Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Anapopatia tuseme na atakapokosea pia tuseme!! kuna njia nzuri sana za kumkosoa kiongozi yaani kutumia maneno ya hekima na kuepuka maneno ambayo yanaweza kuliingiza taifa ktk machafuko kama vile maneno ya kakobe
 
Moja kati ya jukwaa ninaloliogopa maana hua nahisi sijakomaa kisiasa ,sikukuu njema wakuu
 
Kama unasapoti yote yanayofanywa na Serikali hii huenda wewe ukawa muuaji
Ndugu, serikali hii haijawahi kuua na wala haitafanya mauaji yoyote kwa watu wake ambao ni raia wema na wanaoitakia mema nchi yao. Sidhani kama unaweza kuwa na ushahidi wowote ambao utaonyesha Serikali hii ilifanya huo uuaji unao usema hapo. Ndugu usilazimishe nyeupe kuwa nyeusi, sijajua wewe unayetaka ipaka tope Serikali hii una lengo gani....... Kwa sababu kila kitu kiko bayana na yawezekana hata ww ulizisema tawala zilizopita kwa kutaka yafanywe haya yanayofanywa na JPM sasa yanafanywa bado unapinga tukueleweje?

Samsung note7
 
Habari zenu wana jf

Kwanza nitoe salam za pongezi kwenu nyote kwa kusherekea sikukuu ya Christmas na pia pole kwa wote walioshindwa kusherekea kutokana na sababu mbalimbali kama vile ugonjwa, safari, vyuma kubana, n.k.

Kuanzia sasa nimeona itakuwa ni busara zaidi kusapoti kile kinachofanywa na mh. Rais Magufuli kutokana na kutenda vile nchi ilivokuwa ikitakiwa kwenda, hakika kila sehemu imekuwa ikienda vile inavyotakiwa kwenda. Pongezi za dhati zimfikie mh. Rais popote alipo mimi nipo naye na nitafanya kazi ili nisimuangushe rais wangu. Sijaona angle ambayo ninaweza mpinga kwa nia njema mh. Rais, na kwa aliyoyafanya hadi sasa inatakiwa kila mwananchi aseme kwa sauti moja tena iliyo kuu kuwa RAIS WANGU NAKUUNGA MKONO PIGA KAZI.

mimi nipo na JPM ww je?......
Wenzako huwa wanaacha namba zao za simu.
 
Anapopatia tuseme na atakapokosea pia tuseme!! kuna njia nzuri sana za kumkosoa kiongozi yaani kutumia maneno ya hekima na kuepuka maneno ambayo yanaweza kuliingiza taifa ktk machafuko kama vile maneno ya kakobe
Achana na akili ya kufikri kwa ushabiki, Kakobe kosa lake liko kwenye maneno gani?
 
Taifa limegawanyika kabisa.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana
 
Nitoe rai kwa vijana wenzangu kuwa eti ukiwa mpingaji Serikali ndio utaonekana unaenda na wakati na ndio ujanja lakin ndio fasheni... Nikukwambie ukweli kuwa utakuwa umepotoka sana na utapuuzwa na kila mtu kwa kuwa yale yaliyokuwa yakipgiwa kelele na ww mwenyewe kijana hadi ukaupata huo umaarufu ndiyo yanafanywa, sasa sijui utakosoa kwa lipi zaidi ya wewe mwenyewe kujisaliti na kulisaliti taifa... Karibu uzalendoni kijana mwenzangu nchi hii inakuhitaji sana ili kusonga mbele kimaendeleo

Samsung note7
 
Umesahau kuweka namba ya simu
Mkuu nikusihi na tena wala usjidanganye kuwa yupo atakaye tokea akaleta hoja eti ya kupnga kile kinachofnywa na rais wananchi wenye akiri timamu hatutomwelewa na zaidi tutampinga yeye....... Taifa letu lazima lisonge mbele kwa namna yoyote ile.... Bado tupo nyuma sana na tukisema tuwasikilize nyny wapangaj na wapiga domo tutabaki nyuma mda wote....

Karibu uzalendoni

Samsung note7
 
Habari zenu wana jf

Kwanza nitoe salam za pongezi kwenu nyote kwa kusherekea sikukuu ya Christmas na pia pole kwa wote walioshindwa kusherekea kutokana na sababu mbalimbali kama vile ugonjwa, safari, vyuma kubana, n.k.

