyingi 2011 hatukuamini
Ila leo yote yametimia! Waliobaki ni opportunists tu! Hakuna mwanaharakati au mwenye nia dhati ya Maendeleo waliobaki Chadema!
 
Lisemwalo lipo, kama halipo laja.
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mafisadi wana uhusiano wa karibu na uongozi wa juu wa CDM.
Nukuu ya gazeti la Raia Mwema la leo linaeleza kwa undani jinsi vikao vya mafisadi vitakavyofanyika huko Arusha Pasaka hii.
Arusha ndiko wanatoka Dr Slaa na E Lowassa, sijui kama kunauhusiano hapo!
Nape Nnauye alitonesha suala hili la uhusiano kwa mbali kati ya genge la mafisadi na CDM, wakati akituhumu kuwa kuna magezeti,chama fulani na viongozi fulani wa dini wameanza kutumiwa(taarifa za kiintelijesia?).
Jamani pesa hiyo inatembea.
Ikija thibitika CDM will have lost all credibility.

Mkuu kwanza samahani unaposema uongozi wa juu wa CHD unamaanisha nani maana sasaivi kunaviongozi wawili ambao kwa sasa sifazao zinashabihana kabisa ni yupi unayemlenga au unawaongelea wote wawili????
 
Mkuu umeona eh? Kulikuwa na red flags nyingi 2011 hatukuamini
Ila leo yote yametimia! Waliobaki ni opportunists tu! Hakuna mwanaharakati au mwenye nia dhati ya Maendeleo waliobaki Chadema!

aisee ila kweli hukonyuma wakati viongozi wetu walipokuwa wanatuelimisha kuhusu mgombea wao wa sasa ambaye asafishiki tulikuwa na red flags nyingi sana kwa huyu jamaa, sasa nasisi tumejikuta red flag zetu zimekuwa white flag sababu tu sasa hao hao viongozi wetu wakiongozwa na Mastermind anayejua kucheza na akili za watanzania wanatuzungushia mbuzi wakituambia ni dhahabu yenye thamani kuliko tunavyoweza kufikiri hata mimi nilishatoka huko sikunyingi sana.
 
Huyu Dingi asipokelewe CDM. Tutakuwa tumepoteza dira endapo tutafanya hivyo. Maana isije tunakemea ufisadi kwa kuwa wako ccm na wakiwa cdm ni lulu la hasha tusithubutu kutenda kosa hilo la mapokezi ya EL.

natamani kujua msimamo wako sasa, ngoja nipekue hapa hapa matkaba
 
umekalia ----- muwasho tu unakusumbua. Unaona Silaa(Dkt wa Ukweli) ni wa kukaa na fisadi meza Moja?

Na mkadiriki kumtelekeza mtu aliye na msimamo (Dkt wa ukweli) na sasa mnajitahidi kuwalaghai wanainchi "wasio wapumbavu wala malofa" kuwa mnayo nia ya dhati ya kupambana na ufisadi.

.......SHAME ON YOU.....
 
http://jobrize.com/index.php?ref=578032 TEMBELEENI HII LINK UJIONEE JINSI NETWORKING MARKETING INAVYOWEZA KUKUPATIA PESA KILA SIKU NA MWISHO WA MWEZI JIUNGE NA UANZE KUSHARE KWA WENGINE NA KUANZA KUPIGA PESA KILAINI ONLINE NA UNAINGIZIWA 20DOLA UNAPOJIUNGA TU.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na mkadiriki kumtelekeza mtu aliye na msimamo (Dkt wa ukweli) na sasa mnajitahidi kuwalaghai wanainchi "wasio wapumbavu wala malofa" kuwa mnayo nia ya dhati ya kupambana na ufisadi.

.......SHAME ON YOU.....

View attachment 299401

Salute forever.... sisi kama CDM asilia hatutasahau kukutusi wala kukudhihaki kamwe kama wafanyavyo CHD masilahi mbele, tunatambua na tutakuenzi kwa mchango wako juu ya chama chetu na tunakuhueshimu sana Dr. tunajua unajua kuwa sasa chdm imeshakuwa infected na mtandao ambao kiongozi wake sasa amegekuwa kuwa ndo kiongozi wa juu na atakalo ndilo linalofanyika. Ila tungependa ufahamu hili Dr. kuwa tunazoakili timamu kabisa na hatujasombwa na ushabiki na tunajua nini chakufanya tar25. Tunakushukuru sana kwa yote mazuri uliyo tusaidia kichama na kiuzalendo.

--------------------------------
Mungu ibariki Tanzania
Na Mungu akubariki Dr. Slaa
 
Zitto K. alisema baada ya uchaguzi UKAWA itawakumbuka sana Dr Slaa na Profesa Lipumba.

mimi nawapa mwaka mmoja tu, muone moto wake.
 
Back
Top Bottom