😀😀😀 Haya kanywe maziwa manake vumbi la chaki sio zuri 😀😀Wewe ni jinga kbs
😀😀😀 Haya kanywe maziwa manake vumbi la chaki sio zuri 😀😀Wewe ni jinga kbs
Wewe unaonekana ni mtu mzima,umeshiba miaka,unayajua maisha,umesoma ukaelimika.Ahsante kwa darasa zuri.Ila hii "mitoto ya siku hizi" iliyosomea ualimu sijui kama itakuelewa humu!😀😀Nyinyi watoto muelewe kuwa hakuna kosa linalohalalisha kipigo kile hats mwizi Ni kosa kumpiga Kama ameshadhibitiwa. Ndio maana Kuna watu wako jela wanatumikia vifungo kwa kumjeruhi aliyetuhumiwa mwizi na akahukumiwa kwa kosa la wizi huo. Sheria na taratibu zimeainisha adhabu stahiki kwa kila kosa iwe Ni shuleni au mahakamani na kukiuka Ni kuvunja sheria na Ni jinai.
Mtu mwenye hekima hawezi kudhibiti uvunjifu wa sheria kwa kuvunja sheria.
Tunapolalamikia kutendewa haki Ni lazima tutende haki.
Ninajua this is just a tip of an iceberg, kwamba yanatendeka Sana na ndio maana kumekuwa na watetezi wengi wa uovu huu ambao Ni dhahiri unatoka kwa walioguswa na dhamiri zinawahukumu.
Tujifunze kuishi kwa kufuata sheria na taratibu Kama taifa la wastaarabu.
Acha kuweweseka.....walimu wahuni/wahalifu lazima washughulikiwe ipasavyo.Wewe ni mpuuzi tu uliyefeli shule ndo maana unaongea hivi.
Nashangaa unawatetea wanafunzi vibaka!Dalili za kushindwa kazi hizi!Bora hukuendelea na ualimu.
Vipi na wanafunzi wahuni-vibaka kama yule aliyeshushiwa makonde na walimu waliokuwa katika jitihada za kulinda hadhi yao? Hao nao wanapaswa kiadhibiwa kwa kuwa wazazi wajinga kama wewe wameshindwa kuwapa malezi bora kama wanafunzi!Acha kuweweseka.....walimu wahuni/wahalifu lazima washughulikiwe ipasavyo.
Shitaka litakuwepo lakini hukumu:-Yaani hata kama yule dogo ana makosa, kosa linalohesabika ni lile lililobeba shitaka, tayari walimu ndio wana kesi ya kumtwanga makonde yule dogo na hii kesi ni mbaya kwa walimu!
Maana yule dogo hajashtakiwa.
Mkuu kilichotokea pale ni kwamba dogo yoyote akishaonesha kiburi na dharau ni lazima aadhibiwe. Sasa angeadhibiwaje na mwalimu mmoja wakati ameshaonesha ununda na kwa jinsi unavyomuona huyo dogo ni bhangi tu. Kiongozi weka akiba ya maneno, usilolijua ni usiku wa giza. Inawezekana umesomea shule za binafsi au seminary ambapo watoto wanatoka familia zilizostaharabika tayari. Mimi binafsi kipindi nasomea hii kada ya ualimu, nilikuwa nikisema sitaweza kumchapa mwanafunzi na wala sina hulka yoyote ya ungomvi lakini nilishawahi kumuhadhibu vibaya mwanafunzi na bahati nzuri alikimbia.I am contradicting myself au huelewi the philosophy behind?! Hoja ya msingi nimeshasema HAKUNA SABABU HATA MOJA INAYOWEZA KUHALALISHA UNYAMA ULE!!! Soma vizuri uelewe!!
Ili kuonesha sababu zinazotolewa hazina msingi; unakata kwanza matawi ambapo instantly unaonesha udhaifu wa hoja kwamba tatizo la msingi ni dogo kwa sababu kama tatizo la msingi ni dogo kumgomea mwalimu; sasa hao 4 waliingiaje ingiaje!! Huwezi kutoa sababu za msingi za kuingia ingia kwao na ingekuwa ni mahakamani ndo pale unakuta wakili anapiga nyundo ya mwisho "unaona Mheshimiwa Hakimu, kumbe tatizo la msingi sio huyu mtoto isipokuwa hawa walimu inaonesha wazi ni very violent!"
