Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

Jamani sikilizeni hiyo clip ya post no.76
Mnauliza maswali wakati majibu yamo humu humu.
Hata mjaribu vipi kumchafua huyu denti haiwezi kuhalalisha unyama aliofanyiwa.
Denti hakuwa mkorofi,mwalimu ndiye mkorofi.
Hata ningekuwa mimi nisingekubali kupigwa bila kosa.
Ubinadamu mnauona kwa mwalimu tu ila mwanafunzi sio binadamu anayeweza kuwa provoked?
Nimekuja shule nikitoka kuumwa,umeita ambao hatujafanya homework nikatoka mbele,nikakueleza,bado unang'ang'ania adhabu tu?Ukanipiga kofi nikachutama,bado ukaona haitoshi ukaanza ngumi na mateke?!Kwanini adhabu ya huyu haikuishia darasani?Picha ninayoipata ni kuwa kitendo cha mwanafunzi kuhoji na kujitetea kilimuudhi mwalimu,alitaka mtu atii tu hata kama hana makosa,na huu ni ukweli kuna baadhi ya walimu mko hivyo,mnapenda kuwa miungu watu kwa watoto,huku mkisahau watoto ni binadamu,wanazo akili.Ndio hapo mnapojivunjia heshima kwa watoto.
Halafu hebu niulize,hivi inaruhusiwa mwalimu kupiga kofi?kama ndivyo basi ikatazwe,maana mara nyingi binadamu akipigwa kofi hukurupuka na reaction kubwa,it's a kind of provocation.Nikiwa shule nilishuhudia hata wanafunzi wanyonge wasio na nguvu kukunjana na walimu wababe sababu ya kofi.Nimeshuhudia wahuni wakikunjana mashati na askari mitaani sababu ya makofi,hasa ya shavuni.Hata mtoto mdogo mchape bakora atakunja tu sura lakini ukimpiga kofi moja tu,utaona anainama na kukusumbua na utapata tabu kupiga la pili.
Mazingira yote yanaonyesha mwalimu ni mkorofi,alikasirika mwanafunzi kuhoji.
Nimechunguza na kuuliza wanafunzi mbalimbali hata hapa Dar wengi wanalalamikia walimu wa mafunzo kuwa ni wakorofi,wanapenda kutoa adhabu kali hasa za mazoezi kwa mambo madogo madogo,na wanapenda sana kutoa reference za JKT wanapoongea na watoto.
Serikali kazi kwenu na hii JKT yenu.Vijana wetu mnawapa mafunzo gani siku hizi huko?Haya ndio matokeo.Hao akina Frank Msigwa ni vijana wadogo sana,product za JKT hizo hizo.
 
kwa upande mmoja au mwingine dogo anaelekea Ana makosa.
nimejaribu kuwasikiliza wanafunzi wenzake jana kwenye redio wanavyo sema nikweli kwa tukio hilo lilifanyika baada ya mwanafunzi huyu kugomea adhabu ya push up iliyo tolewa na mwalimu huyo baada ya adhabu ya push up mwalimu akambia wanafunzi wapige magoti mwanafunzi akagoma kwa kusema anaumwa na goti

walienda mbele zaidi kuwa mwanafunzi huyu alishawahi kumgomea mwalimu huyo pale alipo mwambia avue sweta na mwanafunzi akagoma kwa madai kuwa mwanafunzi huyo anaumwa na kifua.

KWA NIONAVYO huyu mwanafunzi Ana kama ujeuri au kiburi kwa ninavyo elewa mimi mwalimu huwa anaumia pindi anapo towa adhabu na mwanafunzi akagoma inakuwa ni dharau.
na kwa sababu wengi tumekuwa wanafunzi inavyo julikana wanafunzi huwa wana wadharau sana walimu wanao kuwa field.
KWA UPANDE mwingine nao walimu hawakupaswa kumwazibu mwanafunzi kwa kiasi kile.
haku kukuwa na adhabu nyingine?
mwalimu alishindwa kumpeleka mwanafunzi kwenye ofisi ya nidhamu kama mwanafunzi alimuona anakosa?
Vipi mwalimu wa taaluma hayupo?
kabla ishu haija fika kwa mwalimu mkuu huwa unakuwa na ngazi mpaka ishu kama hiyo imfikie!

Hapo hata hao walimu watoe maelezo ya kujitetea bado wataonekana wana makosa ya kumshambulia pia haiwezi kumfanya mwanafunzi anakosa kwa kuwa swala lililopo kubwa ni juu ya kile kipigo
Clip zimo humu,sijasikia hayo usemayo.Ushahidi wote unaojitokeza kwenye media unaonyesha mwalimu ni mkorofi.Haya yenu mmeyasikia redio zipi?hebu tuwekeeni na sisi tusikilize.
 
Usipate taabu, audio clip hii hapa wanafunzi wakielezea kilichotokea!!!

Na kama unataka maelezo ya texts ni kwamba, kwanza dogo hakuwepo siku ya test na kwa mujibu wa mwanafunzi mmoja ni kwamba alikuwa anaumwa! Siku ya siku, huyo Mwalimu akaja darasani na kuwataka ambao hawajafanya test watoke mbele... dogo nae akatoka! Kitu cha kwanza ambacho mwalimu alifanya ni kuwapa adhabu ya kupiga magoti... dogo akajitetea kwamba anaumwa! Baada ya hapo, teacher akaenda ofisini ambako alirudi na wenzake ili wamsaidie kuwaadhibu ambao hawajafanya hiyo tests... adhabu ilikuwa ni bakora! Dogo akahoji kwanini aadhibiwe kutofanya test wakati yeye hakuwepo siku ya test kv alikuwa anaumwa!

Teacher kuona dogo anahoji; akaona dogo anamletea kujua... akamtandika kofi!!

Kwanza kabla ya yote, huyo mwalimu angekuwa na busara angeenda kwanza kwa mwalimu wa darasa ku-verify ikiwa alikuwa ana taarifa za kuumwa kwa huyo mwanafunzi lakini kinyume chake, akachukua sheria mkononi!

Baada ya kashkashi ya dogo kutokuwa tayari kuadhibiwa kwavile aliamini hana kosa, ndipo walimu wengine wakaingilia wakaanza kumshushia dogo kisago... wakaona haitoshi, wakambeba hadi ofisini... huko ambacho kiliendelea wanafunzi hawakijui! Baada ya muda, walimu wakarudi tena na dogo darasani na kuendelea kushusha kipigo...!!!

Unajua mambo mengine ni ujinga kushabikia? Mbona hujaanza na maelezo ya mwanafunzi wa kwanza kuwa dogo alirushiana ngumi na mwalimu? Halafu anayehoji ameamua kukatisha mahojiano na mwanafunzi wa kwanza na kwenda kuhoji nunda mwenzake ambaye anatoa hadi namba ya simu ya mwenzake! Mwanafunzi anaruhusiwa simu shuleni? Pia nunda mwenzake anatumia maneno kama "ticha" maneno yanayoashiria dharau ya mwanafunzi kwenda kwa mwalimu "ticha sikubali" "ticha siwezi" "siyo kiivo ticha" hata mimi ningekuwa huyo anayeambiwa "ticha" nisingekubali huo ujinga! Mwanafunzi ana wajibu wa kumheshimu mwalimu wake na kuwa mnyenyekevu kwake na si vinginevyo!

Naunga mkono adhabu ya huyo mwanafunzi kibaka!
 
Ni kwamba one wrong cannot justify the other...adhabu ilikua kubwa coz emotion ya mwalimu ilikua juu...ila haihitaji kuwa na degree ya saikolojia kuona utukutu WA huyo dent...mara aseme eti 'walimu wakaniuliza tuwafanyeje sasa Mie nikawajibu sijui nyie adhavu mnazopeana walimu'...hivi inaingia akilini kabisa mwalimu amuulize mwanafunzi adhavu ya kumpa mwalimu mwenzie...hebu jiongezeni basi...mwishi WA siku acheni jazba zichukue nafasi halafu muone hali ya watoto wenu kielimu itakavyokua....kwanini msisitize maadili kwa wanafunzi badala ya kulaumu hao walimu.
 
