Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Acha uongo wako wewe... huo ni uzushi unaosambazwa na walimu ili kutaka kuonesha yule dogo ni nunda lililoshindikana! Baba wa huyo dogo ameshangaa kusikia kwamba eti dogo ni jeuri lililokubuhu!! Clip hii hapa... kwahiyo acheni kumchafua huyo dogo kwa maneno ya kuzusha! NI AIBU KWA WATU WAZIMA KUENEZA UZUSHI DHIDI YA MTOTO MDOGO!!

what if huyo mzee anadanganya?

walimu hao ni machizi kiasi gani wamsingizie mtoto?
 
Mosi, haijalishi... iwe amedanganya au hapana, hoja ya msingi hapa ni kwamba those guys so called teachers wametumia nguvu kubwa maradufu kuliko inyokubalika na jamii!
Walichotenda ni jinai isiyokubalika kwa tafsiri yoyote ile! Itoshe tu kusema kwamba, hapa haijalishi hata kama ni kweli huyo dogo ni mvuta bhangi, anabaka wanafunzi wenzake, ameshindikana na wazazi wake; it doesn't matter!

Second, yeyote ambae anaamini mzee amedanganya basi yeye ndie anatakiwa kuleta taarifa kinzani kutoka reliable source inayosema kwamba dogo ameshindikana kwao, kavunja tv na mambo mengine kama hayo! Endapo hakuna taarifa kama hiyo, taarifa iliyopo ndiyo itaendelea kuonekana ndio taarifa rasmi... wanasheria wanaita Benefit of the Doubt!

Hadi sasa hakuna reliable source hata moja iliyosema kuhusu hizo tuhuma zaidi ya maelezo ya wale wale ambao wanaonekana kutaka ku-justify tukio lililotokea! I hate to say this but most of them are teachers trying to justify kitu ambacho huenda nao wanakifanya na wengine ni wapuuzi wa siasa ambao msingi ni kujaribu kupinga kila kinachofanywa na serikali na hapa kupinga alichofanya Ndalichako! I SUPPORT NDALICHAKO 101% at least for this!

Je, walimu ni machizi hadi wamsingizie?! Mosi, kitendo walichofanya kinaondoa credibility yao... Waingereza wanasema, a cornered rat will bite the cat! Pili, hakuna reliable source inayothibitisha kwamba suala la dogo kushindikana kwao limesemwa na walimu vinginevyo mtu yeyote aniwekee hapa reliable source ambayo imewanukuu hao walimu; na tatu, hata kama wasemayo ni sahihi bado haijalishi kwa kuzingatia maelezo niliyotoa hapo juu! Taratibu zipo wazi nini kinatakiwa kufanyika dhidi ya toto tukutu lililoshindikana kama hilo! Je, una taarifa yoyote from reliable source kwamba hapo kabla aliwahi kupewa suspension? Una taarifa yoyote kwamba hapo kabla aliwahi kuambiwa amlete mzazi wake?

Now let's think loudly!!! Wale jamaa walikuwa pale just for few months (probably less than 3) kwa ajili ya field! Kwahiyo unataka kuniambia kwa huo muda wameweza kufahamu hadi maisha ya watoto na wazazi wao? Au ni kwamba wamesikia kutoka kwa walimu wa pale kwamba mwanafunzi fulani ni jeuri lililoshindikana na wao wakaapa kumshikisha adabu kabla hawajaondoka?

