ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,235
- Thread starter
- #81
Uko vyema chief wanguKwenye Sani pia kulikuwa na katuni ya Bob Mazishi. Muda wote yeye ni mtu wa kudhurumu tu wenzake.

Kina jina la Ibrahimu Kaduma.
Kuna uhusiano wowote mkuu?
Habari zenu !!
Ebwana leo nimeona tumzungumzie kipenzi cha watanzania walio wengi aliye julikana kama MADENGE , aliye kuwa akiishi kupitia fikra za mtunzi (àmbaye kwa sina kumbu kumbu nzuri alikuwa nani)
.
Kiukweli huyu bwana alipendwa kuliko hata baadhi ya viongozi wengi wa ki serikali ukiachia mbali JK NYERERE
richa ya kupata ushindani kutoka kwa wapinzni wake kikazi hapa nawazungumzia akina ,KIPEPE,PIMBI ,LODI. LOFA , Lakini bado hili halikumfanya apotee zaidi ya kuongeza ubunifu kila uchwao kazi yake kuu ilikuwa ni kuhakikisha watanzania ni watu wenye furaha muda wote
Hapa nadhani haya majarida yanayotoa orodha ya mataifa yenye furaha yange fanya. Tafiti zile kipindi cha zama za huyu bwana basi. Isingelikuwa ajabu kwa. Tanzania kushika namba za juu
Wanafunzi wa wakati ule tulitamani siku ikuche ili tukasimuliane habari za mtu huyu kule mashuleni tofauti na ilivyo. Sasa watoto wako bize na season
Kabla ya hizi mambo za mtandao na kiki ,vijiweni habari kuu alikua huyu bwana
Najua wengi mta shangaa mbona namuelezea kama binadamu
Naam hii ni kwa sababu ya umaarufu na mizinguo yake ilifika kipindi Wa mikoan tuliamini Madenge anaishi dar es salaam, huko vijijini pia taarifa walizo kuwa wakizipata na kuziamini ni a kuwa madenge yupo mjini..
.
Uhusika wake ulivutia Sana watoto nadhani hii ingeendelea ingetengeneza kizazi cha watoto wenye utamaduni wa kujisomea (Kama ambavyo watu wanapigia kelele jambo hili)
Lakini kipindi kile bila ya kulazimishwa na mtu tulitafuta magazeti kila kona alipo yahifadhi mzee
Najua ingekuwa ni marekani basi hollywood wangefanya kitu ila kwakuwa ni Tz
REST IN PEACE MADENGE chilhood hero
ata mi nlijua kweli asee..kipindi kile bushstars wananapga tizi hatari...afu na yale maneno walikua wanarushiana wachezaji...mmoja best wa mapungo alikua anaitwa kifaulongo...dah gazeti la bongo hilo na tabasamu enzi hizoMapungo ni golden boy alienda mpk Real Madrid, wajinga ndio waliwao maana wengine tulijua ni kweli
KikiHivi anguko la majarida haya chanzo ni nini hasa?
Kale kagari nadhani ndio evolution of pasoUmenikumbusha lodi lofa nilikiwa simpendi kijamaa kile nataman angekuwa mtu siku moja nimmwagie ht maji kdgo na kigari chake kile
Hapo nilikuwa sikosi jarida la TABASAMU SIMULIZI YA MR X...NA SALIM KWEKA...NA MECHI FLAN KATI WATOTO WA TOWN NA BUSH ...
Hapana mkuu,,,,rejea kumbukumbu zako vizuri.Serikali iliyapiga marufuku kwa sababu maudhui yake baadhi yalikuwa yanachochea ngono ...
Lodi Lofa na SokomokoView attachment 1233219
Alisababusha niwe mpenz wa real madrid hadi sasa
Kuna mechi moja alifunga goal akavua shat akawatupia mashabiki akanogewa, akavua bukta akataka kuvua mpaka chupi![]()
Tatizo la Alie muua madenge Ni baba ubaya tukimpata baba ubaya ataleta sababu za kutuulia baharia wetu madengeHabari zenu !!
Ebwana leo nimeona tumzungumzie kipenzi cha watanzania walio wengi aliye julikana kama MADENGE , aliye kuwa akiishi kupitia fikra za mtunzi (àmbaye kwa sina kumbu kumbu nzuri alikuwa nani)
.
Kiukweli huyu bwana alipendwa kuliko hata baadhi ya viongozi wengi wa ki serikali ukiachia mbali JK NYERERE
richa ya kupata ushindani kutoka kwa wapinzni wake kikazi hapa nawazungumzia akina ,KIPEPE,PIMBI ,LODI. LOFA , Lakini bado hili halikumfanya apotee zaidi ya kuongeza ubunifu kila uchwao kazi yake kuu ilikuwa ni kuhakikisha watanzania ni watu wenye furaha muda wote
Hapa nadhani haya majarida yanayotoa orodha ya mataifa yenye furaha yange fanya. Tafiti zile kipindi cha zama za huyu bwana basi. Isingelikuwa ajabu kwa. Tanzania kushika namba za juu
Wanafunzi wa wakati ule tulitamani siku ikuche ili tukasimuliane habari za mtu huyu kule mashuleni tofauti na ilivyo. Sasa watoto wako bize na season
Kabla ya hizi mambo za mtandao na kiki ,vijiweni habari kuu alikua huyu bwana
Najua wengi mta shangaa mbona namuelezea kama binadamu
Naam hii ni kwa sababu ya umaarufu na mizinguo yake ilifika kipindi Wa mikoan tuliamini Madenge anaishi dar es salaam, huko vijijini pia taarifa walizo kuwa wakizipata na kuziamini ni a kuwa madenge yupo mjini..
.
Uhusika wake ulivutia Sana watoto nadhani hii ingeendelea ingetengeneza kizazi cha watoto wenye utamaduni wa kujisomea (Kama ambavyo watu wanapigia kelele jambo hili)
Lakini kipindi kile bila ya kulazimishwa na mtu tulitafuta magazeti kila kona alipo yahifadhi mzee
Najua ingekuwa ni marekani basi hollywood wangefanya kitu ila kwakuwa ni Tz
REST IN PEACE MADENGE chilhood hero
Nimewahi kuftari nyumbani kwa mzee Bawji pale kwanjekaTanga back in times. Sijui nade yupo hai au alishatangulia??Shukurani ya kumbukumbu hizi imwendee Marco Tibasima anayeamsha vionjo vya kuzikumbuka enzi zetu tukilifurahia gazeti la Sani kwa simulizi maarufu kama Maji Mazito by S.M.M. Bawji, kulikuwa na Lodi Lofa, mpambano wa Zena na Betina unaosababishwa na Pimbi, mechi za soka kati ya timu mahasimu Born Town na Bush Stars, vituko vya Kipepe, Madenge...
Michoro marufu ya mwana sanaa Raza Mohamed, Philip Nduguru, John Kaduma, Ted Marealle, Chritian Gregory ' Chakubanga', Douglas Mpoto, Kibonge S. Kibenga 'Majoka', Raza Mohamed, Hayati 'King' Marco Mussa, Ibra Radi Washokera, Chris Katembo, Hayati John Mathias Kaduma 'Fogasta', Ali Masoud Kipanya, Paul Ndunguru, Marco Tibasima, James Gayo, Cloud Chatanda, Fortunatus Ndilla ' Mtaalam'