Unajua mambo mengine ni ujinga kushabikia? Mbona hujaanza na maelezo ya mwanafunzi wa kwanza kuwa dogo alirushiana ngumi na mwalimu? Halafu anayehoji ameamua kukatisha mahojiano na mwanafunzi wa kwanza na kwenda kuhoji nunda mwenzake ambaye anatoa hadi namba ya simu ya mwenzake! Mwanafunzi anaruhusiwa simu shuleni? Pia nunda mwenzake anatumia maneno kama "ticha" maneno yanayoashiria dharau ya mwanafunzi kwenda kwa mwalimu "ticha sikubali" "ticha siwezi" "siyo kiivo ticha" hata mimi ningekuwa huyo anayeambiwa "ticha" nisingekubali huo ujinga! Mwanafunzi ana wajibu wa kumheshimu mwalimu wake na kuwa mnyenyekevu kwake na si vinginevyo!

Naunga mkono adhabu ya huyo mwanafunzi kibaka!
Mimi na wewe nani anashabikia ujinga?! Dogo wa pili ameongea kuhusu kashikashi zilizotokana dogo muhusika kugomea adhabu? Nani kaongea hayo kama sio dogo wa kwanza unayedai sijaanza na maelezo yake!

Kinyume chake, bila aibu unadai walimkatisha na kumuhoji nunda mwenzake! Yaani amekuwa nunda kv ameongea usichopenda kusikia wakati ulitamani usikie maelezo yatakayohalalisha unyama waliofanya hao unaowatetea?! By the way unadai yule wa kwanza walimkatisha... Hivi kwa akili yako unaamini aliyoongea yule yanawa-favor wale madhalimu? Au kv amesema walipigana? Umesahau huyo huyo dogo alivyorudia alivyorudia kuhusu kupigwa kwa yule mwanafunzi?! Usitoshe dogo alifuata fimbo na aliporudi ndo akakuta huo mtiti... umemsikia RPC? Ingekuwa wewe ungekubali upigwe kofi? Au kwako wewe mwalimu it's okay? By the way, hayo maelezo unayodai dogo wa kwanza amekatishwa ni yapi? Alichosema ni kwamba baada ya kumpiga pale darasani; walimu wote wakambeba hadi ofisini... hapa ndipo "yalipokatwa"! Huyo dogo uliyemuita nunda yeye kasema nini kuhusu baada ya kupelekwa ofisini? Hakuna aliyejua nini kiliendelea huko ofisini! Sasa huyo unayedai alikatishwa maelezo yake yeye alikuwepo huko ofisini?!

Halafu unahoji eti nunda mwenzake akatoa namba ya simu na kuhoji ikiwa inaruhusiwa kuwa na simu shuleni!!!! Yaani tabu yote hii unayojipa ni ilimradi tu uhalalishe unyama kama ule!

Dogo kaulizwa ikiwa ana namba ya simu! Sasa kuwa na namba yake ya simu ndo kuja na simu shuleni? Ndivyo ulivyosikia? Hufahamu kwamba ile shule ni ya day? Au hawaruhusiwi kuwa na simu hata nyumbani?! Au hata kama anaenda na simu shuleni unadhani ndo ina-justify unyama wa wale watu?!

Unatia aibu manake unahangaika ku-justify kwa hoja dhaifu kupita maelezo... mara oh, anaita "ticha!" Kwahiyo angesema "mwalimu" isingekuwa dharau lakini "ticha" ni dharau!! Maajabu haya!

Na labda nimalizie hivi: hakuna hoja hata moja inayoweza kutolewa itakayohalalisha unyama kama ule! And you know what, I feel very proud to stand for one vulnerable kid against 5 hooligans kuliko watu wazima mnao-stand against 1 vulnerable kid in favor of 5 hooligans!
 
Kama una macho basi yakusaidie kuona kuwa huyu mwanafunzi ni kirusi.

Hakuna kinachomkausha mate lakini analambalamba midomo.
Mtiririko wa story unajionyesha kuwa uko edited.
SOMO HUSIKA HALIFUNDISHWI NA WALIMU ZAIDI YA MMOJA anzieni hapo.

English wanafundisha walimu wangapi kwa kidato cha 3 unadhani?
 
