Madenge alivyoitikisa Tanzania

Madenge alivyoitikisa Tanzania

Nakumbuka siku moja ndumilakuwili alikamatwa kwa wizi kajitetea wapi, wananchi wanahasira na mapanga mashoka wameshika nikajua leo wanamuua balaa lake aliwageuka aliwapa mbata kila mtu alimpiga na silaha yake akakimbia

Madenge siku moja akaambiwa na mwalimu akalete mzazi kwa nin hataki kujibu maswali akaondoka anarudi nyumbani anawaza "huyu mdingi sasa nitamwambia nin anielewe lakini ngoja nifike" akafika akamwambia mzee unaitwa na mwalimu shule wakafika kwa mwalimu, mwalimu anamwambia baba madenge mwanao hataki kujibu maswali darasani baba ake akamuuliza madenge kwa nini hujibu, Madenge akamwambia baba ake "Mwalimu alikua ananiuliza kama baba wewe ni shoga mimi nitajibuje? Mwalimh alikula mbata za hatari.

Mzee kifimbo cheza wa kurekebisha lugha, amezoea anawavizia kwenye kona anawavuta na ile bakora yake anawatandika fimbo za kutosha siku hiyo wanaongea lugha zao wanataka kukimbia akadakwa mmoja kwenye uchochoro akamlaza amchape kumbe mmoja amejificha kwa juu ya ukuta alimteremshia mzee kifimbo tofali la kichwa akamwambia sema nalo hilo hahahhaa nilifurahi sana nikajua amekufa mara namuona toleo lingine
 
Ahaha..kiongozi umeua

Nimepitia toka ukurasa wa kwanza hakuna jibu la swali langu!!! Huyu bwana alikuwa mtunzi wa riwaya toka akiwa Tabora school!!!
Faraji Katalambula maarufu zaidi kwa riwaya yake ya Simu ya Kifo yeye alikuwa na jarida lake la mfululizo wa picha picha kama movie vile likiitwa Film Tanzania. Hakuwa Sani. Na hilo jarida lake lilianza kitambo kabla hata ya hayo majarida ya Sani. Moja ya hadithi zake maarufu katika hilo jarida la Film Tanzania ilikuwa ni Lawalawa ambapo kwa kumbukumbu zangu muigizaji mkuu alikuwa ni marehemu mzee Kipara.
 
Kwenye Sani pia kulikuwa na katuni ya Bob Mazishi. Muda wote yeye ni mtu wa kudhurumu tu wenzake.
 
Back
Top Bottom