OMG! You better keep your promise maana naanza kujiandaa, halafu ujue tunaweza tukafanya kazi za TTB tukiwa huko ikaleta mafanikio ya paap kama royal tour...End of this year nakuandalia tour visit to USA my dearest. Sio USA River ya Ara, bali the real maandishi matatu U.S.A.
Nasie tukawatalii hao watasha.
Miss you sisy.
-Kaveli-
Ni noma kweli.Hawa mimi nimewachukulia kama Explores...
Duh.. mabeberu noma.
Nenda kajisaidie mchana kweupee pale askari monument uone kama Citizen hawataandikaEndelea kuishi Kwa kukariri! Kama wangekuwa wanakuja tangu kitambo isingekuwa Habari kwenye gazeti la Citizen
Msamehe bure! Anahangaika na kibaya kinachojitembeza!!Mbona tourist agents wamekuwa wakija nchini toka kitambo!
Wajinga ndio waliwao"to sample tourist attractions" sijui umeelewa?
Hao matapeli wanakuja kutalii bure.
Unamkumbuka yule black Amerika alimwambia Mwakyembe anakuja kujenga tren ya juu Dar?? mpaka Mwakyembe akamuita "huyu baba"
Jibu swali...usikimbilie hoja nyepesi, eti pingapinga!Pingapinga Fc tumeshawazoea! Nyie kila kitu kupinga na kuzua nadharia zenu!
Mkuu siku hizi naona umekuwa hewa...zile nondo zako kali za kabla ya huyu mama kuingia madarakani, kwisha kabisa!Hata mimi nimepita mikumi,selous,katavi,tarangire,Manyara na ngorongoro ila kwenye bus nikaona wanyama 😀😀
Wewe umekuwa ni vapour kabisa.. Sijawahi mkubali mwendazake kwa sera zake za kijamaa na kutoheshimu mawazo ya wengine..Mkuu siku hizi naona umekuwa hewa...zile nondo zako kali za kabla ya huyu mama kuingia madarakani, kwisha kabisa!
Swali gani?Jibu swali...usikimbilie hoja nyepesi, eti pingapinga!
Wizi gani wa Trilion 1.5?Mikataba ya wizi ndio inakuhemsha?
Hata Jack Ma kapigwa pini huko china! Ila nae ni tajiri mkubwa tu na ana investments kibaoSio kashfa za utapeli, mara kadanganya sijui mradi umekwama na janja janja, tena kwa hela za mboga huyo alikuwa tapeli na criminalView attachment 1946306
View attachment 1946299
Kwani kuna mwenye akili alisupport uuaji na ukatili wa Magufuli?Kutoka Kumchukia Late Magufuli na Kuwa mfuasi wa Cdm mpaka Kuwa mpiga debe Wa Samia Wa Ccm.... Mpuuzi