Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tanzania toka uhur mungu kailindaxna tunaishi kwa a man.ndo maana mung akamua kumweka jpm ili kutetea taifa ili ambalo lili kuwa limepotea kabx. Mung mbarik jpm mpatie maarifa ili Tanzania Iwe inchi ya historia.kama unampenda jpm like
 
wakuu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
huyu Rais kwa kutaka kuboresha bandari ya Kigoma ambapo tutakua tayari Burundi na Upande wa Congo tumeufikia na sasa hiyo SGR sasa Isaka itachangamka kama zamani lakini pia mashariki mwa Congo tutakua tumefika kwa maana bidhaa lazima ziende kwa urahisi na biashara na congo itakua mlangoni.
 
Atakumbukwa kwa kuifanya Ruanda kua hub ya ukanda wa africa mashariki.
Ruanda ndio itakua gate way ya mizigo ya congo na burundi
 
Mkuu hapo ungumbaru ni upi? Kufika Congo?
Mijitu mingine imezaliwa na kisirani, inahubiri uzalendo kumbe imejaa ukanda.

Nampongeza sana JPM, watu wa Manyoni, Tabora, Isaka, Kagera, Rwanda na East Congo maisha yatakuwa mepesi.
 
Umeme huu wa taa tu ni tatizo mpaka mgao huo wa treni utatokea wapi ndio mambo ya kuanza safari dar to mwanza umeme ukikatikia nzega mnalala apoapo
 
Fanya kazi pata mshahara wako hauna wizi maofisini.

Fanya biashara yako lipa kodi.

Wakikukamata na kosa lolote jela ndio nyumbani kwako.

hakuna wa kumtukana mwezake, wala kumdhalau mwingine.

Fanya yako achana na maisha ya wengine.

NB: Tanzania imekomaa, watu wanaeshimiana kipindi hiki. KILA KITU KWENYE MSTARI..
 
Habari za Alasiri Ndugu!
Huu ni uzi special Kabisa kwa wote tunaounga Mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI
magufuli111.jpg
tanzania-president-john-magufuli.jpg
AFP7240204_Articolo.jpg
 
wee mpuuzi mbona unahangaika sana umejiunga Jana tiyari unaanza kupost ujinga usilete utoto na ujinga wa fb huku,jf INA heshima yake ni Chuo tosha ukiitumia vizuri hio ujinga wote utakutoka utakua huna tofaut na elimu ya Dr bana
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Kasi ipi unakurupuka andika kwa data,au kasi ya kuwashika akina Msigwa na akina sugu tupe data sio unakurupuka tu.
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji
Mazuri ya watu kuototwa wakiwa maiti na kupigwa risasi wanihoji sio,na yeye kukaa kimya bila kukemea wala kutoa tamko
 
Back
Top Bottom