Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Sijui kinachojili Arusha. Kwa sasa ni tume kutangaza uchaguzi wa madiwani, kama igunga. Hawa wamefukuzwa chama cha CDM kwa kufuaata taratibu zote za chama chao. Sasa huyo waziri kiongozi, pilipili asiyoilaa inamwashia ni. Kwanza hata waliohusika na uchaguzi wa kamati za hilo jiji wamekiuka kanuni za uchaguzi. Hii serikali yetu imejaa vichekesho vitupu. Mnatutia aibu sana.