Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Jaman walimu wengi wamepigwa na wanafunzi na wengine na wazaz wa mwanafunz lakina hatujawahi kuona msako mkali na adhabu Kali ikitolewa ili iwe fundixho kwa wengine na ijulikane kuwa kuna wanafunz Wa aina nyingi na tabia zao nitofauti xana
 
Nalaani sana ilo genge la waalimu waliomshambulia uyo mwanafunzi. Inaelekea magenge ya waalimu wa namna hiyo ni mengi kuliko inavyofikitiwa kutokana na jinsi wanavyowatetea wenzao waliofanya ukatili huo.
 
Nina uzoefu na mtu anayetumia bangi, midomo na namna anavyoongea dogo ni mvutaji, huko mashuleni walimu kazi mnayo
Haibadilishi ukweli kwamba wale walimu ni monsters na thanks God, they're all fired manake ambacho kingefuata ni kwenda kubaka wanafunzi, shenzi taipu zao!
 
Nalaani sana ilo genge la waalimu waliomshambulia uyo mwanafunzi. Inaelekea magenge ya waalimu wa namna hiyo ni mengi kuliko inavyofikitiwa kutokana na jinsi wanavyowatetea wenzao waliofanya ukatili huo.
UKiangalia hapa JF watu wanavyohangaika kuleta threads za uzushi kumchafua yule mtoto ili kuhalalisha ule ushenzi; hapo hapo utagundua kile walichofanya wale jamaa kinafanywa sana huko mashuleni ndo maana wanahangaika kuteteana! By the way, ikiwa wengine wanafikia kubaka hata visichana wanavyofundisha, kwao ukatili kama ule si wataona kawaida tu!
 
Jaman walimu wengi wamepigwa na wanafunzi na wengine na wazaz wa mwanafunz lakina hatujawahi kuona msako mkali na adhabu Kali ikitolewa ili iwe fundixho kwa wengine na ijulikane kuwa kuna wanafunz Wa aina nyingi na tabia zao nitofauti xana
Kwahiyo jamaa wanaonewa sio? Waende basi mahakamani... kwanza wana ushahidi wote!!
Mimba4.png

Halafu wanakuja wapumbavu wengine eti yule dogo anavuta bhangi... sasa sijui hata hiki kitoto nacho kilikuwa kivuta bhangi! Justification za kipuuzi kabisa!
 
Huyo dogo kweli kapigwa na sheria ichukue mkondo wake lkn mbona vitendo vya walimu kunyanyaswa hufumbiwa macho kulikoni hapo na je Mwlm na Mwanafunz yupi anathan kama wote wanathaman bas we hv to be serious each aza bila kujali chochote ili nidhamu iwepo
 
Mwanafunzi pamoja na kuguswaguswa kidogo anapaswa kufukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu kwa mujibu wa sheria.
Nashangaa wanaopiga kelele eti dogo kapigwa. Kule ndo kupigwa?? Enzi zetu kipigo kile ulikuwa unakichukua toka kwa mama. Na ole wako ukashtaki kwa baba...

Yani walimu wakuguse namna ile afu ukosee njia ukaseme kwa dingi... hakyamama utajuta kuzaliwa.

Watoto wa siku hizi sijui wakoje
 
Haibadilishi ukweli kwamba wale walimu ni monsters na thanks God, they're all fired manake ambacho kingefuata ni kwenda kubaka wanafunzi, shenzi taipu zao!
Wala sijawaongelea walimu pt wale watata naongelea upande wa walimu full wenye maadili yao, je yule mwanafunzi angekutana na mwenye maadili angemdhalilisha sana maana hasingemfanya kitu na wale wanafunzi wangeishia kujiona washindi, tuliowahi kufundisha tunajua
 
Hebu tuwekee hapa huo ushahidi kwamba aliwadhalilissha kama sio unatumia stori zilizojaa hapa jamvini zinazotolewa na watu wanaojaribu kuhalalisha unyama wa wale walimu! Mbaya zaidi, na wewe unamhukumu just kwa kumwangalia... humjui lakini kwa kumuona kwenye video tayari una-conclude kwamba anavuta bhangi....
 
