steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,507
- 13,717
Hivi mapenzi yana uhusiano gani na pesa?
Hapo chacha,ngoja waje waelezee vizuri
Hivi mapenzi yana uhusiano gani na pesa?
nilijua hiyo mizinga napigwa mimi tu kumbe tuko wengi. mi nimechoka sana na hiyo mizinga cha ajabu nikiwapa kaz wafanye awatak.
nikiwambia kuwapa mtaji wachague biashara wananijibu wanataka ya kwenda hongkong. dubai na bangkok thailand.
awatak kuanzia biashara ya kati. wanaboa sana
We ulikuwa hujui???... Mnaombaga mpaka laki za scrub tu!!!
Ukiingia kwenye mtandao wa "Badoo" mademu wa kibongo humo ndo wamo wengi sana, wote ni wezi, matapeli na wanaojiuza
We hilo jina tu Money stunna kwann usipigwe mizinga???
na nyie mmezidi kuwatongoza tongoza humo facebook ndo maana nao wanafanya hivyo..Wadada wanaomba sana siku hizi, hasa hawa wa Facebook! humjui, hakujui, lakini anaomba kama mlijuana mwaka kabla!
Hivi mapenzi yana uhusiano gani na pesa?
Hadi nafikia umri nilio nao cjawahi kumpiga dem mzinga
Hivi mapenzi yana uhusiano gani na pesa?
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?
Hivi mapenzi yana uhusiano gani na pesa?
nilijua hiyo mizinga napigwa mimi tu kumbe tuko wengi. mi nimechoka sana na hiyo mizinga cha ajabu nikiwapa kaz wafanye awatak.
nikiwambia kuwapa mtaji wachague biashara wananijibu wanataka ya kwenda hongkong. dubai na bangkok thailand.
awatak kuanzia biashara ya kati. wanaboa sana
Noma sanaaaaa!!