Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

Prishaz

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
2,498
2,000
End of this year nakuandalia tour visit to USA my dearest. Sio USA River ya Ara, bali the real maandishi matatu U.S.A.

Nasie tukawatalii hao watasha.

Miss you sisy.

-Kaveli-
OMG! You better keep your promise maana naanza kujiandaa, halafu ujue tunaweza tukafanya kazi za TTB tukiwa huko ikaleta mafanikio ya paap kama royal tour...

I missed you more ngoja nije nikufinye kdg.
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,928
2,000
Hawa mimi nimewachukulia kama Explores...
Duh.. mabeberu noma.
Ni noma kweli.
They know in/out about us that's wanacheza na akili zetu, ndiyo maana hawapendi kuona intelligent fighter president anadumu.

Wana wapandikizia sumu kwa kila njia, mwisho wanakuja kulia nanyi.
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,059
2,000
Mkuu siku hizi naona umekuwa hewa...zile nondo zako kali za kabla ya huyu mama kuingia madarakani, kwisha kabisa!
Wewe umekuwa ni vapour kabisa.. Sijawahi mkubali mwendazake kwa sera zake za kijamaa na kutoheshimu mawazo ya wengine..

Mtu mwenye majigambo,kujivuni,mbabe na mwenye mawazo ya kijima siwezi kuwa upande wake..

Niko na mama kwa sababu ni muumini wa sera za Uchumi wa soko na amenikosha maeneo mengi ..
👇

Screenshot_20210920-152209.png
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,536
2,000
Aya sasa mahaba mwandaaji wa iyo tour kasema itatoka rasmi mwakani mbona bado inafanyiwa kazi studio uko
 

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,794
2,000
Kutoka Kumchukia Late Magufuli na Kuwa mfuasi wa Cdm mpaka Kuwa mpiga debe Wa Samia Wa Ccm.... Mpuuzi
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
9,463
2,000
tuache kutegemea Wazungu na hela zao ndio tujenge uchumi wetu, hebu tujaribu kufikiria namna nyingine kukuza uchumi wetu baadala ya hii ya miaka mingi ya kutemea utalii na watalii...

Linchi likubwa sana, lina mapoli kibao, mito inayotiririka usiku na mchana, bahari iliyojaa samaki, ardhi yenye rutuba na madini lukuki..lakini lingine la muhimu ni idadi kubwa ya watu zaidi ya 50mill..

Nini kifanyike?,, hakuna namna zaidi ya kizazi hiki kujitolea na kufanya kazi kwa bidid usiku na mchana kuijenga nchi kwa jasho na damu ili vitukuu vyetu vije kuishi kwa heshima...
 

ALLGAMES

JF-Expert Member
Aug 28, 2021
322
500
KWANZA KABISA ROYAL TOUR HATA HAWAJAMALIZA KUREKODI

NA PIA KIPINDI CHENYEWE HATA HAKIJAANZA KURUSHWA...!!!

?????? !!!!!!!! ?????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom