Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Mwaka 1982 nilishuhudia tukio kama hili kwa walimu wa UPE wakimuadhibu bila huruma mwanafunzi mwenzetu wa darasa saba, kisa mwl alipita kwenye kordo na kusikia akiitwa (psiiiiii).

Kilichotokea tulichukuliwa wanafunzi wote wa kiume na kumtaja aliyemuita kiuni mwl huyo, kitu ambacho ni kweli hakuna aliyefanya, ilihali mwl huyo na wenzake ilidibi wachuje mpaka akapatina mtu mmoja aliyekisiwa japo HAKUFANYA, ndipo alipewa kibano ambacho two weeks hakuja shule kutokana na makalio kuchanika kwa bakola.

So huu uhuni wa walimu wa mafunzoni kupiga ovyo haukuanza jana, leo au kesho ni kitambo labda kwa NEW AGE ndiyo wanaona kuna unyanyasaji kwa hao walimu.

Hivyo naunga mkono wapewe adhabu stahiki na iwe fundisho kwa wengine.
 
Mkuu unajichosha kujibizana na huyu kibaka mwenzie, anajibu anajifanya ni hakimu na kama ni hakimu basi ni mla rushwa wa kufa mtu. Nyani haoni kundule.
😱😀😀 tuliza mzuka ndugu ticha,inaonekana ningekuwa mbele yako,ungeweka fimbo pembeni ukaokota vitofari!hamna wito kabisa nyie,njaa tu zimewapeleka huko,hebu tokeni msije kuua wanetu!
 
Mwaka 1982 nilishuhudia tukio kama hili kwa walimu wa UPE wakimuadhibu bila huruma mwanafunzi mwenzetu wa darasa saba, kisa mwl alipita kwenye kordo na kusikia akiitwa (psiiiiii).

Kilichotokea tulichukuliwa wanafunzi wote wa kiume na kumtaja aliyemuita kiuni mwl huyo, kitu ambacho ni kweli hakuna aliyefanya, ilihali mwl huyo na wenzake ilidibi wachuje mpaka akapatina mtu mmoja aliyekisiwa japo HAKUFANYA, ndipo alipewa kibano ambacho two weeks hakuja shule kutokana na makalio kuchanika kwa bakola.

So huu uhuni wa walimu wa mafunzoni kupiga ovyo haukuanza jana, leo au kesho ni kitambo labda kwa NEW AGE ndiyo wanaona kuna unyanyasaji kwa hao walimu.

Hivyo naunga mkono wapewe adhabu stahiki na iwe fundisho kwa wengine.
Kweli kabisa mkuu.
 
Endelea kutetea upuuzi lakini madhara yake lazima na wewe yakupate tu, maana tutawaache hao wanafunzi waendelee na upuuzi wao.
Bahati nzuri wapo walimu smart wataendelea kujenga taifa letu kwa ufanisi bila shida.Wewe ukiona hauwezi a,b,c za ualimu uko huru badili kazi mkuu.Nakutahadharisha mapema kabisa,utakuja kupata kesi huko,bora uache.
 
Mkuu kilichotokea pale ni kwamba dogo yoyote akishaonesha kiburi na dharau ni lazima aadhibiwe. Sasa angeadhibiwaje na mwalimu mmoja wakati ameshaonesha ununda na kwa jinsi unavyomuona huyo dogo ni bhangi tu. Kiongozi weka akiba ya maneno, usilolijua ni usiku wa giza. Inawezekana umesomea shule za binafsi au seminary ambapo watoto wanatoka familia zilizostaharabika tayari. Mimi binafsi kipindi nasomea hii kada ya ualimu, nilikuwa nikisema sitaweza kumchapa mwanafunzi na wala sina hulka yoyote ya ungomvi lakini nilishawahi kumuhadhibu vibaya mwanafunzi na bahati nzuri alikimbia.
Siku ya test dogo hakuwepo na akadai alikuwa anaumwa! Kwanini huyo Mwalimu akimbilie kumpiga badala ya kujiridhidha kwanza kama ni kweli alikuwa anaumwa?! Picha inayotoka hapo ni kwamba huyo mwalimu hakuwa tayari kusikia utetezi wowote ule jambo ambalo si sahihi! Mnachotaka nyinyi ni kwamba so long mwalimu alishaamua kutoa adhabu kwa wahusika; basi huyo dogo nae alitakiwa kutii hiyo adhabu iwe kweli ilikuwa anaumwa au hapana... kitu ambacho pia si sahihi! Na kama nilivyosema hapo awali; mnadhani mna exclusive right ya kutoa adhabu bila muhusika kuhoji na kwavile wanafunzi wengi ni wanyonge huwa mnafanikiwa ktk hilo! Lakini anapotokea mmoja akahoji uhalali wa adhabu zenu ndipo mnakuja juu kwa kuwaita jeuri, viburi, manunda na kwamba wanaleta dharau hii yote ni kwa sababu mmeshazoea ku-deal na wanafunzi wanyonge wasiohoji to the point mnafikia kudhani you have that exclusive ambayo kimsimgi hamnayo!
 
Walimu hawana utetezi wa kujustify kipigo hicho..! Kile kipigo ni heavy sana.
 
