kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,226
- 9,489
Mapungo kala bats sana ulayamapungo...ndumilakuwili..babaubaya..zena na betina

Zena na betina vita yao ilikuwa balaa sanaHii ndio sababu pekee ilinifanya kuwa nanunua gazeti la sani na lile jarida.
Nawakumbuka sana
Pimbi
Mapacha (akina chogo)
Ndumila kuwili
Zena na Betina (chibonge na kimbau mbau)
Sokomoko
Kipepe
Lodi lofa (kiboko ya waswahili)
Wale wahuni na kifimbo cheza(kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha)
Fortunatus Ndilla na mapigano dahShukurani ya kumbukumbu hizi imwendee Marco Tibasima anayeamsha vionjo vya kuzikumbuka enzi zetu tukilifurahia gazeti la Sani kwa simulizi maarufu kama Maji Mazito by S.M.M. Bawji, kulikuwa na Lodi Lofa, mpambano wa Zena na Betina unaosababishwa na Pimbi, mechi za soka kati ya timu mahasimu Born Town na Bush Stars, vituko vya Kipepe, Madenge...
Michoro marufu ya mwana sanaa Raza Mohamed, Philip Nduguru, John Kaduma, Ted Marealle, Chritian Gregory ' Chakubanga', Douglas Mpoto, Kibonge S. Kibenga 'Majoka', Raza Mohamed, Hayati 'King' Marco Mussa, Ibra Radi Washokera, Chris Katembo, Hayati John Mathias Kaduma 'Fogasta', Ali Masoud Kipanya, Paul Ndunguru, Marco Tibasima, James Gayo, Cloud Chatanda, Fortunatus Ndilla ' Mtaalam'
Mimi nilijua baba ubaya anaishi Dar!Mapungo ni golden boy alienda mpk Real Madrid, wajinga ndio waliwao maana wengine tulijua ni kweli
Na ndio maana watanzania wengi wa miaka ya nyuma kidogo wanajua kusoma na kuandika vizuri sana bila kuchanganya lugha.Habari zenu !!
Ebwana leo nimeona tumzungumzie kipenzi cha watanzania walio wengi aliye julikana kama MADENGE , aliye kuwa akiishi kupitia fikra za mtunzi (àmbaye kwa sina kumbu kumbu nzuri alikuwa nani)
.
Kiukweli huyu bwana alipendwa kuliko hata baadhi ya viongozi wengi wa ki serikali ukiachia mbali JK NYERERE
richa ya kupata ushindani kutoka kwa wapinzni wake kikazi hapa nawazungumzia akina ,KIPEPE,PIMBI ,LODI. LOFA , Lakini bado hili halikumfanya apotee zaidi ya kuongeza ubunifu kila uchwao kazi yake kuu ilikuwa ni kuhakikisha watanzania ni watu wenye furaha muda wote
Hapa nadhani haya majarida yanayotoa orodha ya mataifa yenye furaha yange fanya. Tafiti zile kipindi cha zama za huyu bwana basi. Isingelikuwa ajabu kwa. Tanzania kushika namba za juu
Wanafunzi wa wakati ule tulitamani siku ikuche ili tukasimuliane habari za mtu huyu kule mashuleni tofauti na ilivyo. Sasa watoto wako bize na season
Kabla ya hizi mambo za mtandao na kiki ,vijiweni habari kuu alikua huyu bwana
Najua wengi mta shangaa mbona namuelezea kama binadamu
Naam hii ni kwa sababu ya umaarufu na mizinguo yake ilifika kipindi Wa mikoan tuliamini Madenge anaishi dar es salaam, huko vijijini pia taarifa walizo kuwa wakizipata na kuziamini ni a kuwa madenge yupo mjini..
.
Uhusika wake ulivutia Sana watoto nadhani hii ingeendelea ingetengeneza kizazi cha watoto wenye utamaduni wa kujisomea (Kama ambavyo watu wanapigia kelele jambo hili)
Lakini kipindi kile bila ya kulazimishwa na mtu tulitafuta magazeti kila kona alipo yahifadhi mzee
Najua ingekuwa ni marekani basi hollywood wangefanya kitu ila kwakuwa ni Tz
REST IN PEACE MADENGE chilhood hero
Fix zako. Mchoraji wa Madenge siyo Kipanya. Madenge alikuwa natoka kwenye gazeti la Sani.
