wanaumewaisaka
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 366
- 178
Kazi ya ualimu!!!hapana aiseeee
Ukimuangali huyo dogo kweli anatia huruma ila hatujui ni nini hasa alikifanya au kukitamka kwa walimu wake.Kazi ya ualimu!!!hapana aiseeee
==========================================================================Ni vigumu kutoa hitimisho ila kama ni kweli anavyosema huyu mtoto, basi inaonekana ilikuwa ni "personal attack"
Kwanini baada ya wanafunzi wote kupewa adhabu huyu akatengwa kwa "extra punishment?
Huyu mwanafunzi inabidi awashtaki walimu wa mashambulizi ya mwilini yaani GBH- grievous bodily harm.
Sheria inasemaje na kifungo cha kosa hili?
Niko sehem mbaya sija msikiliza dogo ila hata walio mpiga wana haki ya kusikilizwa, na inatakiwa wasikilzwe , stori yenye upande mmoja ni stori isiyo kamilifuI don't care dogo dogo kasema nini... lililo wazi ni kwamba hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha kilichofanywa na those guys the so called walimu! Sasa tuseme alimvimbia huyo mwalimu; na hao wengine ambao waliingia kundini kuanza kumtandandika nao walikosewa nini? Au huko mashuleni ndo inavyokuwa... kwamba ugomvi dhidi ya mwalimu mmoja wengine wanaingilia?! Ni mambo ya wapi haya... those guys are monsters! Watu 5 wenye age above 20 mnamchangia mtoto ambae hata 18 haionekani kama amefika?! Halafu eti itengenezwe justification kwamba mara oh, watoto wa siku hizi; mara oh... acheni mambo yenu!
Tumeongea point tupu hongera sana.chukua na "LIKE" kubwa.Ukimuangali huyo dogo kweli anatia huruma ila hatujui ni nini hasa alikifanya au kukitamka kwa walimu wake.
Mimi naona the best solution kwa walimu kwa sasa ni kuacha kupiga watoto wa watu mtoto asietaka shule achwe amalizane na mzazi wake.
Wacha we!!I don't care dogo dogo kasema nini... lililo wazi ni kwamba hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha kilichofanywa na those guys the so called walimu! Sasa tuseme alimvimbia huyo mwalimu; na hao wengine ambao waliingia kundini kuanza kumtandandika nao walikosewa nini? Au huko mashuleni ndo inavyokuwa... kwamba ugomvi dhidi ya mwalimu mmoja wengine wanaingilia?! Ni mambo ya wapi haya... those guys are monsters! Watu 5 wenye age above 20 mnamchangia mtoto ambae hata 18 haionekani kama amefika?! Halafu eti itengenezwe justification kwamba mara oh, watoto wa siku hizi; mara oh... acheni mambo yenu!
Umeacha kujibu kule unakuja kujibu huku!!!Wacha we!!
Anabugia hadi viroba huyu yani walimu wana kazi sana hadi huruma CWT nao kama guta halisikii wala halioniDogo msanii tu huyu, sema jamaa alipigia sifa ila dogo anaonekana ni nunda!
Watasikilizwa... kwanini wasisikilizwe?! Tofauti ni kwamba mwenye mamlaka ya kusikiliza shauri la jinai ni vyombo vya dola... kwahiyo watasikilizwa mkuu; ondoa hofu! Tena na vile video hata wenyewe si ajabu wanayo! Kwanini mahakama wasiwasikilize!Niko sehem mbaya sija msikiliza dogo ila hata walio mpiga wana haki ya kusikilizwa, na inatakiwa wasikilzwe , stori yenye upande mmoja ni stori isiyo kamilifu
Huyu tayari ni star, hapo akijiongeza kidogo tu, atalamba mademu wakali tu.
Clouds wakimpa caverage tu ka yule aliyeruka ukuta taifa au yule aliyechora zombie, basi ajiandae kung'oa mademu.
Vijana kama hawa wanarekebishika kwa fimbo tu na adhabu za kuchimba visiki sasa huyu aligoma halafu ana act anaumwa na hapa anaonekana innocent ila kwa mtu aliyesoma saikolojia akiangalia body language ya huyu dogo anajua tu ni bongo muvi mtarajiwa
dogo analambalamba lips tu kama Diamond hamna kitu hapo!Niko sehem mbaya sija msikiliza dogo ila hata walio mpiga wana haki ya kusikilizwa, na inatakiwa wasikilzwe , stori yenye upande mmoja ni stori isiyo kamilifu
Ushasikia na upande wa mwalimu ....Sasa tumesikia na tumeona pande zote, hao walimu pamoja na adhabu walizopata bado wasakwe na kufikishwa mahamani wote ili sheria ifuate mkondo wake
Maelezo ya hao walimu ndio yatahalalisha kipigo?Niko sehem mbaya sija msikiliza dogo ila hata walio mpiga wana haki ya kusikilizwa, na inatakiwa wasikilzwe , stori yenye upande mmoja ni stori isiyo kamilifu