Vipi na wanafunzi wahuni-vibaka kama yule aliyeshushiwa makonde na walimu waliokuwa katika jitihada za kulinda hadhi yao? Hao nao wanapaswa kiadhibiwa kwa kuwa wazazi wajinga kama wewe wameshindwa kuwapa malezi bora kama wanafunzi!
Mwanafunzi mtovu wa nidhamu anaadhibiwa kwa kujali UTU wake si kumdhalilisha. Mwalimu asiyejielewa naye anashughulikiwa ipasavyo kama vile wanavyoadhibiwa walimu wa Mbeya walimshambulia mwanafunzi.

Sheria msumeno
 
Ukimuangali huyo dogo kweli anatia huruma ila hatujui ni nini hasa alikifanya au kukitamka kwa walimu wake.

Mimi naona the best solution kwa walimu kwa sasa ni kuacha kupiga watoto wa watu mtoto asietaka shule achwe amalizane na mzazi wake.
Waalimu wakifanya kama utakavyo ww unafikiri shule za serikali (watoto wa maskini) zitakuwa shule au madanguro na maskani za kuvutia bange ??
 
Watu 5 wenye age above 20 mnamchangia mtoto ambae hata 18 haionekani kama amefika?!

Kwa hiyo mtoto angekuwa amefika miaka 18, 20, 25, ingekuwa sawa watu watano kumchangia?

Excuse me kindly, but you are contradicting yourself.
 
Kwa hiyo mtoto angekuwa amefika miaka 18, 20, 25, ingekuwa sawa watu watano kumchangia?

Excuse me kindly, but you are contradicting yourself.
Kwa viroja tu hujambo... halafu inaelekea hilo neno contradicting yourself ndo umelijua hivi punde! Au upo darasani kwa Ras Simba?! Pigana na mkubwa mwenzako kisha "pigana" na mtoto halafu uone kama reactions zake ni sawa! Yaani wala hufahamu kwamba hapo si tu kwamba wanakumbana na charge ya shambulio linaaloweza kuleta madhara lakini pia kuna suala la ukatili dhidi ya watoto! Kama na wewe ni mwalimu basi haishangazi ndo maana hakuna mnachokiweza zaidi ya kuzalisha mizigo ya zero!!
 
Yule mwanafunzi ni kibaka, mhuni mvuta bhange na chokoraa aliyekubuhu! Nimesoma na nimewahi kufundisha part time. Mwanafunzi anayepewa adhabu kama ile tena kwa timu ya waalimu vijana basi ujue amekosea kuliko kawaida... Kazi ya ualimu wewe isikie tu kwa mwalimu... mitoto ya siku hizi inakuwa tu na daftari moja tena wanakunjia mifuko ya nyuma na kazi kuvaa milegezo na kunywa viroba na bangi!!

Kale ni kakibaka na kalistahili kupewa haki kama kakibaka period!!!
Bwah! Bwah! Bwah! Mtamwaga sana mapovu mwaka huu lakini jamii haipo tayari kuona "walimu" wahuni kwenye mashule yetu!
Mimba.png
 
Nyinyi watoto muelewe kuwa hakuna kosa linalohalalisha kipigo kile hats mwizi Ni kosa kumpiga Kama ameshadhibitiwa. Ndio maana Kuna watu wako jela wanatumikia vifungo kwa kumjeruhi aliyetuhumiwa mwizi na akahukumiwa kwa kosa la wizi huo. Sheria na taratibu zimeainisha adhabu stahiki kwa kila kosa iwe Ni shuleni au mahakamani na kukiuka Ni kuvunja sheria na Ni jinai.
Mtu mwenye hekima hawezi kudhibiti uvunjifu wa sheria kwa kuvunja sheria.
Tunapolalamikia kutendewa haki Ni lazima tutende haki.
Ninajua this is just a tip of an iceberg, kwamba yanatendeka Sana na ndio maana kumekuwa na watetezi wengi wa uovu huu ambao Ni dhahiri unatoka kwa walioguswa na dhamiri zinawahukumu.
Tujifunze kuishi kwa kufuata sheria na taratibu Kama taifa la wastaarabu.
Yaani watu wapuuzi sana tena viwango vya upuuzi! Halafu wasivyo na aibu wamekazana kusambaza habari za kumchafua yule mtoto ili mradi tu wahalalishe ule unyama! Wao wenyewe wana machafu yao kila kona lakini watu kwa kuwaheshimu wanayanyamazia lakini leo hii wao ndo wamekuwa mbele kusambaz habari za kizushi za mtoto mdogo bila aibu... mara anavuta bhangi; utafikiri wanavuta... mara kwao ameshindikana kwao, mzazi wake juzi anaohojiwa kuhusu hilo, mzee anashangaa hizo habari za kwamba ameshindikana!! Mbaya zaidi, wala hawafahamu kwamba hakuna chochote watakachosema kiwe kweli au cha uongo ambacho kinaweza kuhalalisha ule unyama!! Halafu wengine walivyo wanafiki; utawakuta wanakuwa mbele kupinga unyama wa polisi dhidi ya raia... yaani kwao unyama wa polisi dhidi ya raia sio sawa lakini unyama wa walimu dhidi ya watoto; sawa!
 
Nina uzoefu na mtu anayetumia bangi, midomo na namna anavyoongea dogo ni mvutaji, huko mashuleni walimu kazi mnayo
 
Back
Top Bottom