Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
harafu unakuta mwanamke mwenyewe sura ngumu....
kwahiyo mwenye laini utampa??
harafu unakuta mwanamke mwenyewe sura ngumu....
MadameB
Poleni jamani kwa kutiwa lkn msitupige sana mizinga tutakufa MadameB. Lkn nyie watu watamu sana hapa tunalalamika tu kuwatia kuko palepale na usikute kunaingezeza.
kwahiyo mwenye laini utampa??
ah wewe wacha lalamika tuo pesa hizo bwana ila hakikisha tuu chupi anavua....na nakuhakikishia ukimpa chupi anavua tuu. ukimpa wampeleka na kidate kidogo basi huyo unamla kwa raha kabisa. sasa kidume ukishamlamba usiende kugegeda tena. atakutafuta mpaka basi. game over
Katiba Mpya ije na kipengere cha kuwakemea wale wote wenye Vijitabia vya kuomba omba na ajitokeze kiongozi alaani hadhalani Tabia hii kwani imekuwa janga la Taifa wapo watu wamehonga pesa familia zao zinalala njaa wapo watu wanahonga pesa watoto wao wanakosa Ada wanakaa nyumbani na kuishia kuvuta Bangi tu nk Tokea 1961 Tz ilipopata Uhuru Hakuna kiongozi amewahi kulikemea hili na Sidhani Kama yupo wa kuthubutu kulisemea !
Hata wasio na uhusiano wa kimapenzi,wamekua "matonya" mno.
Madame B kila nikisoma post yako napata wazo la kukuona!
Umetisha mdada, kwaiyo ukitiwa sharti ulipwe?:thumbup:😕:thumbup:😕
My friend, ni ukweli mbaya kwamba wadogo zetu wa kike siku hizi wamekua zaidi ya matonya yule ombaomba maarufu Tanzania na africa nzima
Sijui ni nini kimetokea lakini 7-8 out of ten bintis (awe ndugu, jamaa, au hata stranger) ukimpa nafasi ya small chat ya one hour plus, ujue mkuki wa shingo uko live kabisa
Maybe nina bahati mbaya ya kukutana nayo, ila this is a sign of a big problem kwa jamii yetu knowing that akina mama ndio mihimili ya familia na jamii kwa ujumla.... nini kitafuatia endapo jamii inasimamiwa na type hii ya watu?
Mlitaka mtutie bure?
Omba omba kwa wadada wa Mjini ni kasumba Sugu iliyojengeka miongoni Wadada waliobweteka kwa kuishi kwa Ubwete wakitegemea Sura zao pasipo kujua ujana ni maji ya moto ipo siku watazeeka japo wapo wanaozeeka na misimamo Yao ya omba omba pasipo kujali jamii inawachukuliaje !Tiba sahihi ya kukomesha Omba omba ya mademu ni Wanaume Kuwa ngangari na kuacha Kuwa dhaifu mbele ya wadada wachache wapenda Ubwete itasaidia wadada kujitambua na kuacha Tabia mbovu za omba omba nina imani wale wadada wachache wanafanya omba omba wataacha kazi omba omba na kubuni mbinu stahiki za kujipatia pesa
Wapo wenye kumiliki magari ya mkopo au kapewa na buzi tu Hana kazi Hana biashara Hana Mme wa ndoa mwenye uwezo !usiombe ukutane nae lazima upigwe mizinga ya Mafuta matengenezo ya gari Vocha nk yaani ni hatari kuliko inavyofikiriwa
Nyoo...
Tena wewe mzabzab, bingwa wa kugegeda bure.
Mwanamke umpe hela utambe.
Afu J'mosi nimeangaza macho Galapo wala sijakuona.
Nyoo...
Tena wewe mzabzab, bingwa wa kugegeda bure.
Mwanamke umpe hela utambe.
Afu J'mosi nimeangaza macho Galapo wala sijakuona.
Pa kukutana pako pengi mfano anakuja anakukuta Kwa Fundi mnakaa benchi moja anaanzisha story mpaka anahakikisha kaipata namba yako wapo kisha anaanza mazoea hatimae mizinga inafuata !ole wako sasa usimpe ! Anakutangazia kila kona ! Eti Yule ni mwanaume Suruali tu Hana kitu Mara mbahiri balaa Mara hv !Unakutana naye wapi kama si umalaya? Mwanamke usiyemfahamu from nowhere akuombe hela ya maintenance ya gari??? Jichunguze wewe mwenyewe!!! Lazima na wewe unajirahisisha na kujichekeshachekesha upewe mbunye!!!!