mademu wanaofanya kazi makampuni haya

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
ki ukweli naomba niseme ukweli nimekuwa nikizunguka katika makampuni mbali mbali hapa mjini na hii ni kutokana na nature ya kazi yangu ila kiukweli makampuni haya

BENKI
MAKAMPUNI YA SIMU
TRA
BANDARI
MAHOTELI MAKUBWA

kuna watoto wana NYUMA sio siri hawa watoto wana MIZIGO mimi nikiingiaga hizi ofisi hata kama stress kwa kuona tu miili yao kwa nyuma dah.... kama hapa niko ofisi moja ya simu kuna bonge la foleni ila nimemuona mtoto mmoja hapa ninatamani foleni isiende niendelee tu kumuangalia....

mimi nimegundua kuwa haya makampuni ndio yanaongoza kwa wototo dizaini hii sijui na wewe mwenzangu umegundua??
 
attachment.php
 
Wana nyuma kivp au wanamakalio?
Basi maHR wanafanya usaili kote kote
 
Tamaa ya uzinzi itakuangamiza mgeukie muumba wako usisubiri umepata HIV ndo umrudie,wengi tuliwaona wenye mitazamo kama wako sasa wamekwama pole sana.
 
Wana nyuma kivp au wanamakalio?
Basi maHR wanafanya usaili kote kote
msiwasingizie maHR ka uzoefu kutoka kwa dada sampli hiyo inaonyesha huwa waapewa vimemo na wakubwa wakiwemo mawaziri kwenda kwa mameneja wa hayo makampuni ili wapewe kazi na hakuna cha usaili
 
lol.... man up jaman yan unaomba folen isitembee kisa makalio mmh kazi kwel kwel, polee wwee.
kwa mpango huo utachelewa san kufika ndugu.
 
That's why nikikosa access ya JF huwa incomplete!!
JF raha sana!.....
 
Lisha macho C.T.U
Ndo raha ya mjini
Utalii wa ngorongoro ukushinde
Na utalii wa ndani ya majengo ukushinde??!!!

Hata mie huwa nainjoi sana kutizama
 
ndo maana kumbe folen nyingi za kwenye mabenki huwa zinaenda taratibu..maana inaonekana kuna watu wengi wenye tabia kama yako nahisi...
 
Back
Top Bottom