Mwanafunzi pamoja na kuguswaguswa kidogo anapaswa kufukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu kwa mujibu wa sheria.
iwe funzo tuwaadhibu wanafunzi wetu kwa kutumia fimbo ,tujifunze kutoa adhabu kulingana na kanuni,tujiepushe kutoa adhabu tukiwa na jazba ,adhabu zitolewe tu kama sehemu ya kuelimishe na si kukomeshea.Hata hivyo naona kuna Jambo halijawekwa wazi na hatua zimechukuliwa harakaharaka bila ya pande zote kusikilizwa vizuri.Isije kuwa mwanafunzi ndiye alieanzisha vagi na songombingo. tusubiri,
 
Sio kwenye kipindi kimoja!
Akiingia mwalimu wa grammar anafundisha peke yake kwa dakika zote 45, akimaliza anatoka ataingia mwalimu wa somo jingine, iwe history au literature
Mkuu sometimes Grammar na literature hufundishwa na walimu tofauti.
 
Kumbe mwalimu akipigwa na mwanafunzi huwa mwanafunzi anapewa suspension au fimbo halaf yanaisha ! OK mm nimeusoma mchezo !
Umeona eeeee huu ni ungese dogo afukuzwe mm ningeua kbs
 
Huyo mtoto ni kirusi kwenye jamii, ingekuwa heri mimba yake ingeharibika.
 
Usipate taabu, audio clip hii hapa wanafunzi wakielezea kilichotokea!!!

Na kama unataka maelezo ya texts ni kwamba, kwanza dogo hakuwepo siku ya test na kwa mujibu wa mwanafunzi mmoja ni kwamba alikuwa anaumwa! Siku ya siku, huyo Mwalimu akaja darasani na kuwataka ambao hawajafanya test watoke mbele... dogo nae akatoka! Kitu cha kwanza ambacho mwalimu alifanya ni kuwapa adhabu ya kupiga magoti... dogo akajitetea kwamba anaumwa! Baada ya hapo, teacher akaenda ofisini ambako alirudi na wenzake ili wamsaidie kuwaadhibu ambao hawajafanya hiyo tests... adhabu ilikuwa ni bakora! Dogo akahoji kwanini aadhibiwe kutofanya test wakati yeye hakuwepo siku ya test kv alikuwa anaumwa!

Teacher kuona dogo anahoji; akaona dogo anamletea kujua... akamtandika kofi!!

Kwanza kabla ya yote, huyo mwalimu angekuwa na busara angeenda kwanza kwa mwalimu wa darasa ku-verify ikiwa alikuwa ana taarifa za kuumwa kwa huyo mwanafunzi lakini kinyume chake, akachukua sheria mkononi!

Baada ya kashkashi ya dogo kutokuwa tayari kuadhibiwa kwavile aliamini hana kosa, ndipo walimu wengine wakaingilia wakaanza kumshushia dogo kisago... wakaona haitoshi, wakambeba hadi ofisini... huko ambacho kiliendelea wanafunzi hawakijui! Baada ya muda, walimu wakarudi tena na dogo darasani na kuendelea kushusha kipigo...!!!

Na wewe unyetetea upumbavu wa huyu mpumbv tunakutafuta tukupige na tutakupiga tu hamna namna
Hatutaki dharau kwa walimu
 
Sio kwenye kipindi kimoja!
Akiingia mwalimu wa grammar anafundisha peke yake kwa dakika zote 45, akimaliza anatoka ataingia mwalimu wa somo jingine, iwe history au literature
Of course Mkuu, sio kwamba walimu wawili wawe darasani at per!
 
