Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

Kwanini Madereva wa MN, B, M, hawakosei ili hao mbuzi wafe
 
Mungu amejibu baada ya wao kumuua kikatili mzalendo mdude
 
Maboss nao wanachangia,kaa na hawa madereva utajua yanayowasibu,kulazimishwa kuendesha usiku,kulazimishwa kwenda spidi kwa visingizio vya kuwahi,kutanua ovyo kisa u-boss,acha wavune tu walichopanda.
Kweli hili nalo ni tatizo, lakini madereva wa Serikali hata kama hawajawabeba mabosi huwa wavunjifu wakubwa wa sheria za barabarani.
 
Mabosi gani wamekufa? Wengine tuko Al Jazeera tunacheki missile za Yemen zilivyotua airport huko kwa mazayuni
 
Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
Kwani mabosi hua hawaoni wanavyokimbizwa? Ni kama vile hao mabosi ndio huchochea madereva ili wawahi wanakoenda.
 
Wacha wafe tu
Wanajua kabisa barabara zetu na madereva wengine kwa uzembe na kutokufuata sheria

Wao ndio wanawaambia madereva wawahi kufa baada ya kula bata mpaka usiku sana na kipitiliza usingizini
Sio wote bali wanaona kila leo ajali za kizembe

Ila na wao wanakimbizwa kama mbuzi tu
Kwanini wasiende huko mapema? Kwa speed za kawaida?

Hakuna kuwatetea maana wao ndio watunga sheria na wanazivunja kwa ujinga wao
Kwanini unakimbizwa? Na unakubali hujui huyo ndio anataka akimbizw?
 
Shida sio madereva, shida ni hao mabosi.
Boss anajua anahitajika Dodoma Alfajiri jumatatu yeye Jumapili usiku ndipo anataka mutoke .
Kama mngetoka jmosi mapema si mngesafiri taratibu tu
 
Sifa ya kuwa dereva wa mbunge au boss uwe darasa la saba
Hujui unachokiandika.
Ni heri ukae kimya
Kwenye utumishi wa umma ukimwona mtu wa Darasa la saba huyo ana umri usiopungua miaka 45 au 50.
Ajira za Darasa la saba zilikwisha zamani sana. Ni TPDF pekee ndiyo walichelewa kuachana na STD 7.
 
Back
Top Bottom