Kweli unyama upo sijakataa na hata wanafunzi watata wapo vyote vizingatiwe na kupewa uzito sawa, na hapo sipati picha angepigwa hivyo wa kike bila shaka Tanzania ingesimama, mimi napenda wenye dhamana wanapotoa matamko wamalizie kwa kusema swala ili lipo kwenye vyombo vya sheria na wanafunzi endeleeni kutii walimu wenu kama mnavyotii wazazi wenu ikiwa ni pamoja na kufanya kazi na mazoezi wanayowapa kwa mustakabari wa maisha yenu, siyo kuishia kulaani tu ili kubalance maumivu ya kisaikolojia wanayopata pande zote mbili zinazohusika, Asante
 
Hamna anayekataa kwamba hakuna wanafunzi wakorofi lakini ukifuatilia sakata hili vizuri utagundua tatizo la msingi ni ile tabia ya walimu kutotaka mwanafunzi ahoji adhabu! Hawa walimu wetu inapotokea mwanafunzi amehoji; wanachokimbilia ni kusema huyu mwanafunzi ni jeuri na hana adabu... kwao wao wanaona ni kama wanadhalilishwa inapotokea mwanafunzi anahoji; yaani wanadhani wana exclusive right ya kutoa adhabu pasipo na kuhoji! Hiyo exclusive right, HAWANA! Wanaitumia sana kwa sababu tu 99.9% ya wanafunzi ni wanyonge mbele ya walimu... si kila adhabu wanazopewa ni kweli walitenda kosa husika lakini wakithubutu kuhoji; ndo hapo sasa MSHENZI, HUNA ADABU, MVUTA BHANGI, UNADHALILISHA WALIMU, KIBURI na misamiati mingine kama hiyo!!!!!
 
Kwahiyo jamaa wanaonewa sio? Waende basi mahakamani... kwanza wana ushahidi wote!!
View attachment 414801

Halafu wanakuja wapumbavu wengine eti yule dogo anavuta bhangi... sasa sijui hata hiki kitoto nacho kilikuwa kivuta bhangi! Justification za kipuuzi kabisa!
Waafrika hatuna utamaduni wa kuheshimu watoto.Tunawachukulia ni binadamu daraja la pili,tena haswa wale wasiotuhusu nje ya familia zetu.Angalia jinsi watu wanavyocomment humu ndio utajua kilichomo mioyoni mwa watu.Wewe soma comment za watu ambao nadhani wengi ni walimu humu uone.Halafu imagine watu wenye mitazamo hiyo ndio wanaoishi na watoto mashuleni.
Kuna haja ya kupitia upya mfumo wa kupata walimu.Hii sio fani inayopaswa kuingiliwa na wapiga hela.Kuna kitu cha ziada kinahitajika uwe nacho zaidi ya kufikiria hela tu.Na hili ni tatizo kubwa nchii hii,sio ualimu tu bali maeneo mengi Watz wengi walisoma kwa kuchagua fani "zinazolipa" au zilizo ndani ya uwezo wao kuzisomea na kupata ajira,na kuacha fani ambazo zinawafaa kwa talanta walizo nazo,na mfumo wetu wa maisha,elimu na ajira unalazimisha watu kufanya choices kwa style hiyo,au hata hauwafundishi watu kujitambua wao ni akina nani.
Matokeo yake ndio tunakuwa na wasomi wenye vyeti vizuri,lakini hawana profiles nzuri kazini.
Utendaji mbovu kwa kuwa hawana wito wa kazi husika.They are there for money.
Huenda kuna walimu wazuri sana,lakini ni mameneja benki,na huenda kuna madaktari wazuri tu lakini leo ni walimu.Kila mtu alikamata kile kilichowezekana mbele yake.Mifumo ya nchi imesababisha haya matatizo mengine
 