Jamani sikilizeni hiyo clip ya post no.76
Mnauliza maswali wakati majibu yamo humu humu.
Hata mjaribu vipi kumchafua huyu denti haiwezi kuhalalisha unyama aliofanyiwa.
Denti hakuwa mkorofi,mwalimu ndiye mkorofi.
Hata ningekuwa mimi nisingekubali kupigwa bila kosa.
Ubinadamu mnauona kwa mwalimu tu ila mwanafunzi sio binadamu anayeweza kuwa provoked?
Nimekuja shule nikitoka kuumwa,umeita ambao hatujafanya homework nikatoka mbele,nikakueleza,bado unang'ang'ania adhabu tu?Ukanipiga kofi nikachutama,bado ukaona haitoshi ukaanza ngumi na mateke?!Kwanini adhabu ya huyu haikuishia darasani?Picha ninayoipata ni kuwa kitendo cha mwanafunzi kuhoji na kujitetea kilimuudhi mwalimu,alitaka mtu atii tu hata kama hana makosa,na huu ni ukweli kuna baadhi ya walimu mko hivyo,mnapenda kuwa miungu watu kwa watoto,huku mkisahau watoto ni binadamu,wanazo akili.Ndio hapo mnapojivunjia heshima kwa watoto.
Halafu hebu niulize,hivi inaruhusiwa mwalimu kupiga kofi?kama ndivyo basi ikatazwe,maana mara nyingi binadamu akipigwa kofi hukurupuka na reaction kubwa,it's a kind of provocation.Nikiwa shule nilishuhudia hata wanafunzi wanyonge wasio na nguvu kukunjana na walimu wababe sababu ya kofi.Nimeshuhudia wahuni wakikunjana mashati na askari mitaani sababu ya makofi,hasa ya shavuni.Hata mtoto mdogo mchape bakora atakunja tu sura lakini ukimpiga kofi moja tu,utaona anainama na kukusumbua na utapata tabu kupiga la pili.
Mazingira yote yanaonyesha mwalimu ni mkorofi,alikasirika mwanafunzi kuhoji.
Nimechunguza na kuuliza wanafunzi mbalimbali hata hapa Dar wengi wanalalamikia walimu wa mafunzo kuwa ni wakorofi,wanapenda kutoa adhabu kali hasa za mazoezi kwa mambo madogo madogo,na wanapenda sana kutoa reference za JKT wanapoongea na watoto.
Serikali kazi kwenu na hii JKT yenu.Vijana wetu mnawapa mafunzo gani siku hizi huko?Haya ndio matokeo.Hao akina Frank Msigwa ni vijana wadogo sana,product za JKT hizo hizo.
Wewe ni jinga kbs
 
Of course Mkuu, sio kwamba walimu wawili wawe darasani at per!
Ukimsikiliza huyo dogo anasema baada ya kuadhibiwa pamoja na wenzake "waalimu wakamwambia aende ofisini"
Ikiwa na maana waalimu wa somo husika ni zaidi ya mmoja, sii hivyo tu wote hao walikuwa wanafuatilia kazi waliyowapa wanafunzi hao ambao hawakuifanya.
 
kwa upande mmoja au mwingine dogo anaelekea Ana makosa.
nimejaribu kuwasikiliza wanafunzi wenzake jana kwenye redio wanavyo sema nikweli kwa tukio hilo lilifanyika baada ya mwanafunzi huyu kugomea adhabu ya push up iliyo tolewa na mwalimu huyo baada ya adhabu ya push up mwalimu akambia wanafunzi wapige magoti mwanafunzi akagoma kwa kusema anaumwa na goti

walienda mbele zaidi kuwa mwanafunzi huyu alishawahi kumgomea mwalimu huyo pale alipo mwambia avue sweta na mwanafunzi akagoma kwa madai kuwa mwanafunzi huyo anaumwa na kifua.

KWA NIONAVYO huyu mwanafunzi Ana kama ujeuri au kiburi kwa ninavyo elewa mimi mwalimu huwa anaumia pindi anapo towa adhabu na mwanafunzi akagoma inakuwa ni dharau.
na kwa sababu wengi tumekuwa wanafunzi inavyo julikana wanafunzi huwa wana wadharau sana walimu wanao kuwa field.
KWA UPANDE mwingine nao walimu hawakupaswa kumwazibu mwanafunzi kwa kiasi kile.
haku kukuwa na adhabu nyingine?
mwalimu alishindwa kumpeleka mwanafunzi kwenye ofisi ya nidhamu kama mwanafunzi alimuona anakosa?
Vipi mwalimu wa taaluma hayupo?
kabla ishu haija fika kwa mwalimu mkuu huwa unakuwa na ngazi mpaka ishu kama hiyo imfikie!

Hapo hata hao walimu watoe maelezo ya kujitetea bado wataonekana wana makosa ya kumshambulia pia haiwezi kumfanya mwanafunzi anakosa kwa kuwa swala lililopo kubwa ni juu ya kile kipigo
Yaani hata kama yule dogo ana makosa, kosa linalohesabika ni lile lililobeba shitaka, tayari walimu ndio wana kesi ya kumtwanga makonde yule dogo na hii kesi ni mbaya kwa walimu!
Maana yule dogo hajashtakiwa.
 
Back
Top Bottom