Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

aa MAAMUZI MENGI YA ISSUE CRITICAL YANAYOCHUKULIWA NA MAGAMBA HUWA YANACHUKULIWA GIZANI, UMEME UKIRUDI GAFLA TU WANA REALISE KUWA WAMETOA MAAMUZI PUMBA(REFER ISHU YA LUHANJO KUMSAFISHA JAIRO). EVEN THIS UMEME UKIRUDI WATAREALISE HAAAYA TUMECHEMKA. WE SUBIRI TU YETU MACHO.

Mkuu wakati tunaendelea kusubiri, hao jamaa wanaendelea kutafuna kodi zetu. Ndio maana napingana na wewe kuhusu kusubiri!

Huyu Mkuchika anamatatizo kwenye sehemu za kufikiria kwenye ubongo! Ni yeye huyo aliyethibitisha kutimuliwa kwa madiwani wa3 wa cdm huko mby, morogoro na kagera. Leo amekataa kufanya yaleyale eti kwa mujibu wa sheria! Hii sheria ni mpya au ni ileile!? Ninawasiwasi hiyo barua kaandika akiwa bar au toilet!

Wanatetewa na serikali kwa sababu haipendi kuona mtu anaonewa kwa sababu ya unyonge wake, udhaifu nk. Kitendo cha madiwani hao kufukuzwa uanachama ni kitendo cha udikteta, uonevu na udhalilishaji mkubwa sana.
. mula umenitia aibu sana.proove udikiteta wa cdm uko wapi ,taratibu za kuwan'goa madiwani watano zilifuatwa

Huyu Mkuchika anamatatizo kwenye sehemu za kufikiria kwenye ubongo! Ni yeye huyo aliyethibitisha kutimuliwa kwa madiwani wa3 wa cdm huko mby, morogoro na kagera. Leo amekataa kufanya yaleyale eti kwa mujibu wa sheria! Hii sheria ni mpya au ni ileile!? Ninawasiwasi hiyo barua kaandika akiwa bar au toilet!

Barua atakuwa aliiandika siku ile ile hao jamaa wametimuliwa chadema na si ajabu yeye ndo kawashauri waende mahakamani.
Kama mahakama haijatoa order ya kuzuia utekelezaji wa uamuzi wa kamati kuu lakini mkuchika anaandika barua ya kuwatambua hapo utaona kwamba ni mkakati maalum wa kukiuka katiba na sheria kwa lengo la kuendeleza mgogoro ndani ya chadema.

Nawashanga Chadema kuendelea kulizungumzia hili wakati kamati kuu imeshatoa maamuzi, kinachotakiwa ni kuwaachia serikali na mahakama wapambane CDM wawe watamazaji tu.

Another thing Mkuchika kakiri hii kesi iko mahakamani stlii anatoa maamuzi kwa nini asiiachie mahakama iseme kama wanaendelea na udiwani ama la.

Hakuna popote katiba ilipovunjwa Madiwani wametumia ibara ya 100 ya katiba ya Tanzania.

Haki yao itapatikana mahakamani kama wanvyopata raia wengine, Madiwani wa Arusha, ni watu makini sana sio watu wa kukurupuka na hii kesi ni ngumu sana, inaweza kuchukuwa muda mrefu hata miaka mitano.

Masuala ya kisheria ni taaluma sio porojo za kwenye vijiwe vya mbege
mbege ya Matoi ni tamu asee!
Unapiga mbege huku unasoma mautumbo kama haya humu jf, mbege hoyeee!

Huu ni ubabaishaji mwingine wa serikali ya sisiem kukurupuka na kudandia treni alianza pindua oh nendeni mahakamani, sasa huyu waziri nae oh ni halali wahudhurie vikao na posho lakini sheria ina sema kama si mwanachama basi anapoteza sifa ya kuchaguliwa hapa magamba na poor vision hayaoni wala kusikia. Masaburi yao!!!!!!!!!!!

Hii inadhihirisha kwamba unaoitwa muafaka ni kweli ulikuwa batili na ulifanywa/sukumwa na ccm kwa maslahi yao. baada ya madiwani kufukuzwa na mamlaka halali kwa mujibu wa katiba ya CDM that was all. na kama ex madiwani wamefungua kesi mahakamani,basi ndio itakayotoa hukumu so kwa sasa wanahesabiwa c madiwani tena mpaka mahakama iseme tofauti. kitendo cha Waziri kuandika barua ni kujichanganya sana

Hakuna popote katiba ilipovunjwa Madiwani wametumia ibara ya 100 ya katiba ya Tanzania.
Haki yao itapatikana mahakamani kama wanvyopata raia wengine, Madiwani wa Arusha, ni watu makini sana sio watu wa kukurupuka na hii kesi ni ngumu sana, inaweza kuchukuwa muda mrefu hata miaka mitano.
Masuala ya kisheria ni taaluma sio porojo za kwenye vijiwe vya mbege

Haya ya Dr. Masaburi ndiyo tunayoongelea hapa. Ubabe na sheria vitu viwili tofauti Ridh. ndio maana tunasema serikali ina sheria lakini serikali hiyo hiyo haina wanasheria vinginevyo yasingefanyika mambo ya kitoto kama ya akina Jairo na Madiwani wa Arusha. Kuhalalisha uvunjifu wa sheria ni ubabe.