You're right, majority ya comments zinazo-support huo unyama wana dalili zote kwamba ni walimu na sio siri, ukiwasoma unajua kabisa kwamba watoto hawapo salama kabisa sema ndo vile tu haya matukio huwa hayaripotiwi! But trust me, hizi zama za smartphones, wataumbuka wengi! Halafu sijui ni nani kaaminisha watu kwamba kupiga watoto ndo wanaelewa wakati ni mawazo ya kijima kabisa haya! Angalia private schools, huwezi kukuta ujinga ujinga kama huu... anapopigwa mwanafunzi ni ule uchapaji wa kawaida tu wa kuonya na sio kukomoa kama wanaofanya hawa watu! Kinyume chake; hao hao wanaogeuzwa punching bags ndio wanaongoza kwa kufeli ukilinganisha na wenzao ambao huwezi kukuta mambo ya hovyo kama haya! Wanachofanya hawa ni zaidi ya kuchapa kwa kukanya watoto bali ni ukatili dhidi ya watoto!!!!
 
wekeni na maelezo ya mwalimu mbona upande mmoja
Walimu ni watu wazima wenye Akili zao, sijakaa niamini kwamba wote wanne waliompiga na yule wa pembeni aliyekuwa bize kusahihisha ukimwacha demu aliyerekodi kwamba hawana busara na ni wakatili.

Naamini tukisikia toka upande wao ndo tutakapotoa hukumu ya haki, maana kama ni kweli kwamba mwanafunzi alirusha masumbwi kwa mwalimu, hata mimi kama mzazi sitaki mwanangu aniletee ujinga
 
Kwahiyo jamaa wanaonewa sio? Waende basi mahakamani... kwanza wana ushahidi wote!!
View attachment 414801

Halafu wanakuja wapumbavu wengine eti yule dogo anavuta bhangi... sasa sijui hata hiki kitoto nacho kilikuwa kivuta bhangi! Justification za kipuuzi kabisa!
Tunaona ni jambo rahisi na kuna mtu atakuja kucomment upuuzi hapa kuwa huyu mtoto ni nunda wacha akatwe vidole,na wengine watakuja na simple comments kuwa ni bahati mbaya tu,hiyo ni ajali kazini,bila kutazama kuwa huyu ni binadamu,the most expensive,complex,irreplaceable,beautiful,important being on earth kama ulivyo wewe mwenyewe,and he/she is your heir,our next generation inayohakikisha existence ya race yetu haifutiki,so you can see care unayotakiwa kuwa nayo unapokuwa naye,tena priviledge uliyo nayo kupewa kumuongoza kuwa binadamu bora kabisa,...lakini negligence na wanayokuwa nayo watu hawa hadi kuwaumiza watoto ni kubwa mno,ila watu hao hao mchunie rangi ya gari yake kwa bahati mbaya tu,uuone mziki wake,..ila kumvunja vidole mtoto ni jambo dogo tu kwake!Binadamu wanaojali materials.
 
Huyu tayari ni star, hapo akijiongeza kidogo tu, atalamba mademu wakali tu.

Clouds wakimpa caverage tu ka yule aliyeruka ukuta taifa au yule aliyechora zombie, basi ajiandae kung'oa mademu.
Hahahahahaha
 