Here's my advice to you as my JF Friend... you can take it or ignore it! Dunia imebadilika... sasa nyinyi endeleeni kujifanya ndo mna hasira sana... ndo mnaamini sana katika kupiga kama njia ya kumbadilisha mtu! Leo hii mpo serikalini ambako watu wana-ignore mambo kama hayo lakini kesho mtakuwa kwenye private schools ambako hayo mambo ni serious crime! Did I tell you lots of my friends here are teachers? Sasa siku ukimuona zai katoto humu jamvini muulize! Nilikuwa namwambia kama ninavyokuambia wewe hapa lakini majibu yenu huwa yanafanana! Unfortunately, akapelekwa field private school... akiwa huko akachapa mtoto wa mtu! Zai ujanja wake wa Kitanga wote mfukoni; aligeuka kuwa mdogo kama piritoni kutokana na kashikashi ambayo aliipata! Kama si mimi kumtia moyo kwamba awe firm nadhani angeshinda analia... hapa tunazungumzia kuchapa viboko ambavyo Watanzania tumeviafiki kutumika mashuleni! What if ingekuwa amefanya kama walichofanya wale jamaa?! I am 100% sure ile kesi isingeishia kwa kujieleza kwenye panel peke yake!
And trust me, kwa sasa hata huko serikalini wala msidhani mko salama... narudia, dunia imebadilika... msidhani dunia hii ni ile mliyokulia nyinyi! Zamani ilikuwa ukimzingua mwanajeshi mmoja, linakuja kundi zima linafunga mtaa na kutembeza kichapo na hakuna kesi! Siku hizi wanafanya huo upuuzi?

Now is up to you... take my advice or leave it but if you believe you've exclusive right kupiga wanafunzi the way you feel simply because they've done this or that; am sorry to tell you mnajidanganya! Mkivuka mipaka, nobody will care kwamba mwanafunzi husika ni nunda lililoshindikana kijiji kizima!
duuuhh!povu lote hili kisa nini?

me I don't care at all as long siko hvyo shauri yao!

but too much hatrade!!pole sana

binamu umemuona scorpion?!!
 
duuuhh!povu lote hili kisa nini?

me I don't care at all as long siko hvyo shauri yao!

but too much hatrage!!pole sana

binamu umemuona scorpion?!!
Ukiona nimeongea yote hayo kwako na sikufanya hivyo hapo kabla ingawaje nipo na huu uzi tangia juzi basi ujue nakupenda na sio povu!!! Lakini kama unaona ni povu na unaamini ni too much hatrage (you mean hatred?), that's fine lakini ungezingatia swali langu; je siku hizi ushawahi kusikia wanajeshi wanafunga mtaa kama zamani na kutembeza kichapo?

Scorpion nimemuona na wale walimu wenu wala hawana tofauti na scorpion... they're all monsters!
 
Ukiona nimeongea yote hayo kwako na sikufanya hivyo hapo kabla ingawaje nipo na huu uzi tangia juzi basi ujue nakupenda na sio povu!!! Lakini kama unaona ni povu na unaamini ni too much hatrage (you mean hatred?), that's fine lakini ungezingatia swali langu; je siku hizi ushawahi kusikia wanajeshi wanafunga mtaa kama zamani na kutembeza kichapo?

Scorpion nimemuona na wale walimu wenu wala hawana tofauti na scorpion... they're all monsters!
okeeeyyy!!
usijali binamu!!mie nshachoka kubishana

nashukuru kwa concern yako pia!
 
Halafu nilisahau kukuambia tangia mwanzo kwama usi-quote the post... usually, nikiandika post for specific person baadae huwa nai-delete later! Jana niliku-tag na atoto but hiyo nayo nilisha-delete since morning!!! Sasa wewe umeli-quote li-post looooooooote na hata niki-delete original post bado kwako itabaki! So, baadae I'd appreciate if you delete it manake nimetaja hadi kisanga cha Zai wakati hivi sasa hajagi hapa JF!
kwa nini umeifuta sasa?!![emoji57] [emoji57] [emoji57] sijaiona sasaa?!!irudie tena tafadhali!
 
kwa nini umeifuta sasa?!![emoji57] [emoji57] [emoji57] sijaiona sasaa?!!irudie tena tafadhali!
Haikuwa big issue lakini kv ilikidhi vigezo vyangu vya must be deleted post; basi nikai-delete though nilijua hukuiona manake ungejibu tu but kwavile ilishafikia maximu time ya kuwa hewani, nikai-delete!!!! Anyway, ni kawaida na kila siku lazima ni-delete msg kama hizo kwahiyo sio big issue
 
Haikuwa big issue lakini kv ilikidhi vigezo vyangu vya must be deleted post; basi nikai-delete though nilijua hukuiona manake ungejibu tu but kwavile ilishafikia maximu time ya kuwa hewani, nikai-delete!!!!
daaah!nakosa uhondo!
 
