Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

Pengine watajua kwamba kumbe yale ni machuma tu, SU, ST, SM, PT, UT, Ngao, JW, RAC, DFP etc hazizifanyi kuwa invicible.

Na hao mabosi, wakati huo upumbavu unafanywa na madereva, wao wanakuwa wamevimba tu pale mbele, wakifika, wanasimulia na kushangaa watu wanaotumia masaa 8 Dar-Dom ilhali wao ni 4hrs tu!
 
gari salama ni mbenz ML500, ina air suspension na airbags za kutosha sie tumekomalia landcruiser, hizi L200 zina button ya active vacation ukiibonyeza uwezo wa engene unakuwa marambili, na ndio wengi inawamaliza. kwenye L300 hiyo button wameiondoa.

hizi prado ni nyembamba na zina coil spring mbele na nyuma leaf spring ukipiga shimo kidogo inahama, break zake ni za liner shoes, hivi kweli gari iko 180kph unatumia liner shoes gari itasimama kweli?

aina ya matairi, magari mengi ya serikali hufungwa taili zenye makashata makubwa hizi ni kwa ajili ya jangwani kwenye mchanga
 
Sasa unataka dereva akiona ajali inaenda kutokea ajipigizie upande wake? Hapo lazima ipigiziwe kushoto kama ni kufa wote uanze wewe, hata dereva ana familia inamtegemea, kwanza boss ndo huwa anamwambia dereva aendeshe kasi utaskia tembea saa flani tuwe tumefika sehemu flan.
 
Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
Wewe unadhani ni ''ma-boss'' tu wanaokufa kwa ajali? Watu wa kawaida wanafariki kwa wingi zaidi. Tofauti ni kuwa hao wakubwa ajali zao hutangazwa na kuenea zaidi kuliko watu wa kawaida.
 
Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
They don’t service the cars , stealing the money what do you expect? The drivers are not responsible for anything!
All government cars have proper schedules for services, but ask when and where they get that done. Let them die and Rest in trouble!
 
Hivi ni kwa nini yale matreni mengine hayapigi kazi wakati kila siku watu wanakosa tiketi kwa kuwa treni imejaa?
Bado naendelea kusema. Sehemu walipofika CCM sasa hivi ni irrevisable. Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo wanavyozidi kuboronga. HAWATAKAA wajirekebishe tena na kufanya lolote jema. Viongozi wakishafikia kwenye hatua ya kulewa madaraka mambo hayatabadilika tena. Hawana hofu ya kupoteza madaraka kwani wewe mwananchi siye unayeamua umpe nani uongozi. Na ukijifanya wewe ni kidomodomo unauawa na hakuna wa kukutetea. Hali itakuwa hivi mpaka wananchi watapoamua kujitetea wenyewe au litokee kundi la wasamaria wema kwenye vyombo vya dola wafanye yao.
 
Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
Madereva wa Serikali wanaendesha vibaya sana barabarani, Serikali inapaswa kutofumbia macho suala hili.

Madereva wa Serikali wanaendesha vibaya sana barabarani, Serikali inapaswa kutofumbia macho suala hili.
Madereva wengi wa Serikali wanaendesha kwa Spidi kubwa Sana, wanakuwa na haraka muda wote kabisa wawapo Barabarani.
 
Tanzania ni kama sheria za barabarani hakuna na kupitia hivyo madereva wa hizo gari za serikali wanatumia mwanya huo.

Ukibahatika kusafiri/kuishi katika nchi zenye sheria za barabarani utakubaliana nami.

Hivyo hayo ndio matunda yake hadi siku sheria zikianza kufanya kazi.
 
Maboss wenyewe ni hamnazo!

Gari lipo 180Km/h upo ndani unakenua tu,hakuna cha vibao na zebra crossing na wala mkanda hujafunga.

Acha wapukutike tu.
 
Back
Top Bottom