Waafrika hatuna utamaduni wa kuheshimu watoto.Tunawachukulia ni binadamu daraja la pili,tena haswa wale wasiotuhusu nje ya familia zetu.Angalia jinsi watu wanavyocomment humu ndio utajua kilichomo mioyoni mwa watu.Wewe soma comment za watu ambao nadhani wengi ni walimu humu uone.Halafu imagine watu wenye mitazamo hiyo ndio wanaoishi na watoto mashuleni.
Kuna haja ya kupitia upya mfumo wa kupata walimu.Hii sio fani inayopaswa kuingiliwa na wapiga hela.Kuna kitu cha ziada kinahitajika uwe nacho zaidi ya kufikiria hela tu.Na hili ni tatizo kubwa nchii hii,sio ualimu tu bali maeneo mengi Watz wengi walisoma kwa kuchagua fani "zinazolipa" au zilizo ndani ya uwezo wao kuzisomea na kupata ajira,na kuacha fani ambazo zinawafaa kwa talanta walizo nazo,na mfumo wetu wa maisha,elimu na ajira unalazimisha watu kufanya choices kwa style hiyo,au hata hauwafundishi watu kujitambua wao ni akina nani.
Matokeo yake ndio tunakuwa na wasomi wenye vyeti vizuri,lakini hawana profiles nzuri kazini.
Utendaji mbovu kwa kuwa hawana wito wa kazi husika.They are there for money.
Huenda kuna walimu wazuri sana,lakini ni mameneja benki,na huenda kuna madaktari wazuri tu lakini leo ni walimu.Kila mtu alikamata kile kilichowezekana mbele yake.Mifumo ya nchi imesababisha haya matatizo mengine
Wenyewe waliomzaa inasemekana hawamtaki huyo dogo na alipopigwa hakuenda katoa taarifa home kwao zaidi ya maskani zake za mtaani.

Kama unapenda watoto nenda kamchukue ukae naye, au unadhani jela za watoto watukutu zilijengwa kwa ajili ya nini
 
Walimu ni watu wazima wenye Akili zao, sijakaa niamini kwamba wote wanne waliompiga na yule wa pembeni aliyekuwa bize kusahihisha ukimwacha demu aliyerekodi kwamba hawana busara na ni wakatili.

Naamini tukisikia toka upande wao ndo tutakapotoa hukumu ya haki, maana kama ni kweli kwamba mwanafunzi alirusha masumbwi kwa mwalimu, hata mimi kama mzazi sitaki mwanangu aniletee ujinga
Wangekuwa kama hivyo unavyosema wasingefanya ukatili kama ule... hebu toa kosa moja hapa ambalo wewe kama wewe ungefikia kufanya unyama kama ule! Fuatilia comments za wengi ambao inaonekana ni walimu... hoja yao kwamba ni kwamba dogo kaonesha dharau.. upuuzi mtupu! Na walimu ukisikia dharau ni pale mwanafunzi anapohoji... wanadhani wana exclusive right ya kutoa adhabu kwa wanafunzi na wanafunzi hawatakiwi kuhoji! Mwanafunzi anapohoji adhabu ya mwalimu tu, lazima ataambiwa jeuri na kiburi... hamna lolote la maana zaidi ya hiyo inferiority complex... wao kila kitu, TUNADHARAULIWA utafikiri walishikiwa bakora kwenda ualimu! By the way, kila siku wawe wanadharauliwa wao tu na hawajiulizi why? Videmu vya form II ambavyo vilitakiwa kugegedwa na vitoto vyenzao, unakuta vinagegedwa na walimu; sasa kwanini watu wasiwadharau!!
 
Mkuu hiyo ni k/f cha 225 cha penal code sura 16 marekebisho ya 2002.kama sikosei adhabu ni miaka 7.
 
Wenyewe waliomzaa inasemekana hawamtaki huyo dogo na alipopigwa hakuenda katoa taarifa home kwao zaidi ya maskani zake za mtaani.

Kama unapenda watoto nenda kamchukue ukae naye, au unadhani jela za watoto watukutu zilijengwa kwa ajili ya nini
Acha uongo wako wewe... huo ni uzushi unaosambazwa na walimu ili kutaka kuonesha yule dogo ni nunda lililoshindikana! Baba wa huyo dogo ameshangaa kusikia kwamba eti dogo ni jeuri lililokubuhu!! Clip hii hapa... kwahiyo acheni kumchafua huyo dogo kwa maneno ya kuzusha! NI AIBU KWA WATU WAZIMA KUENEZA UZUSHI DHIDI YA MTOTO MDOGO!!
 
Back
Top Bottom