Kuanzia sasa nimeona itakuwa ni busara zaidi kusapoti kile kinachofanywa na mh. Rais Magufuli kutokana na kutenda vile nchi ilivokuwa ikitakiwa kwenda, hakika kila sehemu imekuwa ikienda vile inavyotakiwa kwenda. Pongezi za dhati zimfikie mh. Rais popote alipo mimi nipo naye na nitafanya kazi ili nisimuangushe rais wangu. Sijaona angle ambayo ninaweza mpinga kwa nia njema mh. Rais, na kwa aliyoyafanya hadi sasa inatakiwa kila mwananchi aseme kwa sauti moja tena iliyo kuu kuwa RAIS WANGU NAKUUNGA MKONO PIGA KAZI.

mimi nipo na JPM ww je?......

Pole sana Mwalimu muhanga wa ajira baada ya Rais wako mpendwa kuingia madarakani na kufutilia mbali ajira za walimu wa masomo ya sanaa! Vipi Ulishapata kazi kwanza? Maana kuna Uzi wako wa juzijuzi ulikuwa ukitafuta kazi. Au umeajiriwa kitengo cha Lumumba? Maana hata Troll JF alianzaga kuhangaika kutafuta kazi humu miaka ya 2015 baadae aliibukia Lumumba baada ya kazi kupiga Chenga
Natafuta kazi ya kwenye shirika au kufundisha(shule/chuo).

Mtaalamu wa elimu ya awali na watoto wadogo
 
Habari zenu wana jf

Kwanza nitoe salam za pongezi kwenu nyote kwa kusherekea sikukuu ya Christmas na pia pole kwa wote walioshindwa kusherekea kutokana na sababu mbalimbali kama vile ugonjwa, safari, vyuma kubana, n.k.

Kuanzia sasa nimeona itakuwa ni busara zaidi kusapoti kile kinachofanywa na mh. Rais Magufuli kutokana na kutenda vile nchi ilivokuwa ikitakiwa kwenda, hakika kila sehemu imekuwa ikienda vile inavyotakiwa kwenda. Pongezi za dhati zimfikie mh. Rais popote alipo mimi nipo naye na nitafanya kazi ili nisimuangushe rais wangu. Sijaona angle ambayo ninaweza mpinga kwa nia njema mh. Rais, na kwa aliyoyafanya hadi sasa inatakiwa kila mwananchi aseme kwa sauti moja tena iliyo kuu kuwa RAIS WANGU NAKUUNGA MKONO PIGA KAZI.

mimi nipo na JPM ww je?......
Hata kama ungekuwa haumsaport ungelazimishwa kumsaport.
 
Ulishapata kazi kwanza? Maana kuna Uzi wako wa juzijuzi ulikuwa ukitafuta kazi. Au umeajiriwa kitengo cha Lumumba? Maana hata Troll JF alianzaga kuhangaika kutafuta kazi humu miaka ya 2015 baadae aliibukia Lumumba baada ya kazi kupiga Chenga
Mkuu kwenye post nliyoiweka hapo juu hakuna sehemu nlipozungumzia suala la mimi kupata au kutopata kazi, nashindwa kukuelewa kuwa na ww unalengo gani hasa la kuleta hiyo hoja au unataka kututoa kwenye maada...?, kikubwa nikukaribishe uzalendoni mkuu... Taifa linakuhitaji ili kusonga mbele.

Karibu uzalendoni

Samsung note7
 
mi ntaendelea kuwa neutral, akikosea tutamsema, akipatia tutampongeza
Kwanza heshima yako bujibuji, lakini nikuombe angalau kwa Serikali hii toa msimamo wako na itapendeza kama utaiunga mkono kwa kipndi chote itakapokuwa madarakani, lakin baada ya hapo unaweza rudi kuwa neutral. Hii ni kwa sababu Serikali inakuhitaji kwenye kuharakisha maendeleo ukiwa hivyo neutral unaweza ukawa kikwazo.. Hata mungu anakataza huo uvuguvugu bora uwe baridi au moto.

Samsung note7
 
Back
Top Bottom