Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ndungu wanajamii ningependa kuchukuwa fursa hii kumpongeza Rais wangu wa awamu hii ya 5.kwa kazi nzuri ya kuibadilisha Tanzania yetu kwa weledi wa hali ya juu.Watu walilia mabadiliko na mabadiliko ya kweli yanaletwa na Mhe JPM pamoja na majemedari wake wanaomsaidia kutika mabadiliko ya kweli.Leo am proud of my lovely country under superb leadership of President JPM.hata raia wa kigeni sasa wanalitambua hilo wanapokuja nchini kwetu kwa shughuli mbalimbali.JPM is a real deal..... God protect our president from evil people.
 
Ni wazi kuwa hata ungefanya mema mangapi kwa wanadamu kamwe usitegemee kupata sifa,pongezi au kutiwa moyo na wote, NASEMA KAMWE.

Tumeshuhudia viongozi kama Gaddafi licha ya kuwapenda sana watu wake na kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa ya wananchi, lakini wapi mwisho wa siku alichukiwa hadi kuuwawa kinyama, LEO WANAJUTA na mifano mingine lukuki kama hiyo.

Kwa Tanzania kama ilivyo kwa nchi za wanadamu wengine wenye hulka fanani,usitegemee fadhila wala pongezi kutoka kwao hata kidogo.Ila ukweli ni kuwa:

- Mengi mazuri rais ameyafanya na wote ni mashahidi ila kwa sababu ya UCHAMA basi hakuna anayeona kitu chochote kimefanyika.

-Ni nani aliyeweka mwiko mkubwa huu wa vyama pinzani kutosifia utendaji wa rais hata kwa yale yanayolenga maslahi ya kizazi chetu na kijacho?.au chama tawala kutosifia upinzani hata pale wanapofanya mema yanayohusu maslahi mapana ya nchi hii?

Je huu uzalendo unaoimbwa kuchwa kutwa una maana gani ikiwa yale yanayoguza maslahi ya taifa yanabezwa na kutupwa kama vitu visivyofaa.Kwa hali hii napata kigugumizi ikiwa wale wale wanaoimba uzalendo ,hawayataki yahusuyo uzalendo .Je si unafiki huu?.

Basi nasema ikiwa uzalendo ndio nguzo ya maendeleo ya taifa letu, MH.MAGUFULI KAZA UZI HISTORIA ITAKUKUMBUKA.
 
Ni wazi kuwa hata ungefanya mema mangapi kwa wanadamu kamwe usitegemee kupata sifa,pongezi au kutiwa moyo na wote, NASEMA KAMWE.tumeshuhudia viongozi kama gadafi licha ya kuwapenda sana watu wake na kutumia raslimali za nchi kwa manufaa ya wananchi,lakini wapi mwisho wa siku alichukiwa hadi kuuwawa kinyama, LEO WANAJUTA na mifano mingine lukuki kama hiyo.
Kwa Tanzania kama ilivyo kwa nchi za wanadamu wengine wenye hulka fanani,usitegemee fadhila wala pongezi kutoka kwao hata kidogo.Ila ukweli ni kuwa:
- Mengi mazuri rais ameyafanya na wote ni mashahidi ila kwa sababu ya UCHAMA basi hakuna anayeona kitu chochote kimefanyika.
-Ni nani aliyeweka mwiko mkubwa huu wa vyama pinzani kutosifia utendaji wa rais hata kwa yale yanayolenga maslahi ya kizazi chetu na kijacho?.au chama tawala kutosifia upinzani hata pale wanapofanya mema yanayohusu maslahi mapana ya nchi hii?
Je huu uzalendo unaoimbwa kuchwa kutwa una maana gani ikiwa yale yanayoguza maslahi ya taifa yanabezwa na kutupwa kama vitu visivyofaa.Kwa hali hii napata kigugumizi ikiwa wale wale wanaoimba uzalendo ,hawayataki yahusuyo uzalendo .Je si unafiki huu?.
Basi nasema ikiwa uzalendo ndio nguzo ya maendeleo ya taifa letu,MH.MAGUFULI KAZA UZI HISTORIA ITAKUKUMBUKA.
I like Magufulification. Nakumbuka tulihitaji mtu kama Mhe. Magufuli. I can even "feel his presence" as a president and a real son of Africa.
 
