Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Dah mkuu sijui wengine wanaanzaje aisee! Ila dizaini mie wangu huwa ananitoa tuu bila kuomba,huwa anarudisha faida kimtindo.Ha ha ha

Hahaaaa haaaaa nina bahati mbaya kwangu wanachukuaga tuu ila kwao hata siwezi au labda cjakwama
 
Madame B where is your location!? Kama nikuone vile ili nione mbinu zako za kukamua money alafu papuchi hutoi!!?... Dawa yako nnayo wewe!!
 
Mie mdada rijali.
Haya nimekuelewa.
Ila na nyie mmezidi kusimamia baiskeli kwenye papuchi zetu.
Hata mimi ni mkaka rijari tena sana tu. Kusimamia ninushamba kwa mko vitani!? Labda wanalipiza mikuki ya shingo waliopigwa. I wish nikuone one day.
 
Dah kumbe tupo wengi tunaopigwa mizinga! Nilidhani ni mimi tu! Dah mtoa uzi kula high 5, mi naumizwa kila cku na "virungu"!
 
Nikweli braza ila tuwasaidie kw sababu mbili kuu,ya kwanza ni kwanza ni mama zetu ya pili historikali wametoka ubavuni kwetu
 
Unakutana naye wapi kama si umalaya? Mwanamke usiyemfahamu from nowhere akuombe hela ya maintenance ya gari??? Jichunguze wewe mwenyewe!!! Lazima na wewe unajirahisisha na kujichekeshachekesha upewe mbunye!!!!

Kama kuombwa utoe laki na nusu za kumsaidia gari hiyo itoke kwa fundi ni kujirahisisha basi Cyan6 weye ni kiboko yao. Hiyo mbunye mtu atakayopewa, atachukua nyumbani ajifurahishe mwenyewe au. Si sote tunafurahi jamani? Acheni ujinga nyie wadada. Kwanza dume likikuambia twende nikupe elfu kakudharau sana, amekuona kuwa weye ni kifaa si mtu na kifaa waweza kukifanya chochote
 
Madame B where is your location!? Kama nikuone vile ili nione mbinu zako za kukamua money alafu papuchi hutoi!!?... Dawa yako nnayo wewe!!

Hahaha, Mie njoo Kinondoni utanikuta.
Dawa yangu huna wewe, utaishia kunipiga michemsho kisha utasepa mwenyewe.
Chezea madada wa mjini wewe.
 
Hii ni sababu ya hali mbaya ya uchumi. hii imekuwa kwa jinsia zote. Watanzania wengi ni ombaomba, ni maskini.. Ndiyo sababu jamii yetu pia imekuwa na wanaume MARIOO wanaotumia miili yao kama zana ya mapenzi kuwalenga wanawake wenye pesa wawalee.
Na wakati mwingine baadhi wamejigeuza jinsia ya kike watumiwe na wanaume wenzao ili wahudumiwe.

you are very right, my problem hasa ni jinsi sisi kama jamii tunavyotegemea akina mama kusimamisha familia imara

Ukimmong'onyoa mama, umemong'onyoa familia
 
Shem ila nyie mmezidi.
Mnatukamua sana vitandani.
Hata kama nimechoka utataka ujipigie mabao hata 6, ndo mana twadai hela mana mnatupa maumivu huku nyuchini.

mwanaume ni kawaida kumtunza mwanamke.ila hii mentality papuchi kuwa direct propotional to hela.ila sio sababu unanipa papuchi ndo nikulipe.

ukiugua niskuuguze

ukipata tatizo nisisolve

mnaharibu dhana ya mapenzi.inakua nikununuana
 
Dah kumbe tupo wengi tunaopigwa mizinga! Nilidhani ni mimi tu! Dah mtoa uzi kula high 5, mi naumizwa kila cku na "virungu"!

ah ah ah ah ah ha we hujui kujitetea bhana.usilegee kihivyo.
 
Ukiona mtu analalamika kupigwa mzinga ujuwe kachacha huyo.
 
Hahaha, Mie njoo Kinondoni utanikuta.
Dawa yangu huna wewe, utaishia kunipiga michemsho kisha utasepa mwenyewe.
Chezea madada wa mjini wewe.

madam kwangu vocha ya buku inakutosha tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom