Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Kuna maelezo kuwa yule mwalimu alienda kuwaita walimu wenzake ili wamsaidie kutoa adhabu kwa wanafunzi ambao hawakufanya assignment.Ukimsikiliza huyo dogo anasema baada ya kuadhibiwa pamoja na wenzake "waalimu wakamwambia aende ofisini"
Ikiwa na maana waalimu wa somo husika ni zaidi ya mmoja, sii hivyo tu wote hao walikuwa wanafuatilia kazi waliyowapa wanafunzi hao ambao hawakuifanya.
Sasa sijui kama wanafunzi walikuwa wengi sana kiasi akashindwa kuwachapa peke yake au vipi!!!!