Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Aug 27, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Leo nimesikia kwenye mapitio ya magazeti asbhi kuwa serikali inatambua madiwani waliofukuzwa na CHADEMA kuendelea na vikao mpaka mahakama itakapoamua.

  Wadau hii imekaaje.
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hawa magamba wanaingilia maamuzi magumu ya CHADEMA?
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Serikali hii ni ya ajabu sana!
   
 4. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Huu ndio unaitwa usanii. Amri ya madiwani waliofukuzwa uanachama na CDM walipashwa kukingiwa kifua na Mahakama ili waendelee na nafasi zao mpaka kesi yaliyoifungua itakapokwisha. Lakini ili la serikali kuwakingia kifua ni ushahidi tosha kwamba Magamba wanajitahidi kwa nguvu zote kuwatetea hawa walafi!!!!

  Ngoja tutafute copy ya hilo gazeti na kuona undani wa kilichomsukuma Mkuchika kutoa uamuzi huo!!!
   
 5. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kwani katiba inaruhusu mgombea binafsi? Sasa hao wataendelea kuwa madiwani kwa chama gani!? Najiuliza tu..
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Serikali aina pesa ya kufanya uchanguzi.?
  Pili ccm wameona awakubali pale Arusha.?
  Acha wabane wataachii tu
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanatetewa na serikali kwa sababu haipendi kuona mtu anaonewa kwa sababu ya unyonge wake, udhaifu nk. Kitendo cha madiwani hao kufukuzwa uanachama ni kitendo cha udikteta, uonevu na udhalilishaji mkubwa sana.
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siasa za bongo bana kweli pasua kichwa.
  Hii kesi ya Madiwani wa Arusha itachukuwa miaka minne itakutana na uchaguzi mkuu ujao
   
 9. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Jana usiku G. Lema alizungumza kupitia TBC1 pale madiwani wa CHADEMA mwanza walipokuja Arusha. Ila cha kushangaza mmoja wa madiwani waliofukuzwa alikuwa kazini kama diwani, ndipo MP Lema akapingana vikali na mkurugenzi wa jiji la Arusha.

  Ila mkurugenzi uyo alionesha barua kutoka serikalini ikiwaagiza madiwani hao waendelee na udiwani uku wakisubiri amri ya mahakama.
   
 10. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hawa ngoja siku 30 walizopewa ziishe ni kutia timu na nyomi ya wanaArusha kwenye ofisi za mkurugenzi wa magamba kushinikiza kuondolewa kwenye list ya madiwani na uchaguzi mdogo
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama hao madiwani walifungua kesi kupinga maamuzi ya kuvuliwa uanachama, basi kisheria maamuzi ya cdm hayawezi kutambuliwa mpaka mahakama itoe uamuzi wa kisheria wa kadhia hiyo!
  Its that simple, na tusilaumu bure!
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wanacho kifanya ccm ni kuaminisha kuwa tatizo la arusha ni chadema na madiwani wao, kumbe hilo lilishaisha na tunachokisubilia kuondolewa kwa meya fake na baadae uchanguzi mdogo wa madiwani..
   
 13. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wangekuwa wanyonge wangekubali kupokea rushwa na kuukana ukweli wa mauaji ya jan. 5 ambayo wao ndo walikuwa mstari wa mbele kwenye maandamano yake?
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  uonevu uko nyamongo, kama serikali imebadilika na kuwatetea wanyonge siku hizi, ikawatetee wananchi wa tarime, nimetaja sehemu moja tu ya nchi, si kwamba sizijui zingine.
   
 15. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  And this is the point. Kwa kifupi ni kuwa uamuzi wa kamati kuu ya CDM umepingwa mahakamani, na mahakama ikausitisha. Kama wangekata rufaa kwa kufuata ngazi za chama basi uamuzi huo ungeendelea.

  Shida ni kuwa pale ambapo chombo cha juu cha chama kingeamua kubatilisha maamuzi wa kamati kuu, walalamikaji wangekuwa wameathirika tayari.

  Wanakuwa hawana udiwani. Ndo maana wakakimbilia mahakamani.
  Naomba nieleweke kuwa siwatetei madiwani hao, ila naelezea hali yenyewe.
   
 16. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Acha magamba wawabebe. Wananchi wa A-town wanaona kila kitu na wanajua la kufanya. Sasa imedhihirika kuwa hao walikuwa ni madiwani maslahi. They were not there for the people but for their own percuniary interests.
   
 17. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Wewe unapowaonea wale watotot pale THT nani anawatetea?!!! ama wao huwadhalilishi?!! mbona Magamba mlipokataa wagombea wenu wasifanye midahalo serikali hii Lege haikuingilia!!! sema mmewapa pesa sasa lazima muwatetee
   
 18. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  tata mwita umepata piritoni? miaka ya 80' mlipowafukuza kina maalim seif sharif na wenzake magambani mwenu pia hakikuwa ni kitendo cha udikteta, uonevu na udhalilishaji mkubwa sana. waache hao walafi wakaliwakilishe jimbo lao la mahakama na mkuchika hapo arusha. arusha hawadanganyiki kamwe.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Pro-CDM-JF, wengi ni mbumbumbu wa sheria, wanadhani a loser Dr Slaa, ana uwezo wa kupingana na mahakama wakati ili suala ni la kisheria zaidi sio porojo.
  Raia wa Tanzania haki zao wanazipata mahakamani na Madiwani wa Arusha haki zao wameona watazipata mahakamani, CDM wanatakiwa wasubiri maamuzi ya mahakama hata kama kesi itachukuwa miaka mitano
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kijana usichukulie mambo kiraisi na wepesi kiasi hicho kwa mapenzi yako, suala la Madiwani wala alijaisha ndio kwanza limeanza haki itapatikana mahakamani na Madiwani wameishafungua kesi mahakamani, tujikite kwanza kwenye suala Madiwani na tuwe makini sana tujiepushe kuingilia uhuru wa mahakama.
  Ni kesi ngumu sana hii inaweza kuchukuwa muda mrefu hata miaka mitano, tumalize kwanza ili halafu ndio tuliangalie suala la Meya wa Arusha
   
Loading...