Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Apigwe tuu maanaa hamna namna Namna nyinginee.. Huyuu s ndioo amevunja tv ya baba yake huyuu,, huyu huyu s anavuta bangi huyuu. Bc naa apigwe tuu Walimu wa siku hizi hawapendagi ujinga ujinga kabisaa....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] weeee!!nlipata rafiki muleee!!

hivi bado upo?
si ndo darchat ile?au nyingine!!
DHW nadhani ilikufa kifo cha mende... miaka yake ya mwisho mwisho moderators walikuwa wanoko sana kiasi kwamba active users wake wengi wakahamia Jambo Forums! Kulikuwa na mod mmoja alikuwa anaitwa Snickly, alikuwa balaa kwa ban...
 
DHW nadhani ilikufa kifo cha mende... miaka yake ya mwisho mwisho moderators walikuwa wanoko sana kiasi kwamba active users wake wengi wakahamia Jambo Forums! Kulikuwa na mod mmoja alikuwa anaitwa Snickly, alikuwa balaa kwa ban...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uko vzr mie nlikua mdogo mdogo nikiingia nasomasoma natoka!
darchàt ndo nilikua napenda sana!
 
Ni vigumu kutoa hitimisho ila kama ni kweli anavyosema huyu mtoto, basi inaonekana ilikuwa ni "personal attack"

Kwanini baada ya wanafunzi wote kupewa adhabu huyu akatengwa kwa "extra punishment?

Huyu mwanafunzi inabidi awashtaki walimu wa mashambulizi ya mwilini yaani GBH- grievous bodily harm.

Sheria inasemaje na kifungo cha kosa hili?
Hakuna personal attack hapo dogo anakiburii huyo na alistahilii kipigo japo walizidisha mapigo
 
Of course, tuliokuwa tunatumia ile kitu wote tushakuwa watu wazima na wengine umri umeenda sana... WHY? Wengi walikuwa wafanyakazi na kama ni madada, wengi walikuwa ma-secretary wakitumia net za ofisi! Ukiwa Tz na unatumia private internet, hesabu ikifika saa 11 jioni online unabaki peke yako! Kwa sie ambae tulishakuwa addicted, hapo unapumzika kusubiria usiku unakutana na diasporas!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] I do remember kweli je?

nlipata marafiki wa nje wengi sana mida hiyoo!
 
Hivi vijiwanafunz vya ck hiz vinankeraga kwelii aseee. Hasaa vikishaingiaa form three vinajionaa vikubwaa.. Na mademu vinatakaaa na bange vinavutaa. Yaan km unabishaa nendaa club usiku vimejazaaanaa vyoote vinataka kuwaa km diamond na ni vibishi hivyooo.... Vinatoroka shulee vinajionaa vimeshafka chuoo tyarii acha vipigwe tuu labdaa vinawezaa kubadilikaa
 
Kuna mmoja nili-meet nae 10 years ago... nikaongea nae cku moja tu stori tamu tamu za kiutu uzima! Unfortunately, the very same day akazinguana na rafiki yake ambae pia alikuwa ndo rafiki yangu mkubwa na yeye alikuwa ndo daraja kati yetu! Mademu bhana, huyu rafiki yangu mkubwa ambae ndo daraja sijui alimwambia nini katika kuzinguana kwao... basi ikawa ndo mwanzo na mwisho; hadi leo natoa siri! Wallah ingawaje miaka 10 ishapita, yule mtoto hadi leo sijamsahau... kwanza nilifanya kazi kumweka sawa... si unajua watoto wa ughaibuni kwa nyodo! Ile namweka sawa, mshikaji anaharibu; aaaaaaaargh! Mtoto unaambiwa ana sauti tamu sijapata kuona😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] stori km ya sogiii!!!

daaahhhh!!!kakutulia gundu hivi hivi!

ingekuwa siku hizi wasap ingehusika!
 
1476040543715.jpg
 
Imebidi nicheke! By the time, kulikuwa na member mmoja... yule alikuwa ndo youngest of all na alikuwa anaishi Canada... she's under 18 na alikuwa rafiki yangu sana! Sasa few days ago, nilikuwa na-search email fulani, nikakutana na email yake; so nikapata hamu ya kumtafuta FB! E bhana eh, kawa bonge la mama na familia juu! So, sipati picha kwa huyo mwingine atakuwaje... najua kesha-settle hivi sasa!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umechelewa tena daaahhh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu siku-fall bhana ingawaje tulikuwa tunazinguana... kalikuwa kabinti tu sema kajanja! Ile majuzi natembelea page yake, ilibidi niwe nacheka peke yangu... nikikumbuka alivyokuwaga na sasa timeline yake "alhamdulillah" na "Inshallah" kwenye kila sentensi... yaani full mdada mwenye mabusara yake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kawa mkubwa tena!
 
Back
Top Bottom