Kwaalipo tufkisha hapa historia lazima itamkumbuka tuu hata asipokaza uzi unaousema,make kama sukari alikuta inauzwa 5000 yeye kafanya ishuke mpa 2800, kwanini asikumbukwe? Sadam Hussein kuwa raisi wa Kuwait kwanini asikumbukwe kwenye historia nakuwekwa kwenye front fed? Yaani huyu kashaingia kwenye kitabu cha Guineas tayari.
 
Kuna watu wana mawazo ya ajabu sana! Eti usitegemee fadhila! Ulitaka hizo fadhila zitoke kwa nani na kwa sababu zipi?

Fomu za kugombea urais kachukua mwenyewe! Kazunguka nchi nzima yeye mwenyewe kuutaka urais!

Sasa ni nani mwenye wajibu wa kutoa fadhila au kushukuru kama si yeye ambae amepata alichoomba?!

Alichofanya kwa Watanzania kiasi cha kutaka fadhila zetu ni kipi ambacho hakijafanywa na waliomtangulia?

Au tumshukuru kwa kukamata vichwa vya treni visivyo na mwenyewe kule bandarini?

Au tumshukuru kwa kukamata na kuzuia makinikia huku akiacha dhahabu inaendelea kuzalishwa na kusafirishwa?

Au tumshukuru kwa kukamata ambulance 'zisizo na mwenyewe' ambazo hadi kesho ameshindwa kutoa mrejesho!!

Kwa miaka nenda rudi; nchi hii imekuwa ikiliwa na wanasiasa na top government executives!

Kabla ya kututaka tumsifie; nitajie ONLY ONE high profile politician aliteshughulikiwa na JPM kwenye the so called vita dhidi ya ufisadi!

Nitajie ONLY ONE top government executive aliyeshughulikiwa na serikali ya JPM kwa tuhuma za ufisadi!

Don't come with cheap argument kwamba alishatangaza asingefukua makaburi cuz' kuna several middle to lower rank government officials ambao wameliona joto la JPM !

Only stupid person ndie anaweza kuamini hao ndio walikuwa wanaangamiza hii nchi!!

Wako wapi BIG FISHES? Anawaogopa?!

So, endeleeni kudanganyana wenyewe kwa wenyewe lakini kwa yeyote anayetumia kichwa kufikiri; what s/he sees from JPM is more of carelessly perfomed political drama been there to fool the idiots!
 
Mimi namuomba mh rais ajitahidi kusimamia haki bila kujali chama,kabila wala dini!! wafungwa waliopo mahabusu haki itendeke juu yao kama kufungwa wafungwe na kama kuachiwa waachiwe maana baadhi yao makosa waliyoyafanya yanalingana na yakakobe ....
 
Kuna watu wana mawazo ya ajabu sana! Eti usitegemee fadhila! Ulitaka hizo fadhila zitoke kwa nani na kwa sababu zipi?

Fomu za kugombea urais kachukua mwenyewe! Kazunguka nchi nzima yeye mwenyewe kuutaka urais!

Sasa ni nani mwenye wajibu wa kutoa fadhila au kushukuru kama si yeye ambae amepata alichoomba?!

Alichofanya kwa Watanzania kiasi cha kutaka fadhila zetu ni kipi ambacho hakijafanywa na waliomtangulia?

Au tumshukuru kwa kukamata vichwa vya treni visivyo na mwenyewe kule bandarini?