Wanatetewa na serikali kwa sababu haipendi kuona mtu anaonewa kwa sababu ya unyonge wan ke, udhaifu nk. Kitendo cha madiwani hao kufukuzwa uanachama ni kitendo cha udikteta, uonevu na udhalilishaji mkubwa sana.
I belive you are trying to be funny in your analysis here at JF. It is of a bad "taste" to joke on Serious Issues. No one with right frame of mind could pick your line of thinking in this and many issues you have chose over a period to comment in.

Leo nimesikia kwenye mapitio ya magazeti asbhi kuwa serikali inatambua madiwani waliofukuzwa na CHADEMA kuendelea na vikao mpaka mahakama itakapoamua.

Wadau hii imekaaje.

CHADEMA EBBO hebu acheni umbumbumbu wa sheria za nchi yenu.

Lazima mujue huo ndio unaitwa Rules of Law. Kila mtu ana haki kusikilizwa. Na sie wote humu Barzani tulilibainisha hilo pasi na kificho kuwa wataendelea kuhudhuria vikao vyote mpaka shauri lao litakapo amuliwa na mahakama.

Mnachotakiwa kufanya ni kudefende point zenu mlizozitumia katika kuwanyang'anya uanachama wao na kama mkipotoka kwa hilo basi watakuwepo hapo mpaka uchaguzi ujao 2015.

Ndio maana Mabere malando, Tundu Lissu na Mdee hawasemi kitu hapo kwani wanallijua hilo.

Poleni sana

Madiwani wa Arusha ni watu makini wapenda amani wana haki ya kwenda kutafuta haki yao mahakamani.
Sheria ni taaluma sio porojo za mitaani kama pro-cdm-JF, wanavyadhani, hii kesi ya madiwani wa Arusha ni ngumu sana kama itachukuwa muda mfupi basi miaka minne

Kioja na kituko kingine cha mwaka kimetokea katika serikali ya Tanzania. Waziri mwenye dhamana ya TEMISEMI ameendelea kuwatambua madiwani ambao wamefukuzwa na CHADEMA. Nashawishika kusema kuwa hata kama ni mkakati CCM na serikali wa kuamua kukomaa na uamuzi ili kufanya CHADEMA wachoke, Mhe Mkuchika amedhihirisha UJINGA, ULIMBUKENI na UPUUZI wa hali ya juu kuwahi kufanywa na WAZIRI yoyote aliyeshika wizara hii ya Serikali za Mitaa.

Madiwani wa Arusha, wameenda mahakamani kuomba kurudishiwa uanachama, ambapo kimsingi dhamana yao ya kuwa wawakilishi kwa tiketi ya CHADEMA ilikuwa imekoma hapo mara moja walipotangazwa kuvuliwa uanachama. "Common Sense". Sasa waziri Mkuchika kusema kuwa yeye bado anawatambua madiwani wa Arusha na kuwa wapate stahili zao, hii si akili hata kidogo na haionyeshi nia njema na pia ni kuingilia mahakama kufanya maamuzi. CHADEMA wamekuwa na nia njema ya kutaka kukaa katika meza ya majadiliano na kulimaliza suala la Arusha.

Nafarijika zaidi kuona kuwa UJINGA huu usiotarajiwa kufanywa na waziri ni mpango wa Mungu maalumu kabisa wa KUJUSTIFY ANGUKO LA SERIKALI YA KIKWETE ambao duru za KINABII zinasema ndani ya miezi +4#* "BABELI ITAANGUKA".

Ole wake yeye ambaye UNABII huu utamtumia ili kuutimiza.

Tutarajie migongano mingi ya watendaji wa serikali yote haya yanatimiza unabii.

Hawa ndo mawaziri wetu. Wazee wa kukurupuka. Ila mwaka huu wamebanwa.

Pamoja na kuwa ni kihoja pia jk anawatumia mawaziri wake kuropoka mambo kama haya ili aangalie mwelekeo wa upepo akiona watu wamekuja juu anakuja kuongea jambo ambalo tungetarajia ila mkikaa kimya yanakua hayo hayo

Hawa ndo mawaziri wetu. Wazee wa kukurupuka. Ila mwaka huu wamebanwa.

ndo kama wasira aliporopoka siku ya mahojiano na TBC wakiwa na Mbowe, Mbowe akasema hawa ndo aina ya viongozi wa serikali tuliyo nao na mimi sasa nimeamini kumbe tunao wengi

Back
Top Bottom