Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

gari salama ni mbenz ML500, ina air suspension na airbags za kutosha sie tumekomalia landcruiser, hizi L200 zina button ya active vacation ukiibonyeza uwezo wa engene unakuwa marambili, na ndio wengi inawamaliza. kwenye L300 hiyo button wameiondoa.

hizi prado ni nyembamba na zina coil spring mbele na nyuma leaf spring ukipiga shimo kidogo inahama, break zake ni za liner shoes, hivi kweli gari iko 180kph unatumia liner shoes gari itasimama kweli?

aina ya matairi, magari mengi ya serikali hufungwa taili zenye makashata makubwa hizi ni kwa ajili ya jangwani kwenye mchanga
Umeongea kitaalamu Sana.

Sasa hizo kashata kubwa si wanafunga hayo matairi kuonesha ufahari!?
 
Wakiwa wanaendesha hizo LC na Range Rovers huwa wanajihisi ni miungu watu...
Wanaona gari za wengine barabarani ni kama baiskeli..

acha wanyooke...
 
Madereva wa Serikali wanaendesha vibaya sana barabarani, Serikali inapaswa kutofumbia macho suala hili.
Maboss nao wanachangia,kaa na hawa madereva utajua yanayowasibu,kulazimishwa kuendesha usiku,kulazimishwa kwenda spidi kwa visingizio vya kuwahi,kutanua ovyo kisa u-boss,acha wavune tu walichopanda.
 
Back
Top Bottom