Au tumshukuru kwa kukamata na kuzuia makinikia huku akiacha dhahabu inaendelea kuzalishwa na kusafirishwa?

Au tumshukuru kwa kukamata ambulance 'zisizo na mwenyewe' ambazo hadi kesho ameshindwa kutoa mrejesho!!

Kwa miaka nenda rudi; nchi hii imekuwa ikiliwa na wanasiasa na top government executives!

Kabla ya kututaka tumsifie; nitajie ONLY ONE high profile politician aliteshughulikiwa na JPM kwenye the so called vita dhidi ya ufisadi!

Nitajie ONLY ONE top government executive aliyeshughulikiwa na serikali ya JPM kwa tuhuma za ufisadi!

Don't come with cheap argument kwamba alishatangaza asingefukua makaburi cuz' kuna several middle to lower rank government officials ambao wameliona joto la JPM !

Only stupid person ndie anaweza kuamini hao ndio walikuwa wanaangamiza hii nchi!!

Wako wapi BIG FISHES? Anawaogopa?!

So, endeleeni kudanganyana wenyewe kwa wenyewe lakini kwa yeyote anayetumia kichwa kufikiri; what s/he sees from JPM is more of carelessly perfomed political drama been there to fool the idiots!
je hujaona wahusika kadha wa kadha wa masuala ya ubadhilifu wa fedha za umma wakishughulikiwa? mfano ESCROW au mgeni nchini?
 
Wahusika kadha wa kadha manake nini?! Kwani nilikuuliza mambo ya kadha wa kadha?! Swali langu lilikuwa straight forward... hili hapa:
Kabla ya kututaka tumsifie; nitajie ONLY ONE high profile politician aliteshughulikiwa na JPM kwenye the so called vita dhidi ya ufisadi!

Nitajie ONLY ONE top government executive aliyeshughulikiwa na serikali ya JPM kwa tuhuma za ufisadi!
Hao maelefu ya wahusika baki nao tu kwa sasa; mimi naomba unitajie WAWILI tu... mmoja toka serikalini na mmoja among top politicians. Na nimeshaweka wazi kwanini nahitaji hao watu... kukukumbusha tu ni kwamba, hata mtoto wa darasa la sita anafahamu hao ndio wanaofanya grand corruptions.... NITAJIE.
 
JPM kipenzi cha watanzania Wazalendo, Wazalendo tunampenda sana, tunamuombea sana ni jembe LETU.. Tulimpigania kipindi upinzani wamesimamisha jambazi, tukakataaa kumpa nchi mwizi, JPM endelea kufanya makubwa
 
Mbona hata Hitler historia inamkumbuka sana tu. Suala ni kukumbukwa kwa vipi na lipi
 
I like Magufulification. Nakumbuka tulihitaji mtu kama Mhe. Magufuli. I can even "feel his presence" as a president and a real son of Africa.
Naam, hata kwangu itakuwa hivyo endapo tu matukio ya utekaji,upoteaji na upigaji vitakoma. Wakati wowote mtu aweza kuvunwa na binadamu wenzake.
 
Kumkumbuka ni lazima kwa kuiminya demokrasi bila kusahu kichapo cha watu wasiojulikana ongeza kununua wapinzani pia kumkumbatia bashite bila haya .

Kwa hayo lazima historia imkumbuke..AKATUBU
 
je hujaona wahusika kadha wa kadha wa masuala ya ubadhilifu wa fedha za umma wakishughulikiwa? mfano ESCROW au mgeni nchini?
Tunataka wote waliotajawa kuhusika kwa namna moja au nyingine wakamatwe, kunaviongozi wa dini, viongizi wa serikali wabunge na mawazili wafanya biashara, Escrow haikuhujumiwa na lugemalila na sethi tyu, huyu kiongozi nimnafki mkubwa amejawa double standard hatendi kwa haki, wala cyo mpinga rushwa na ufisadi kama anavyojinasibu.
 
Back
Top Bottom