Hiyo ni ndoana itakayomkaba hadi principal offender kwahiyo usipende kusoma vitu juu juu bila kutafakari strings attached!!
Naona mko bize kweli kubadili taswira ya tukio!Serikali ina mikono mirefu.Ukweli ushajulikana.Wale wakorofi tunawagonga mvua za maana,wakachape bakora manunda wa ukweli jela huko!😀Nashangaa unawatetea wanafunzi vibaka!
Hivi uambiwe nini kuwa yule mwanafunzi ni mhuni-kibaka ndipo uamini? Hakuna mwalimu anaeweza kumdhuru mwanafunzi mwenye heshima hata kidogo!!
Endelea kutetea upuuzi lakini madhara yake lazima na wewe yakupate tu, maana tutawaache hao wanafunzi waendelee na upuuzi wao.Dalili za kushindwa kazi hizi!Bora hukuendelea na ualimu.
Na kale kakibaka baadaye katachomwa moto mtaani maana hata jela hakatapata nafasi ya kuionaNaona mko kweli kubadili taswira ya tukio!Serikali ina mikono mirefu.Ukweli ushajulikana.Wale wakorofi tunawagonga mvua za maana,wakachape bakora manunda wa ukweli jela huko!😀
Fala sana wewe, sijui unajishughulisha nini. Ukute ni Mariooo😀😀😀 Haya kanywe maziwa manake vumbi la chaki sio zuri 😀😀
Umegonga kunako mkuu.Kula like.Nikamchukue niishi nae kwani umeambiwa ana shida ya sehemu za kuishi?! The problem mnataka kuaminisha watu kwamba hayo mnayosema kwa asiye mwalimu hawezi kufahamu huku mkisahau kwamba sote sisi tumepata kuwa wanafunzi! Majority humu tumesoma primary miaka 7, secondary miaka 6 na chuo angalau miaka 2! Kote huko hatujawahi kuona unyama kama ule? Suala kwamba hatujawahi kuwa walimu sio hoja!
Ukiunganisha maelezo unapata taarifa isiyo na shaka kwamba cku ya test yule dogo hakuwepo! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kuonesha "u-ualimu" wake? Tatizo lingine wanafunzi wengi ni wanyonge... wengi wanaadhibiwa hata kama hawajakosa! Akitokea wa kuhoji kwanin aadhibiwe bila kosa, mnakuja juu kwamba huyu kiburi na jeuri kwavile mnadhani mna exclusive right ya kuadhibu watoto bila wao kuhoji! Hiyo right hamna!!
Kimsingi hakuna anayepinga adhabu kwa wanafunzi lakini walichofanya wale watu hakikubaliki kwa tafsiri yoyote Ile! Walimu 5 wanamgombania mwanafunzi mmoja ukiuliza kisa, oh kakataa adhabu!
katika sakata hili sijui nani mkweli!
Mkuu unajichosha kujibizana na huyu kibaka mwenzie, anajibu anajifanya ni hakimu na kama ni hakimu basi ni mla rushwa wa kufa mtu. Nyani haoni kundule.Na kale kakibaka baadaye katachomwa moto mtaani maana hata jela hakatapata nafasi ya kuiona
Haya chukua fimbo uanze kutandika ukutani hapo,hasira ziishe,kesho usiende nazo shule ukaua wanetu😀Fala sana wewe, sijui unajishughulisha nini. Ukute ni Mariooo
Ur seriousMwanafunzi pamoja na kuguswaguswa kidogo anapaswa kufukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu kwa mujibu wa sheria.
Halafu ukikaangalia midomo kama mnduku vile!!!Yule mwanafunzi ni kibaka, mhuni mvuta bhange na chokoraa aliyekubuhu! Nimesoma na nimewahi kufundisha part time. Mwanafunzi anayepewa adhabu kama ile tena kwa timu ya waalimu vijana basi ujue amekosea kuliko kawaida... Kazi ya ualimu wewe isikie tu kwa mwalimu... mitoto ya siku hizi inakuwa tu na daftari moja tena wanakunjia mifuko ya nyuma na kazi kuvaa milegezo na kunywa viroba na bangi!!
Kale ni kakibaka na kalistahili kupewa haki kama kakibaka period!!!
katika sakata hili sijui nani mkweli!