Hamna, ilikuwa ya kawaida tu kwahiyo hakuna cha kukosa uhondo! Uhondo wako wewe ni umbeya na mimi sio mtu wa posts za umbeya... hata nikipata umbeya, lazima najiulize mara 50 kabla ya ku-post na mwisho wa siku, si-post!!! Miaka yangu kadhaa ya JF nakumbuka kuanzisha thread ya umbeya mara moja tu, ilikuwa 2012... hadi leo najiuliza ikiwa nilikuwa sawa!!! Na siku hiyo hiyo nilipigwa ban manake nilisutwa; nikakasirika na nimeghairi kabisa!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] polee!

umbea waongeza siku za kuishi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] polee!

umbea waongeza siku za kuishi
Najua nyie wengine bila umbeya maisha hayajakamilika; sie wengine kusomaa tunaweza kusoma ingawaje pia kuna viwango vyake!!!!
 
Najua nyie wengine bila umbeya maisha hayajakamilika; sie wengine kusomaa tunaweza kusoma ingawaje pia kuna viwango vyake!!!!
nimepunguza siku hizi kwa kiwango kikubwa
 
Labda ushakuwa ingawaje kwa wanawake hamna cha kukua mbele ya umbeya! Au inawezekana umbeya wenyewe tu umeadimika!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeehh!!

magu kabana hadi kwenye umbea!
 
yaani masponsa wamekimbia Siku hizi!!

show off zimepungua
Hapa napiga mahesabu ni namna gani naweza kupunguza takribani ya 75% ya muda ninaotumia JF... hii mitandao ya kijamii, is just wasting of time sema ndo vile tena tushakuwa addicted!
 
Hapa napiga mahesabu ni namna gani naweza kupunguza takribani ya 75% ya muda ninaotumia JF... hii mitandao ya kijamii, is just wasting of time sema ndo vile tena tushakuwa addicted!
Exactly wajikuta mtumwa haswaa!yaani we acha tu!

kuna mda nkiwa busy sinnui kifurushi hata kidogo!

ili yangu yaende!
 
Miaka kadhaa iliyopita nilishawahi kuumwa... can you imagine?! Enzi zile internet ni kwenye pc tu, tena desktop chogo! Sasa ilikuwa nikiamka alfajiri, naamkia kwenye pc... hiyo hesabu hadi late night! Bila kutarajia, likachomoka gonjwa la mgongo na kiuno from nowhere kutokana na kukaa kwenye kiti kwa masaa mengi! Ningepata tiba ya internet addiction, ningenunua!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana!!we mkaree

enzi zile ukiweza internet bonge la mjanja!

mie nlikua naendaga pale fire!
nafanya mambo yangu narudi home
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana!!we mkaree

enzi zile ukiweza internet bonge la mjanja!

mie nlikua naendaga pale fire!
nafanya mambo yangu narudi home
Hamna... tatizo nilishakuwa addicted kwahiyo internet ilikuwa my top priority... 1GB tulikuwa tunanunua kwa Sh.10,000/=! Na addiction yenyewe ilianza wakati nipo dent hata kipato sina... ni ugonjwa mbaya sana!
 
Hamna... tatizo nilishakuwa addicted kwahiyo internet ilikuwa my top priority... 1GB tulikuwa tunanunua kwa Sh.10,000/=! Na addiction yenyewe ilianza wakati nipo dent hata kipato sina... ni ugonjwa mbaya sana!
Sana tu hata mie enzi za shule!!

yahoo na hotmail
 
Back
Top Bottom