Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,640
wale mapacha waliitwa Sunche na Kapeto
Umechanganya Mambo hapa mkuu...hizo sunche na kapeto sio Sani.
wale mapacha waliitwa Sunche na Kapeto
Baba Ubaya na Madenge wapi na wapi? Baba Ubaya alikuwa Mzee wa visanga na ukorofi wa kupigana mitaani, Madenge alikuwa just comedian na mtundu wa kijanja, so too different scenarios!Tatizo la Alie muua madenge Ni baba ubaya tukimpata baba ubaya ataleta sababu za kutuulia baharia wetu madenge
Jamaa alikuja darasani mida ya saa 2 asubuhi na mizuka ya hatari " Jamani madenge,pimbi,ndumilakuwili wamekuja tabora Leo watakuwa uwanja wa mwinyi" Darasa zima lilitimka kwenda uwanjani watu wakawa wanashangaa hawa watoto vipi..!?
Mkuu kwani madenge kafariki kwani
Bado yuko hai?Pia kulikuwa na mwalimu wa kuchora pale chuo kikuu akiitwa Godwin Kaduma!
Mkuu baba ubaya wala hajamuua Madenge.Tatizo la Alie muua madenge Ni baba ubaya tukimpata baba ubaya ataleta sababu za kutuulia baharia wetu madenge
Huu uzi bila kuweka picha ya madenge mpaka sasa ni utovu wa nidhamu uliotukukaView attachment 1233780
Mwamba huyo hapo sasa
View attachment 1233781
Naaam.Gazeti la TABASAMU unalikumbuka?
Nilitamani kutokwa na machozi kamanda tibaigana alipokuwa anatangaza kulipiga chini gazeti la bongo sijui alinufaika Nini?Hivi anguko la majarida haya chanzo ni nini hasa?
Lodi Lofa na SokomokoView attachment 1233219
Kyungu yupi ? Kama unamaanisha David Kyungu huyo alikuwa akichorea gazeti la kanisa katoliki lililokuwa likiitwa Kiongozi.Mchoraji wa nadenge alikuwa Kyungu
Huyu alikua nomaNahisi wakuu mmemsahau BABA UBAYA, Kiboko wa madenge