TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,012
- 1,523
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu anauza hata hajui anaenda kutumia nani na anashida gani,ana umri gani na atumie kiasi gani.
Mfano kuna jamaa kaumwa kichwa kaenda kununua dawa tatu dukani kabugia vidonge viwili,baada ya muda kaanza kuvimba macho,hii yote ni kwa sababu aliye muuuzia hajui dawa hiyo imeundwa na nini na itumike vipi.
Dawa kama PCM zina athari katika figo endapo zikatumika kwa muda mrefu ama kiwango cha juu.
Wapigwe marufuku.