Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,919
- 3,247
Usafiri wa daladala umeanza kurejea katika baadhi ya maeneo, ikiwemo njia za Kabwe–Iyunga na Kabwe–Mjini/Uhindini, ingawa idadi ya daladala bado ni ndogo.
Soma zaidi:
Usafiri wa bajaji bado haujarejea barabarani, madereva wanataka utaratibu wa zamani wa kutumia barabara kuu urejeshwe.
Kutokana na hali hiyo, nauli za usafiri ndani ya mji zimepanda hadi kati ya Tsh. 5,000 - 8,000, kutegemea aina ya usafiri unaopatikana. Baadhi ya wafanyakazi walilazimika kulala ofisini kutokana na kukosa usafiri wa kurejea nyumbani.
Soma zaidi:
- Vurugu Mbeya: Waendesha bajaji wagomea agizo la Mkuu wa Mkoa kubadilishiwa ruti
- Jumanne Sagini atoa ufafanuzi sakata la waendesha bajaji Mbeya