John KadumaHabari zenu !!

Maborn town na Mabush starsMapungo ni golden boy alienda mpk Real Madrid, wajinga ndio waliwao maana wengine tulijua ni kweli
Shukurani ya kumbukumbu hizi imwendee Marco Tibasima anayeamsha vionjo vya kuzikumbuka enzi zetu tukilifurahia gazeti la Sani kwa simulizi maarufu kama Maji Mazito by S.M.M. Bawji, kulikuwa na Lodi Lofa, mpambano wa Zena na Betina unaosababishwa na Pimbi, mechi za soka kati ya timu mahasimu Born Town na Bush Stars, vituko vya Kipepe, Madenge...
Michoro marufu ya mwana sanaa Raza Mohamed, Philip Nduguru, John Kaduma, Ted Marealle, Chritian Gregory ' Chakubanga', Douglas Mpoto, Kibonge S. Kibenga 'Majoka', Raza Mohamed, Hayati 'King' Marco Mussa, Ibra Radi Washokera, Chris Katembo, Hayati John Mathias Kaduma 'Fogasta', Ali Masoud Kipanya, Paul Ndunguru, Marco Tibasima, James Gayo, Cloud Chatanda, Fortunatus Ndilla ' Mtaalam'
Bado yuko hai?
Hivi iliishaje maana niliishia pale yule kibaraka wake alikamatwa na polisi aliambiwa amtaje MR X akasema hsmjui anawasiliana naye kwa computer tuYeah Bongo lilikuja ku'take over baada ya Sani kuanza kupotea
Humo kulikua na Riwaya za Msako wa Mr.X; Msako wa Hayawani; Dunia Gunia;....walitokea watukutu km kina Mark Steven Chenje na watunzi mahiri km kina Aloyce James &Aloyce Jacob
All in all Sani ilikua kiboko ya yote
Naomba mtujuze wachoraji katuni wa jarida la Sani,Tabasamu na Ambha waliohai maana hawa jamaa walinifanya nitunze pesa kwajili ya kununua vijarida hivi.Shukurani ya kumbukumbu hizi imwendee Marco Tibasima anayeamsha vionjo vya kuzikumbuka enzi zetu tukilifurahia gazeti la Sani kwa simulizi maarufu kama Maji Mazito by S.M.M. Bawji, kulikuwa na Lodi Lofa, mpambano wa Zena na Betina unaosababishwa na Pimbi, mechi za soka kati ya timu mahasimu Born Town na Bush Stars, vituko vya Kipepe, Madenge...
Michoro marufu ya mwana sanaa Raza Mohamed, Philip Nduguru, John Kaduma, Ted Marealle, Chritian Gregory ' Chakubanga', Douglas Mpoto, Kibonge S. Kibenga 'Majoka', Raza Mohamed, Hayati 'King' Marco Mussa, Ibra Radi Washokera, Chris Katembo, Hayati John Mathias Kaduma 'Fogasta', Ali Masoud Kipanya, Paul Ndunguru, Marco Tibasima, James Gayo, Cloud Chatanda, Fortunatus Ndilla ' Mtaalam'
Hivi anguko la majarida haya chanzo ni nini hasa?
Yaani hujanielewa baada ya akina madenge kuanza kufikia akaja baba ubaya watu wote wakawa kwa baba ubaya na akina madenge ,kipepe,lodi kofa betina na zena,ndumi la kuwili wote wakasahaulika kabisa na kufaMkuu baba ubaya wala hajamuua Madenge.
Maudhui ya Baba Ubaya yalikuwa ya kuonyesha 'umwamba' wakati madenge alikuwa ni kijana wa kutumia 'akili' zake za kuzaliwa.
Baba ubaya kila ikiisha ni kichapo heavy. (Kongole kwake Dr Levy).
Ibra radi washokera.. mtu mzima huyuMtunzi alikua nani? Chief
John kaduma (legend) alifariki...Naomba mtujuze wachoraji katuni wa jarida la Sani,Tabasamu na Ambha waliohai maana hawa jamaa walinifanya nitunze pesa kwajili ya kununua vijarida hivi.
Hahahaha huyu mwamba ukitizama sura yake,lazima ucheke tuuHuu uzi bila kuweka picha ya madenge mpaka sasa ni utovu wa nidhamu uliotukukaView attachment 1233780
Mwamba huyo hapo sasa
View attachment 1233781